swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,904
Acha povu.Mkuu naona umeanza kupotea kama ndo upepo basi naona umejeuka ndo maan unaanza kuhaha na kutumika kama kopo la chooni kila mgeni anachambia
swissme
Acha povu.Mkuu naona umeanza kupotea kama ndo upepo basi naona umejeuka ndo maan unaanza kuhaha na kutumika kama kopo la chooni kila mgeni anachambia
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
....................................
UPDATES:
Ni kweli, ila usiseme Membe tu, CCM haina candidate tishio.
Lowassa ni kweli ana tuhuma za ufisadi, lakini jamaa ana back up ya kutosha kumpigia kampeni na kuleta ushindani wa kutosha UKAWA, wanapohaha kutafuta namna ya kukata jina lake, UKAWA ni vicheko tu..
Kama kunaweza kuwa na mazingira huru na haki mwaka huu, CCM is likely to loose the general election on october, CCM wategemee tu dola kuwanusuru, kama unadhani kuna mgombea wa CCM ambaye anaweza kupata landslide victory, niambie ni nani.
hakuna kitu nachotamani kama hiki
lowasa akatwe na kamati kuu
baada ya kukatwa ahame ccm na wapambe wake woote
akishahama ccm kiparanganyike
kuanzia hapo tusiwe na chama tawala kibabe tena kama ca ccm
kuanzia hapo chama chochote cha upinzani kichukue nchi na kuanzia hapo tuwe tunabadilisha chama kinachotawala kama kenya
kila chama kikiingia madarakani kiwe macho kwani muda wowote kinaweza pigwa chini.
natamani ccm itoke madarakani
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
....................................
UPDATES:
Padri akiwa Rais naritadi nakuwa -----.i...
Makongoro Nyerere?!Makongoro Nyerere
Inakuwaje vikao vya chama kufanywa ikulu?
Kabla sijasahau, soma summary ya kilichotokea RICHMONDI, tazama list ya watuhumiwa(Karamagi), halafu tazama list ya wapambe wa Lowassa(kuna Karamagi). Kama hujajiona bw*ge basi una matatizo ya akili.
MKATAMBUGA: Sakata la Richmond: LOWASSA KITANZINI