Kinana ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoa mafunzo ya mara kwa mara yanayolenga kujenga uwezo kwa Viongozi na Watendaji Wana

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
866
547
COMRADE KINANA AIPONGEZA UWT KWA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NCHINI

Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA COMRADE Abdulrahman Kinana ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoa mafunzo ya mara kwa mara yanayolenga kujenga uwezo kwa Viongozi na Watendaji Wanawake nchini.

Comrade Kinana ametoa pongezi hizo Mei 25, 2024 akifungua mafunzo ya Wanawake wanasiasa yaliyoandaliwa na UWT Jijini Dodoma.

Washiriki wa mafunzo hayo ni Wabunge wanawake wa CCM wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Watendaji wanawake wa CCM kutoka jumuiya ya wazazi, Wenyeviti wa CCM Wanawake wa Mikoa na Wilaya.

Mafunzo hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda, Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC).

Huu ni Muendelezo wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi wa Viongozi na Watendaji Wanawake nchini.
 

Attachments

 • IMG-20240525-WA0081.jpg
  IMG-20240525-WA0081.jpg
  103.7 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0082.jpg
  IMG-20240525-WA0082.jpg
  106 KB · Views: 4
 • IMG-20240525-WA0083.jpg
  IMG-20240525-WA0083.jpg
  99.9 KB · Views: 4
 • IMG-20240525-WA0084.jpg
  IMG-20240525-WA0084.jpg
  84.8 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0085.jpg
  IMG-20240525-WA0085.jpg
  100.9 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0086.jpg
  IMG-20240525-WA0086.jpg
  149.1 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0087.jpg
  IMG-20240525-WA0087.jpg
  491.4 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0088.jpg
  IMG-20240525-WA0088.jpg
  407.7 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0089.jpg
  IMG-20240525-WA0089.jpg
  101.2 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0090.jpg
  IMG-20240525-WA0090.jpg
  465.3 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0091.jpg
  IMG-20240525-WA0091.jpg
  139.3 KB · Views: 4
 • IMG-20240525-WA0092.jpg
  IMG-20240525-WA0092.jpg
  537.3 KB · Views: 3
 • IMG-20240525-WA0093.jpg
  IMG-20240525-WA0093.jpg
  396.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom