stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Mkuu
Diwani wa CHADEMA kata hiyo alishinda kura za maoni na hakuwa pekee yake!Siku ya kurudisha form ndiyo kajificha na kukawa hamna muda wa kujaza form mpya kwa mwingine!
CCM wanaweweseka sana na hata 2015 kama ulivyosema watajaribu kutumia hela kupata majimbo ya bure
Na ndo mbinu mojawapo coz tumegundua cdm huko vijijin wananjaa sana,so tunachukua ushindi kiulainii