msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,141
umeongea na kuuliza maswali ya msingi sana. tufikie hatua jamani tuwe serious. makongoro nyerere ni kibaraka wa mtu fulan au kama si hivyo basi ni mchekeshaji mmoja au wale watu kadhaa ambao wameingia kwenye harakati hizi ili kuzikebehi. makongoro si rais material, si mbunge material ni mtu flan msema hovyo hovyo ambaye anadhan anaweza kupata nafasi fulani kupitia jina la baba yake. kukweli ni aibu ukikaa kumsikiliza mambo ya kipuuzi anayoongea kiasi kwamba hata wanaomsikiliza wanajiona kama nao wameenda kuangalia the comedy. huyu mtu ametumwa tu hakuwa mtu anyefaa kuwa hata mbunge, na kama ameamua basi hakutumia akili zake sawa sawa... anadhan kuropoka kwake ndiko kutamfanya aonekane ni imara au jasiri.swali la msingi alikuwa wapi miaka yote hiyo? ALIKWI?????? huyu ni mnafiki mbaya sana kama leo atakuja kujinadi kuwa eti yeye ni mpinga ufisadi wakati cv yake haionesh hivyo.
We kweli Chizi Maarifa yani mtu anaewachana live mafisadi ni mropokaji.??
Watu kama wewe inabidi mfe ili nchi iendelee..
Last edited by a moderator: