katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
Mohamedi Mtoi kumbe hata kwa hawamtaki.
Mohamedi Mtoi anafanya kazi gani sasa kwao Chadema haipo anakwenda kushinda kwa Lema.
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva...
UNAFURAHI KWAKUA UNAJUA CHADEMA NDO TISHIO KWENU,NDO MAANA HAPO HUJAITAJA NCCR WALA HAWALA ZENU CUF.PIA NASHANGAA CCM KUSHANGILIA KIASI HICHO KWA KUSHINDA UDIWANI TU,HII INANIPA TASWILA KUA MMEBANWA KIASI KWAMBA MKIPENYA MNASHINDWA KUAMINI
TUNAKUSUBIRI MWAMPAMBA,LABDA UTAPITA VWAWA BILA KUPINGWA,ILA SINA UHAKIKA,WALIKUCHOKA ULIPOUZA JIMBO KWA DHAMBI
Chadema maeneo mengi hawakubariki.Chadema Lushoto ijikatie tamaa tu haina chao.
Unafikiri Mohamedi Mtoi kama hajashinda mkiani kwa Lema atakula wapi?
Anasikitisha sana eti chama, wakati kwao hana ubavu hata wa kugombea udiwani, yeye anamganda mwanamme mwenzie kungojea apewe amri ya leo aandike nini JF apate pesa ya kujikimu. Aibu kubwa sana.
Si Mtae tu bali Tanga yote hakuna sehemu chadema watashinda kata hata moja.
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
Msaada tafadhali katika kata hizo 27 naomba kujua CDM walikuwa washikilia kata ngapi na CCM walikuwa na kata ngapi na vyama vingine pia.
Vp nyasurula, sombetini? Naona ww gamba msaliti unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe