CCM yapita bila kupingwa Lushoto

CCM yapita bila kupingwa Lushoto

Mkuu, kumbuka maji marefu hayajaribiwi kwa kutumbukiza mguu. Utazama moja kwa moja. Ccm ni kama maji ya kina kirefu. Kama huna ubavu wa kushindana nacho, ni bora kutopoteza muda kusimamisha wagombea
hapana mkuu, ccm imechokwa kote nchini, wanaoifanya ccm ishinde ni chadema na vyama vingine vya upinzani kutokuwa na mpango mkakati wa kutosha, kama kuingia vijijini na kutoa elimu ya uraia!
 
Kuna uwezekano huyo diwani wa cdm akaea amenunuliwa,wati kama hao ni kuwabina tu,na nyinyi wasaliti akina mwampamba mlipaswa pia kumabinwa tu maana mnaua watanzabia indirectly.
 
Mkuu

Diwani wa CHADEMA kata hiyo alishinda kura za maoni na hakuwa pekee yake!Siku ya kurudisha form ndiyo kajificha na kukawa hamna muda wa kujaza form mpya kwa mwingine!

CCM wanaweweseka sana na hata 2015 kama ulivyosema watajaribu kutumia hela kupata majimbo ya bure

Kama ndiyo hivyo tuna kazi ya kupata ukombozi
 
Ndo hivyo mkuu. Si amekuambia kuwa ccm imepita bila kupingwa kata ya Mtae huko lushoto? Au hupendi kusikia habari hizi?

Huyu mwiko wa kusongea ugali'mtela' ni teacher bogus kabisa,MTAE CCM watapambana na CUF,sasa hayo maneno amefanya utafiti kweli?
 
Mkuu

Diwani wa CHADEMA kata hiyo alishinda kura za maoni na hakuwa pekee yake!Siku ya kurudisha form ndiyo kajificha na kukawa hamna muda wa kujaza form mpya kwa mwingine!

CCM wanaweweseka sana na hata 2015 kama ulivyosema watajaribu kutumia hela kupata majimbo ya bure
Nanyi si mtumie tu fedha za ruzuku kushinda hivyo viti? Tatizo kwa chadema fedha zinatafunwa na wachache
 
nkongu ndasu mpango mkakati mzuri ni ushindi kupitia sanduku la kura, au unataka Chadema nao waanze kununua wagombea?
 
Last edited by a moderator:
Kuna uwezekano huyo diwani wa cdm akaea amenunuliwa,wati kama hao ni kuwabina tu,na nyinyi wasaliti akina mwampamba mlipaswa pia kumabinwa tu maana mnaua watanzabia indirectly.
Mkuu, japo umeandika vibaya, nimekuelewa. Ila, CDM wanajinasibu kweli kwa kuwa na intelijensia makini. Wqlikuwa wapi kulinda mgombea wao?
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Kiongozi asante kwa taarifa, inasikitisha umekuwa gharasa la mitandaoni, hiyo ndio CCM kiongozi.
 
Mpango mkakati mzuri ni ushindi kupitia sanduku la kura, au unataka Chadema nao waanze kununua wagombea?
Kwani chadema wana fedha? Me nachojua kuna saccos ya akina Mtei, Mbowe na Dr Slaa
 
Yaani we kiazi huonekani hadi kipindi cha uchaguzi ndo unajipitisha pitisha? Safari hii sidhani kama watakuchukua kupiga kampeni japo kwenye kata hata moja maana mtihani wa kwanza ilikua ni Arusha na ukapata F za kutosha tu.

Alipata Division five (5) ya waziri Kawa mbwa.
 
Tulia we ngeda kila siku unamjadili Freeman hatusemi au yeye ni picha ya mtu?
Kwani Mbowe naye ni mtu? Mtu akitopea kwa uzinzi hata sifa ya kuwa mtu inapotea. Kwa sheria za kiislam ni kumtandika mawe mpaka afe. Huyumni mtu mfu
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!

Usisahau kata hiyo mgombea wa chadema alitekwa dakika za mwisho wakati anajiandaa kurudisha fomu na hiyo ni kwasababu ccm walijuwa watapoteza uchaguzi huo, kwahiyo tunapongeza kwa ushindi wa hila wa ccm, kwani bila hila ccm ziiiiiiiiiiii.
 
Ni kweli hata mimi nimesikia. Kumbe jamaa alienda kutafuta uchawi wa kumloga Mbowe ili afe baada ya ile mbinu ya Bomu la Soweto Arusha kushindwa!

Atakuwa kaenda kwa TB Joshua kutolewa Pepo la msongo wa mawzo yaliyo sababishwa na kubumbuluka kwa dili lake la kuisaliti CHADEMA.
 
Back
Top Bottom