Hapo kwenye RED naunga mkono hoja...na kweli, kwa maana hiyo kuandika barua ni kiroja!Pasco,
Mimi sio Nape na siye uliyeniuliza swali, lakini naomba nitoe ufafanuzi kidogo.
Kinana hajagombea nafasi za uongozi katika uchaguzi. Hii ni tofauti na mtu aliye madarakani anapoyaacha madaraka hayo. Madaraka ya Kinana yamemalizwa kwa mujibu wa katiba ya chama na sasa ni uchaguzi ambao angeweza kuamua kugombea au kutogombea.
Katika hali kama hiyo hakuna sababu ya kuandika barua.
Sijasema kuwa hakuna barua iliyoandikwa ila sioni umuhimu wa kuchimbachimba na kutafuta barua iwapo mtu ameamua kutogombea nafasi fulani ya uongozi.
Kinana ana umri gani? Umri wa kustaafu ni miaka mingapi?
Tambua kuwa watu hufanya shughuli za siasa kwa purpose fulani sio kwa mazoea. Mtu anapoona ile purpose imetimia au haiwezi kutimia hana sababu ya kuendelea kung'ang'ania madarakani. Hizo siasa za kugombea tu ili mradi aonekane yuko madarakani ni siasa za mazoea na huu siyo wakati wake.
Kumbuka uchaguzi huu ungempa Kinana majukumu kwa miaka mingine mitano. Je, yuko tayari kubeba majukumu kwa miaka hiyo mitano?
Unajua daktari wake amemshauri vipi?
Unajua familia yake ina msimamo gani?
Nashukuru kwa kujitokeza haraka kuweka kumbukumbu sawa katika jukwaa hili.
Naona suala la mzee kungatuka ni kweli ila Nape anasema sababu alizoziandika mtoa mada sizo
Halafu huyu Judi wa Kishua ni mkabila, uchaga unatoka wapi tena? Kwanza kusema CDM ni chama cha kichaga ni kosa na huko ni kutudhalilisha sisi tusio wachaga.......kwa hili nimechefukwa na roho!!!!
Mwanahalisi waitumie JF kwasasa hadi hapo kitakapoeleweka.
Kuna makundi mengi sana ccm hivi sasa,halafu sasa ishakuwa kama miluzi mingi ambayo itamchanganya mbwa.
Kuna wanaojiita wapinga mafisadi,ambao wanakubaliana na mafisadi kuwa kuna mambo ya familia(yani wale waliopita bila kupingwa nk) ndani ya chama,sasa sijui hii vita yao itakapokwisha nani atakuwa msindi?wenye kutetea ufamilia wako kundi gani kati ya mafisadi vs wanaowapinga?very interesting...
Hivi na wewe siku hizi umejiunga kwenye kundi la wajinga? tatizo la hiyo post ya Mwita Maranya ni nini? ni irrelevant!!Mkuu Mwita. Hapa tunajadili ishu ya kinana. Wewe kama una yako na Ndungulile anzisha thread tutachangia
Nape aweke barua hyo basi bilA hvyo ataku mzushi kama wengineAhsante Mnauye, wenye akili tumeelewa!!!
Mkuu umeamini jf c mchezo eehJf sasa ni kijiwe cha porojo...
Mods ondoen huu ujinga
hakuna ukweli wowote
Hivi mkuu Kinana na EL wapo kundi moja?Maana kama habari hizi ni kweli(kuhusu Nape na gutter politics),basi ina maana Nape ni common enemy wao.(EL na Kinana)Mkuu Nape, kwanza asante kujitokeza mapema kuujibu ule uzushi!, lakini kusema tuu ni uzushi hakutoshi!. Ile thread unayoiita ya uzushi, inazungumzia barua Kinana aliyoiandika!, wewe unazungumzia maneno Kinana aliyoyatamka, hivyo ni vitu viwili tofauti!.
Sasa ili kanusho lako liwe na maana, tungeshukuru kama ungetufafanulie
Asante.
- Jee Kinana ameandika barua?.
- Kwenye barua hayo uliyoyasema wewe ndiyo yaliyomo kwenye hiyo barua?.
- Kama ameandika barua, na hayo uliyoyasema ni matamshi ya mdomo, then ile thread still stands mpaka uthibitishe hata kwenye barua, yale hayapo!.
- Mode, Nape akithibitisha ule ni uzushi, then funge ile thread na kumpatia muanzisha thread haki yake!.
- Nape, tunakushauri, karibu tena na tena sio tuu kukanusha thread za uzushi, bali pia jitokeza kujibu baadhi ya hoja valid kuhusu CCM!.
Pasco.