CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

Makongoro Nyerere?!

Raisi wa nchi ndio head of state, ndio amiri Jeshi mkuu, namaanisha ndio mtu mwenye maamuzi ya mwisho juu ya masuala mengi muhimu ya taifa. Mtu kama huyu ni vyema tukamfahamu vizuri ili tumwamini na kumkabidhi taifa.

Nataka kujua;
Iko wapi rekodi ya utendaji uliotukuka wa Makongoro Nyerere?
Ni wapi alikoonyesha uchapakazi na maamuzi yasiyoteteleka ili tumkabidhi nchi?
Ni lini alishawahi kuchukua hatua au hata kupaza sauti tuu juu ya ufisadi ukiacha sasa Kwa vile tu Ana nia ya uraisi?
Ni kipi hasa alichonacho Makongoro hadi ukadhani anaweza kuongoza taifa letu?

Makongoro ni mtu asiyeaminika, alishawahi kuhama CCM na kugombea ubunge kupitia NCCR Mageuzi, nini kilimtoa CCM na nini baadae kikamrudisha?, je hatuwezi kufikiri kuwa ni mtu asiye na msimamo anayeangalia tu ni wapi iliko fursa?

Taifa linahitaji mtu atayeweza kilikwamua pale lilipokwama, ni yapi maono(vision) ya Makongoro ya kulikwamua taifa?
Vipaumbele vya Makongoro ni nini?, au Hana vipaumbele anasubiri ilani ya Chama itakachokisema na yeye afuate hicho?!! Je kiongozi wa aina hiyo ni kiongozi mwenye maono?

Kutokuwa na kashfa siyo sifa pekee ya kuwa kiongozi bora, anahitajika mtu anaweza kutenda, mwenye uthubutu, mwenye maono, mwenye maamuzi na asiyesita kukemea kila anachoamini siyo sahihi, Makongoro Hana sifa hizi zote!

Mwisho kabisa, Makongoro hana umaarufu au sifa yeyote Kwa wananchi zaidi ya "kusafiria nyota ya baba yake".
ni kweli kijana...maana hata NCCR alisafiria nyota ya babake....
Hata hao wagombea wote wanapenda kumtaja sana babake katika mikutano yao...
Huwezi fahamu mengi juu yake kuhusu kukemea ufisadi maana umekuja juzi katika siasa hizi...ila waulize wajumbe wa NEC wakuibie siri za mikutano yetu.
Vikao vyetu hufanyika ndani ya chama, kuchambana ndani kwa ndani....ni kama ndani ya familia, ugomvi wa baba na mama watoto wasijue.
Mme/mke ukijua mwenzio kakusaliti sio wayasema hadharani kulinda heshima...ila mwawajibishana ndani.
Huku site watu tunawaangalia.....kumbukeni maskini wengi hawahadaiki sasa hiv
 
Wavivu wa kufikiria na wenye uwezo wa mdogo wa kufikiria wanaamini eti kwa kuwa Makongoro Nyerere ni mtoto wa hayati Julius Nyerere na kwa kuwa Nyerere anaheshimika sana nchini basi hicho ni kigezo tosha cha yeye kuwa rais wa JMT
 
Tuwe wawazi juu ya hili.UKAWA wao wenyewe hawapendi kuteuliwa kwa lowasa.sababu.
1:anakubalika licha ya kwamba anakashfa ya rudhwa
2:kuteuliwa kwake ni pigo kwa ukawa(kutoteuliwa kwake ni faida kwa ukawa)
 
mbona huyo lowasa alipigwa chini arumeru kwenye uchaguzi mdogo?
 
Takribani ikiwa imesalia wiki moja vikao vya juu vya maamuzi ndani ya chama hicho kukaa na kupitia na hatimaye kupitishwa kwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, tayari makundi yanayohasimiana yameanza kujipanga kukabiliana juu ya kile kinachoitwa udhaifu wa mwenyekiti katika kusimamia chama kikanuni na taratibu nyinginezo. Huku ikijulikana wazi kuwa mmoja wa wagombea tayari ameshakiteka nyara chama hicho kikongwe barani Africa, ni dhahiri sasa mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndg Jakaya Kikwete ameshasalimu amri na kukubalia na hali halisi iliyopo na tayari amebariki kile kinachoitwa mwenye nguvu apitishwe. Huku watendaji wa chama wakijinasibu mikoani kuwa chama hakitampitisha mla rushwa au mtu mwenye kashfa, hali ni tofauti katika shughuli ya kutafuta udhamini. Huku kambi ya Edward Lowassa ikiwa tayari na uhakika wa kupitishwa katika vikao vya chama kutokana na kuwaweka mfukoni mwake takribani wajumbe wengi kuanzia CC, NEC na mkutano Mkuu, kambi nyingine zimeazimia kuungana ili kukabiliana na hali hiyo, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Membe, Pinda, Mwandosya, Makongoro, Wassira na Sumaye tayari wamekuwa na vikao vya kujadili kuunganisha nguvu ili kukabiliana na gharika ya Lowassa na katika majadiliano yao wameongelea nini cha kufanya iwapo mwenyekiti atakubali Lowasa apitishwe kiubabe licha ya kuonekana amevunja taratibu za chama toka mapema na katika zoezi linaloendelea, na inasemekana mmoja wa watia kutoka Kanda ya ziwa alitoa pendekezo la kujitenga na Chama na kuungana na upinzani ili kuonyesha kutokubaliana na jinsi mambo yanavyoendeshwa ndani ya chama. Wazo hilo lilileta msuguano na kupata upinzani toka kwa Pinda na ndipo Sumaye alipo sema hatakubaliana kuona fisadi, mwizi akipitishwa na Chama Chake hivyo ni bora wazo la mtoa hoja lifanyiwe kazi. Na mwisho wakakubaliana kufanya kikao cha mwisho wiki ijayo ili kabla kufikia mwafaka wanatakiwa waongee na JK ili kujua nini kinaendelea. Nitawapa mrejesho ijumaa ijayo.

Yaani hii taarifa yko yoote imejaa dhana tuu"hypothesis"hakuna hata ambacho una uhakika nacho...hao manaofanya vikao kumbe na wao wala hawajui Kikwete ameamuaje sasa kwann wameshweka mikakati?Uogaaaa sio mzuri,Hii mada yako ni explorative,kwa maana umeweka uzi huu ili ichunguze jambo flani flani hv kutoka kwa wati flan flani hv, yaan ww umerusha chambo baharin na unategemea samaki wa aina flani ndo watanasa..Tusubir kama utawapata.
 
Hayo ni maoni yako binafsi, lakini CCM wanajua nin wana fanya, na Kama unabisha subiri July 12, formula ya kumuondoa huyo mtu ni X,5,3,1. Yaan kwa formula hiyo hawez kupita nakuhakikishia, sisi wenyew tunajua, Kama tuliweza kumuondoa Sita, hamna mtu alieamini Kama kigezo kile kingetumika, so now kuna Vitu tushaplan kwa kutumia iyo formula juu hapo yaan hawez pita nakwambia, Jana usiku wazee wamekutana kazi ishakamilika.
Na hakuna presha Kama unavozania.

hongereni kwa kiwe mabingww ww fitina na uzandiki wa kubeba maslahi ya makundi yenu huku mkiwa wapuuzi na washenzi msio na kifani kwa kunajisi maslahi ya umma na Taifa!!

cc taa nyekundu
 
Last edited by a moderator:
lowasa kateka ccm yote. hakuna cha NEC wala mkutano mkuu. cc iko mbioni kutekwa muda si mrefu...
 
Kiukweli lowassa akipitishwa ataleta upinzani kwa ukawa lakini hao wengine kina makongoro sijui membe yaani hakuna kitu kabisa.
 
