CCM yapita bila kupingwa Lushoto

CCM yapita bila kupingwa Lushoto

Mbona husemi kuwa CHADEMA wameisha wapokonya kata 3 zilizo kuwa zenu so far?

Sombetini-Arusha
Mbeya-Vijijini
CHADEMS watatetea kiti chake easily Bunda

Ni 3-1 kumbe hadi sasa!

SIYO 3- 1 ni 4 - 1 kwani kata ya Kiboroloni inabaki CDM
 
Bila mods kuunganisha huu uzi na mwingine.
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa? Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kunawatu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.
nahisi huko kuna wafuasi wa Zitto sio slaa wala mbowe/mini kabang anayeweza kwenda kupiga kampeni huko. kitaeleweka tu.
 
Unafikiri Mohamedi Mtoi kama hajashinda mkiani kwa Lema atakula wapi?

Anasikitisha sana eti chama, wakati kwao hana ubavu hata wa kugombea udiwani, yeye anamganda mwanamme mwenzie kungojea apewe amri ya leo aandike nini JF apate pesa ya kujikimu. Aibu kubwa sana.
Dada upooooo! Kitambo sana
 
Kwa nini upoteze resources zako sehemu ambayo matokeo yako wazi? Je CUF wameweka mgombea?

kweli kaka Adam si kila jimbo au kata razima uweke mgombea, kuna maeneo mengine ni ngome kuu ya CCM hivyo si razima kupoteza resource huku ukijua utashindwa. Lakini pia hili la kutokuweka mgombea linaweza tumiwa na viongozi wa juu wa chama kuhujumu kwa manufaa binafsi, siasa ni mchezo mchafu.
 
Hayo ni matokeo ya jitihada za chama kuelekezwa sehemu moja ya nchi na kusahau maeneo mengine. Viongozi wa chama wamejikita Arusha na Moshi huku wakishindwa kutawanya raslimali za chama miko mingine. Huko ni kuvuna ulichopanda!
 
Bila mods kuunganisha huu uzi na mwingine.
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa? Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kunawatu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.

JF ndio makao makuu ya Chama? Je ulitaka kugombea chadema wakakuambia hawataki kuweka mgombea?
 
hapana mkuu, ccm imechokwa kote nchini, wanaoifanya ccm ishinde ni chadema na vyama vingine vya upinzani kutokuwa na mpango mkakati wa kutosha, kama kuingia vijijini na kutoa elimu ya uraia!

Vijijini waende mara ngapi na wakati sasa vijijini wanaelewa kuliko mijini kwani ndio wamepigika. Unaambiwa aliyechukua fomu alijificha/alihongwa/alitekwa sasa hapo kosa la Chama au waliomuhonga? CHADEMA chama kubwa hakiwezi kosa mikakati.
 
Hivi kweli kijana mtela mwam.pamba hata akili yako haifanyi kazi?

Chadema kanda yakaskazini walishatoa taarifamapema mno.
 
Mohamedi Mtoi anafanya kazi gani sasa kwao Chadema haipo anakwenda kushinda kwa Lema.

"..Kwao CHADEMA haipo anakwenda kushinda kwa Lema" Kwa taarifa yako kijijini kwetu CHADEMA ndio iliishinda CCM kwenye uchaguzi wa kijiji! au "..Kwao.." unamaanisha ndani ya nyumba huku nyumba ikiwa kijijini?! What a silly logic.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba, kwenye sehemu ya taarifa yake kwa vyombo vya habari kuhusiana na wagombea wa CHADEMA kanda ya kaskazini, mratibu wetu Bwana Amani Golugwa ameeleza hivi..

"... Aidha chama kimesikitishwa sana na uhuni na ushenzi uliofanywa wa kumteka mgombea wa CHADEMA ndg. ALLY SAIDI JAHA saa nane mchana siku ya tarehe 15.01.2014 muda mfupi kabla ya muda kurudisha fomu kufungwa. Tukio hili limetokea huku tukiwa na taarifa zilizopatikana baadae kuwa mida ya saa nne asubuhi mgombea wetu alifuatwa na kiongozi mmoja wa CCM wa wilaya. Uongozi wa kanda tumesharipoti tukio hili polisi na kupewa RB namba LUS/RB/75/2014 TAARIFA.16.01.2014 ya kutekwa/kupotea kwa ndg ALLY SAIDI JAHA. Hali kadhalika uongozi chama wa Jimbo la Mlalo umeshwandikia barua msimamizi wa uchaguzi kuhusu tukio hili la kutekwa nyara na kupotea kwa mgombea wetu na kuwa baada ya kupata taarifa ya tukio hili kwa kina chake, chama kitakuwa na mahali pa kuanzia.

Hivi sasa tumetuma timu ya intellijensia ya chama kuchunguza kwa kushirikiana na Red Brigade ya wilaya ili kupata undani wa tukio hili ambalo limetufedhehesha sana na ambalo litakuwa limewanyima demokrasia ya kuchagua kwa watu wa Mtae ya kiongozi na chama wanachokitaka. Niwahakikishie wakazi wa Mtae na Watanzania wote wapenda mabadiliko ambao jambo hili limetukera wote kuwa ndg Ally Saidi Jaha atatafutwa mpaka apatikane akiwa mzima au vinginevyo ili ifahamike nini kimemtokea na pia awaeleze watu wa Mtae na Watanzania wote hili jambo kuna nini nyuma yake. Hapa kuna mtu au watu watawajibika kwa gharama yoyote, hili jambo halitaisha kirahisi hivi hivi."

Kata ya Mtae ilikuwa miongoni mwa kata ambazo CHADEMA ingeshinda saa nne asubuhi! Kwa kuwa CCM walilitambua hilo wakafanya umafia wao ama ilivyo kawaida yao kama jinsi Mratibu wetu wa Kanda alivyoeleza hapo juu. Mgombea alisha fanya process zote ikiwa ni pamoja na kuapa mahakamani, lakini akatekwa wakati wa kurudisha fomu. Mpaka muda wa mwisho wa kurudisha fomu alikuwa hajaonekana.

Yana mwisho.....
 
vijijini waende mara ngapi na wakati sasa vijijini wanaelewa kuliko mijini kwani ndio wamepigika. Unaambiwa aliyechukua fomu alijificha/alihongwa/alitekwa sasa hapo kosa la chama au waliomuhonga? Chadema chama kubwa hakiwezi kosa mikakati.

ni kweli kijana


,tatizo la hawa wengine hawafiki vijijini waone chadema inavyokubalika.

Mfano jana kamanda staphord wa ngala amenijuza kuwa ndani ya siku mbili apata wana c.c.m wapya mia tatu.
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Hongera sana ccm,
 
Yamkini Magamba yamemlaghai huyu alokuwa mgombea wa CDM na hizi mbinu chafu mnazotumia nyie Magamba zitaja waumbua siku moja

Lazima wawalaghai si hawana pesa na ni mambulula,Mbowe tu anapewa pesa muulize jimbo la mkono sembuse huyo diwan
 
Mbunge wa c.c.m ngala, ntukamazina aingia mitini jana kwa kutokufika studio za redio kwizera, kumkwepa m/kiti chadema (w) kamanda kenedy staphord.
 
Back
Top Bottom