William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
FMES,
..kama una nia njema na unataka kuwasaidia kiushauri kina Zitto basi usiwa-approch kwa lugha ya kejeli kama uliyotumia.
Naomba Kuuliza
Je inaruhusiwa Mawaziri walioajiriwa na Serikali, wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu Kuacha shughuli na Kwenda kwenye KAmpeni za Kisiasa BUSANDA??
MH. LAWrence Masha, MH William Ngeleja, MH George Mkuchika, Mh, Sofia Simba, MH Mwantumu Mahiza, jameni ongeezeeni list yao hapa
Sheria za tume ya uchaguzi zinasemaje?
Na Je wale waliotuhumiwa kununua Shahada je?
Naombeni ufafanuzi wa kisheria hapa...
Naomba Kuuliza
Je inaruhusiwa Mawaziri walioajiriwa na Serikali, wanaolipwa mishahara kwa kodi zetu Kuacha shughuli na Kwenda kwenye KAmpeni za Kisiasa BUSANDA??
MH. LAWrence Masha, MH William Ngeleja, MH George Mkuchika, Mh, Sofia Simba, MH Mwantumu Mahiza, jameni ongeezeeni list yao hapa
Sheria za tume ya uchaguzi zinasemaje?
Na Je wale waliotuhumiwa kununua Shahada je?
Naombeni ufafanuzi wa kisheria hapa...
Next attempt (2010) at Busanda it will be 90%. kwa hiyo uwezekano wa wapinzani kupata majombo mengi 2010 ni mkubwa. Tupambane kwa hali na mali kwani 'TANZANIA BILA YA SISIEMU INAWEZEKANA'
Inawezekana baadhi ya wachangiaji hapa wakadhani kuwa kura za CCM Busanda zimepungua ikilinganishwa na 2005. Inawezekana pia wengine wakashangaa kuwa zimeongezeka kuliko mwaka 2005, na zilizopungua ni za upinzani.
Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi huu, baadhi ya kura zilizokuwa za CUF zimechukuliwa na CHADEMA na baadhi zimechukuliwa na CCM. Vile vile, inaelekea kura nyingi zaidi badala ya kubaki kwa upinzani zimehamia CCM. Kwahiyo ukiangalia jumla ya kura zilizokuwa za upinzani mwaka 2005 zimepungua katika uchaguzi huu. Hii inaashiria kuwa CCM imefanikiwa zaidi katika uchaguzi huu kuliko ilivyofanikiwa mwaka 2005.
Poleni sana wana-Chadema wa JF, mmepigana na kushindwa kiume.
Kubalini matokeo, kumbuka; 'He Who Surrenders, Lives Longer to Fight Another Battle'
Poleni sana wana-Chadema wa JF, mmepigana na kushindwa kiume.
Kubalini matokeo, kumbuka; 'He Who Surrenders, Lives Longer to Fight Another Battle'
Ndio matokeo ya siasa za keyboard hayo na kupeana false hope. Kilichobali sasa ni mtuletee vile visingizio vyenu vya kawaida wizi, ubabe, mkono wa serikali nk.
Ukweli utabaki kuwa wapinzania hususan Chadema hawana mikakati, kuna wapiga genge la wazomeaji tu na sikumbuki ni lini mara ya mwisho kuzomea kumeleta mafanikio kwa chama chochote cha kisiasa.
Wananchi wa Busanda wameongea, tena wameongea loud and clear! hii tabia ya akina Pasco na genge lake kututukania wazee wetu ikome hao hao anao waita wasio na elimu ndio waliomfikisha hapo alipo na leo na elimu yake kubwa ya uhandisi habari, inanikumbusha hadithi ya wimbo wa marehem Marijan wa Chakubanga kujiita John Smith.
Zipo wapi zile tambo na majigambo? zimesaidia nini sera za kuchoma moto bendera? kejeli na matusi kuwaita watu wa makamo vibajaji zimewafikisha wapi?
Huu ni wakati muafaka kwa Chadema kurudi kwenye drawing board ba kuanza upya. Hawa pundit wa JF watawadanganya hawa ni arm-chair generals wanapigana kwenye kkeyboards tu kaeni chini muanze upya siasa si tu kungurumisha chopa na kukusanya watoto kwenye mikutano, kunahitajika mikakati endelevu ya muda mrefu na mfupi.
Inashangaza sana Mkuu. Inawezekana hawakuwa na muda wa kwenda kupiga kura, ama walipata tabu kujua vituo vyao vya kupigia kura, au kuyaona majina yao au sababu nyingine yoyote. Ila ni idadi inayosikitisha sana.....nadhani bado wapinzani wana kazi nzito...kuna swali nataka ..tulijibu??
kwa nini turn out number ya wapiga kura imekuwa ndogo sana busanda pamoja na muamko walioonesha???
nashangaa waliojiandikisha ni karibu 120,000...waliopiga kura ni 50,000[refer alasiri na dar leo online]...that is almost 50% turn out of voters.. ,ni turn out ndogo sana ..je inatokana na ...
vitisho vya dola ..wengine wanaogopa polisi wenye mabunduki na maji washa...
je ni shahada zimenunuliwa....[za akina nani??]
kumbukeni Tarime voters turn out ilikuwa nzuri na CHADEMA walishinda asilimia 62%[correct me].......
nina sababu ya kuamini kuwa kama watu wote wangepiga kura busanda mshindi angeweza kuwa CHADEMA kwa asilimia 60% au CCM angeshinda kwa margin kubwa zaidi....
Nadhani tatizo lililopo ni nia ya wananchi kusimama kwenye foleni na kupiga kura. Bado watu wanatakiwa kuonyeshwa umuhimu wa kura zao moja moja. Kuna ambao hudhani kuwa wengine wanaweza kupiga kura na kumchagua wanaomtaka wao. Wengine hudhani kuwa, hata wakipiga kura, hakuna tofauti yoyote kwani kura yake ni moja tu kati ya nyingi. Kwa kifupi elimu inahitajika ili kuleta matokeo yanayotakiwa kwa wananchi kushiriki uchaguzi kila wanapopata fursa ya kufanya hivyo.tatizo lipo wapi...demokrasia yetu inakuwa ya kuchonga!!
- Mkulu Joka kumbe na wewe unaifahamu lugha ya kejeli na huipendi? Mbona makubwa sana haya madogo yana nafuu, eti toka lini hiyo mkulu hupendi lugha za kejeli? au toka Ijumaa mchana? Bwa! ha! ha! .......Hillarious!
- Yaani kumuomba awe careful na kibajaji ni kejeli?
Respect.
FMES!
FMES,
Bwa bwa bwa ha ha ha ha..Ijumaa zittoo alikuwa anajitapa sana mambo yameshakwisha na jimbo watalikamata!
Mwanakijiji uko wapi uje utuambie hiyo asilimia 50 uliyoisema imeishia wapi?zitto hajatoa sababu na keshampongeza mzee Mkuchika na wewe una sababu zipi?
Biharamuro ndiyo watapoteza kabisa!