Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
CCM hawana spinal-cord kwani hawakupaswa subiri hadi sasa,ndipo waanze pata ujasiri.Soon tutaanza pokea defectors mitaani.Ingawa hawa kwa CDM hawatakuwa na faida ya moja kwa moja zaidi ya kuidhoofisha CCM kwani hawawezi gombea uongozi kwa muda watakaoingia.