Takribani ikiwa imesalia wiki moja vikao vya juu vya maamuzi ndani ya chama hicho kukaa na kupitia na hatimaye kupitishwa kwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, tayari makundi yanayohasimiana yameanza kujipanga kukabiliana juu ya kile kinachoitwa udhaifu wa mwenyekiti katika kusimamia chama kikanuni na taratibu nyinginezo. Huku ikijulikana wazi kuwa mmoja wa wagombea tayari ameshakiteka nyara chama hicho kikongwe barani Africa, ni dhahiri sasa mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndg Jakaya Kikwete ameshasalimu amri na kukubalia na hali halisi iliyopo na tayari amebariki kile kinachoitwa mwenye nguvu apitishwe. Huku watendaji wa chama wakijinasibu mikoani kuwa chama hakitampitisha mla rushwa au mtu mwenye kashfa, hali ni tofauti katika shughuli ya kutafuta udhamini. Huku kambi ya Edward Lowassa ikiwa tayari na uhakika wa kupitishwa katika vikao vya chama kutokana na kuwaweka mfukoni mwake takribani wajumbe wengi kuanzia CC, NEC na mkutano Mkuu, kambi nyingine zimeazimia kuungana ili kukabiliana na hali hiyo, taarifa za ndani zinaeleza kuwa Membe, Pinda, Mwandosya, Makongoro, Wassira na Sumaye tayari wamekuwa na vikao vya kujadili kuunganisha nguvu ili kukabiliana na gharika ya Lowassa na katika majadiliano yao wameongelea nini cha kufanya iwapo mwenyekiti atakubali Lowasa apitishwe kiubabe licha ya kuonekana amevunja taratibu za chama toka mapema na katika zoezi linaloendelea, na inasemekana mmoja wa watia kutoka Kanda ya ziwa alitoa pendekezo la kujitenga na Chama na kuungana na upinzani ili kuonyesha kutokubaliana na jinsi mambo yanavyoendeshwa ndani ya chama. Wazo hilo lilileta msuguano na kupata upinzani toka kwa Pinda na ndipo Sumaye alipo sema hatakubaliana kuona fisadi, mwizi akipitishwa na Chama Chake hivyo ni bora wazo la mtoa hoja lifanyiwe kazi. Na mwisho wakakubaliana kufanya kikao cha mwisho wiki ijayo ili kabla kufikia mwafaka wanatakiwa waongee na JK ili kujua nini kinaendelea. Nitawapa mrejesho ijumaa ijayo.

MWENYEKITI AKUBALI HIYARI YA WALIOWENGI ISHIKE HATAMU
WENGI WAPE,
**asije geuka MIKHAIL GORBACHEV wa chama cha mapinduzi.
 
ni kweli kijana...maana hata NCCR alisafiria nyota ya babake....
Hata hao wagombea wote wanapenda kumtaja sana babake katika mikutano yao...
Huwezi fahamu mengi juu yake kuhusu kukemea ufisadi maana umekuja juzi katika siasa hizi...ila waulize wajumbe wa NEC wakuibie siri za mikutano yetu.
Vikao vyetu hufanyika ndani ya chama, kuchambana ndani kwa ndani....ni kama ndani ya familia, ugomvi wa baba na mama watoto wasijue.
Mme/mke ukijua mwenzio kakusaliti sio wayasema hadharani kulinda heshima...ila mwawajibishana ndani.
Huku site watu tunawaangalia.....kumbukeni maskini wengi hawahadaiki sasa hiv
Kuna hoja nyingi nimeorodhesha, ingekuwa vizuri ukazijibu zote kuliko kujibu moja tu, hata hiyo moja uliyojibu, majibu hayajajitosheleza.

Unasema nimekuja Juzi katika siasa na nikitaka kujua Kama Makongoro hukemea ufisadi nikaulize NEC;

Kwanza naomba nikusahihishe, mimi sio mwanasiasa.
kuhusu suala la kuuliza NEC umenishangaza kidogo, hivi tukitaka kujua sifa ya mgombea uraisi tukaulize NEC?
Yaani huyu Makongoro ukemeaji wake wa maovu ukiwemo ufisadi wanaufahamu NEC tu?
Kwani Anataka uraisi wa NEC?

Naomba nikufahamishe kitu, suala la ufisadi sio suala la NEC tu, ni suala la watanzania wote, bila kujali itikadi ya Chama.
Iweje yeyote suala linagusa maslahi ya kila mtanzania aishie kulizungumzia NEC tu, Kwa nini asitoke kuli address publicly? Aliogopa nini?, je tunahitaji mtu muoga anayeogopa kuzungumza masuala ya kitaifa hadharani na Kwa uwazi?

Huyu Makongoro sio 'presidential material' na hadi Watu wanamuona kama analeta mzaha tu, wana wasiwasi na seriousness yake kiasi kwamba wanahoji ni nani Yuko nyuma yake, Watu wanajiuliza, NI NANI KAMTUMA MAKONGORO NYERERE?
Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli leo membe,wasira,sumaye,pinda wakahama chama,ccm itayumba kweli?miongoni mwao wengine hata wadhamini wameshindwa kupata unategemea nini?
 
umeongea na kuuliza maswali ya msingi sana. tufikie hatua jamani tuwe serious. makongoro nyerere ni kibaraka wa mtu fulan au kama si hivyo basi ni mchekeshaji mmoja au wale watu kadhaa ambao wameingia kwenye harakati hizi ili kuzikebehi. makongoro si rais material, si mbunge material ni mtu flan msema hovyo hovyo ambaye anadhan anaweza kupata nafasi fulani kupitia jina la baba yake. kukweli ni aibu ukikaa kumsikiliza mambo ya kipuuzi anayoongea kiasi kwamba hata wanaomsikiliza wanajiona kama nao wameenda kuangalia the comedy. huyu mtu ametumwa tu hakuwa mtu anyefaa kuwa hata mbunge, na kama ameamua basi hakutumia akili zake sawa sawa... anadhan kuropoka kwake ndiko kutamfanya aonekane ni imara au jasiri.swali la msingi alikuwa wapi miaka yote hiyo? ALIKWI?????? huyu ni mnafiki mbaya sana kama leo atakuja kujinadi kuwa eti yeye ni mpinga ufisadi wakati cv yake haionesh hivyo.
 
Wavivu wa kufikiria na wenye uwezo wa mdogo wa kufikiria wanaamini eti kwa kuwa Makongoro Nyerere ni mtoto wa hayati Julius Nyerere na kwa kuwa Nyerere anaheshimika sana nchini basi hicho ni kigezo tosha cha yeye kuwa rais wa JMT
Watanzania walilewa Nyerere na bado wana hang over ya Nyerere, Baadhi wanadhani yeyote kutoka ukoo wa Nyerere anafaa!
 
Jakaya fanya ufanyavo wa Tanzania hawamtaki Mgombea wako, Rafiki yako, Mwanamtandao wa Zamani na mchezaji mwenzako wa Basket ball, Mjeshi mwenzako mstaafu, mteule wako alieongoza moja ya mihimili ya serikali,Iache Demokrasia ichukue mkondo wake.

Anao marafiki wakuu 2, ni yupi kati yao
 
Kufuatia kupanda kwa joto la kumsaka mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia CCM na songombingo la Zanzibar, Kamati Kuu ya CCM (CC) imeitishwa kwa dharura. Nyaraka za kikao hicho zinaonesha kuwa CC itajadili songombingo la Zanzibar na kuanza kupanga nondo za kuchambua na kuchuja watiania wa CCM. Kikao hicho cha dharura kinatazamiwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na kitafanyika Dodoma.

Kulingana na taarifa nilizonazo,kikao kitafanyika kesho.CC inagusia pia malalamiko ya rushwa toka kwa watiania waliorejesha fomu. Yametolewa malalamiko lukuki yachomayo kama mkuki hasa juu ya wakati wa kusaka wadhamini mikoani. Ni kutoka kwa watia nia wenyewe. Wapo waliowasilisha nyaraka na shahidi nyinginezo kushuhudia rafu za baadhi ya watiania.JF will be the first to know kitakachojiri kikaoni!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwa hilo la Zanzibar naona ccm wenyewe wamelitaka kwa chuki dhahiri
 
Back
Top Bottom