CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

Huyu bila shaka anataka kwenda kwao Somalia kuimarisha lile kundi lake la kigaidi la Al- Shabab maana limeanza kuzidiwa nguvu.

Kwa taarifa yako sasa hivi wamejaa hapa Tanzania, Arusha na kigamboni wanajiandaa kuchukua nchi kupitia CCM.
 
Kwa taarifa yako sasa hivi wamejaa hapa Tanzania, Arusha na kigamboni wanajiandaa kuchukua nchi kupitia CCM.

huwa wanaamini wenye nywele ngumu ni duni sana kiakili.Na si watu wa kuchanganya damu nao.Nadhani CCM ndio mahali pao hawa.Kwani CCM ni kama species nyingine ya wajinga.
 

kwa habari hii iliyo hapa mbele yetu, THIBITISHA kwamba ni uongo! Nape katuthibitishia ni ukweli, haya lete uthibitisho wako wa uongo

MwanaMpotevu ukweli ndio huo alosema Nape kuwa huyo Mzee anang'atuka
 

Sasa imethibitika kuwa ni kweli!
Tuzo plz!!
 
Last edited by a moderator:
Kasoma alama za nyakati wazingatie tu ushauri aliowapa ccm watekeleze ilani ya uchaguzi kabla ya 2015,badala ya kuwaza urais hautakuwa mwepesi!!!!!!!!!!!!!
 
yupo wapi Nape atuambie lugha nzuri ya mheshimiwa kujiweka pembeni bila kuharibu diplomasia ya magamba.nimeliza sana hili swali naona hajibu.
 
Ukitaka kujuwa wamechakachua haya mambo,angalia kauli ya Nape kuwa eti "mwenyekiti anaweza kuona anafaa na akamteua tena akaingia kwenye NEC".

Hiyo statement tu utadunguwa wamewekana sawa hawa magamba.Vurugu zao mara nyingi ni maslahi binafsi,hakuna asiye fisadi miongoni mwao,hapo keshapewa ahadi kibao ili atulize boli.

Hii makitu ni ya kufagilia mbali haifai kabisa.Tena wana JF msitegemee lolote kutoka kwao hata kama ikionekana wanapasukia mbali msije mkadhani ni kweli hawa wataweza kufukuza mafisadi,wote ni maslahi binafsi tu na asilimia kubwa ni mafisadi,utofauti ni level tu,yani kuna walioiba zaidi na kinachoendelea miongoni mwao ni kuonenana wivu kwa vile mwingine kakwapua zaidi,yote migamba na mifisadi,yote sawa tu,tofauti ni amaounts za walichoiba na siyo eti kuwatetea wananchi na rasimali za taifa,hilo halipo hata wakikwanguana hayo magamba there is still no hope with them.

Ya kwapi yale ya unafiki wao mara sijui eti ccj?Hata hawa wanaoonekana eti ni wasafi wala siyo,usafi wa level ya ccm ni kwamba labda hao wengine hawana akaunti uswisi na hawajaiba billions nyingi ama trillions kama wenzao.Wachumia tumbo tu hao,nothing else!

Ujinga mtupu tusiwategemee kabisa hawa.Wa kutegemewa ni wananchi wapiga kura period.
 
Kitendo cha mtu aliyeongoza kwa robo karne kukaa pembeni kinatoa fursa kwa vijana kushiriki katika uongozi. Uamuzi wa Kinana unapaswa kupongezwa na vijana wanaoitakia mema nchi yetu...

Ungeupongeza miaka 10 huko nyuma ningekuelewa, lakini kama unataka kumpongeza leo wakati hamkuwa mmekubaliana ajitoe ndani ya chama, umekula bugi meen. Kujipendekeza tu kwa wana ccm ndio jadi yenu na wake zenu na wanenu! Utadhani mlilogwa na mchawi mmoja!
 
Nakumbukuka ulitupa clue mapema.
 
Mbona unamshusha cheo yeye sio Captain ni Col. (mstaafu) ........ wengine wenye maamuzi kama yeye wako wapi?
 
kwa mwandishi wa habari, ukimpa au ukimnyima habari kwake yeye ni habari!
 

Tuko pamoja, hatuna maana ya kwamba alisema uongo, la hasha, hapa ni kujaribu kukumbushana, na kama alikuwapo online angetujibu kwamba source ya habari yake ni wapi.
Kwa bahati nzuri Nape alitokeza na kujibu kuhusu habari hiyo, hilo ndilo lilitupa watu uelewa kwamba habari ni ya kweli.

Kwa vyo vyote ni kukumbusha tujitahidi kuweka kitu kinachotuongolewa wasiwasi juuya source, inasaidia, wengine kwa uzoefu wa mambo ya habari, kuleta habari bila kuonyesha source tunajisikia kama dhambi, lakini kwa asiyekuwa na uzoefu katima mambo ya habari vyo vyote ni sawa tu. Ila tunapoandika hapa ambapo kuna watu wa kila aina ambao wengine upeo wao katika habari ni wa juu ni vema kama tutakumbuka kuweka chanzo cha habari, hata kama hakuna hakika ukiandika tetesi tutaijadili kama ilivyo tetesi.
 
Mkuu Mwana Mpotevu na Mag3 mi naomba uthibitisho kwenye red tu hapo juu. Ukinithibitishia baaaaaas sitakuwa na tatizo na nyie otherwise hizi ni Porojo tena yawezekana zimepikwa na wafuasi wa EL

Nitakushangaa kama kweli always huwa unachukua neno kwa neo kutafuta usahihi au maana yake badala ya kuchukua context yake.

What's the main issue hapa? Jibu ni kwamba: ni kinana kung'atuka CCM na wala sio hayo Mengine unayoyatafutia usahihi ama uwepo wake. and that's why hata Nape anahangaika hapa kujadili mambo mengine kama unayotaka wewe badala ya kujadili context ya hii thread.

That's all I can tell u
 

Nashukuru kujua kama kumbe una upeo wa habari. Lakini nikuulize kitu;

Unajua kuhusu Anonymous Sources??
Unajua kuhusu Secret Sources?
Unajua kuhusu Confidential sources?
Unajua kuhusu Unnamed Sources?
Unajua kuhusu Veiled sources and veil information?

Kwakuwa una uzoefu wa habari, utakuwa unaelewa yote haya. na kwakuwa unayaalewa haya, utajua fika kuwa taarifa kama ya mtoa uzi ni sahihi kabisa na haina doubt kwa wanahabari kama mwandishi anajua kuwa it is TRUE!

Wasio na taaluma ya habari ndio wanaweza kuhoji ili wapate truth between the lines lakini sio kwa mtu mwenye ujuzi wa habari kama wewe
 

Maswali makuu ambayo waandishi wanatakiwa kujibu ni matano hata utembee pembe gani ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…