CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

[h=5]CHADEMA TULITEGEMEA KURA ZA CUF TULIWEKEANA MKATABA AU ALLIANCE AMBAYO MZEE SLAA AMESHIRIKI VILIVYO KUIANDAA....CUF ni ccm B kama tunavyowaita, lakini leo tunaweka nao mkataba wa kugawana madaraka, uu wapi umakini wetu katika hili? yaani tulitegemea kuungwa mkono na watu tunaowaita ccm B?[/h]

Dr Slaa, kila siku anasema kimsingi Chadema hawawezi kuungana na CUF tayari wameishaungana na CCM kuunda serikali Zanzibar CUF ni CCM B...sasa kaingiaje mkenge? kumbe CUF nao ni Mafia. FJM usilie na CUF muulize kwa nini kaingizwa mjini na CUF.
 
Last edited by a moderator:
afadhali umesema kweli,kumbe mmewahonga ccm b!!!!amazing.tupe budget breakdown ya uchaguzi huu.

Jina lako ni zuri kweli 'mamajack' na mie nina mtoto anaitwa jack na mke wangu namuita pia mamajack
 
CDM mlitegemea nini kitokee zaidi ya hayo. Mlipoingia bungeni mkasema CUF hamuwataki, mkiona mnabanwa mnalazimisha wawaunge mkono. Kaa kimya mambo yaende.
 
Huhitaji kufanya utafiti kujua rafu na umafia unaotumiwa na CCM kubaka demokrasia. Umeya wa Jiji la Arusha umeshikiliwa na CCM kimafia, taratibu za chaguzi zimekiukwa. Iko wazi CCM ilirubuni madiwani wa CDM Arusha. Hata Mwanza iko hivyohivyo. Mbinu za CCM katika kucreate migogoro kwenye halmashauri za miji, majiji na manispaa zinazoongozwa na vyama vya upinzani inafahamika. Unless otherwise kama wewe unaishi sayari nyingine.
Kwahiyo CDM sio makini?
 
naona mama povu limekubali ile mbaya,hii ndio siasa, utakuja pata ugonjwa wa moyo bure.
povu,ugonjwa wa moyo,mie sio shabiki kama wewe,najua ninachokifaya.sitafuti posho ya kushabikia ufisadi as u do.
 
Habari zilizopo ni kuwa henri matata amekimbilia mahakamani akitaka apendekezwe AWEMO kupitia chadema hivyo uchaguzi umeahirishwa mpaka mahakama itoe uamuzi by saa nane mchana ndio uendelee.....ila kwa umeya wa nyamagana CCM iliungana na cuf na kupata kura 10 wakipata kura moja ya ziada kutoka chadema sasa haijulikani kama kura hio ni ya chagulani au diwani mwingine yeyote ILA CUF imepata unaibu meya kutokana na ndoa yake na ccm na kuikacha CHADEMA...wale wanaoshangilia ilkua lazima CCM ishinde baada ya kuungwa mkono na cuf kwani ccm ilikua na madiwani 7 chadema 8( akiwemo chagulani) cuf 2 ...... so ccm + cuf+ chaGULANI= 10 kwa wale mnaobishana ushindi kwa ccm ilikua lazima labda kama cuf angeungana na chadema...i

Tunashukuru kwa taarifa mkuu, hakuna haja kushirikiana na chama cha kidini yaani cuf
 
Umeya sio kitu kwa sababu wanachaguana wenyewe.Kwa hiyo mwenye madiwani wenge au mwepesi wa kuoa au kuolewa ndiye atakayeshinda tu.Ingekua meya anachaguliwa na wananchi hapo sana.Ni sawa na Uspika wa bunge
 
Kuna kipindi nilikuwa nikikosa kurog in JF nilikuwa naona kama nimepoteza kitu cha thamani kubwa ni bora nikose hata chakula, na nina declare JF ilinisaidia hata kupunguza vile vikao vya ulevi, lakini siku zinavyosonga mbele naona mabadiliko ya ghafla.

Thread hii tangu imeanza viewers ni wengi kwelikweli, lakini wachangiaji hawazidi 10, na wengi wao ni mahoka tupu, ukiisoma thread hii kwa makini unaweza ukapick some critical comment kutoka kwa Member wasiozidi 4. hii ni aibu kubwa sana kwa JF.

Nadhani sasa ni wakati muhafaka wa Reputation Power zianze kutumika ili hata mimi Matola nikiongoza kwa Pumba humu niwe nakosa Prevalege za kushiriki baadhi ya thread, hakuna tena ile taste iliyokuwa inapatikana hapa JF. Kwa maoni yangu hii ndio njia pekee ya kurudisha heshima ya mtandao huu.
 
Huhitaji kufanya utafiti kujua rafu na umafia unaotumiwa na CCM kubaka demokrasia. Umeya wa Jiji la Arusha umeshikiliwa na CCM kimafia, taratibu za chaguzi zimekiukwa. Iko wazi CCM ilirubuni madiwani wa CDM Arusha. Hata Mwanza iko hivyohivyo. Mbinu za CCM katika kucreate migogoro kwenye halmashauri za miji, majiji na manispaa zinazoongozwa na vyama vya upinzani inafahamika. Unless otherwise kama wewe unaishi sayari nyingine.

Hivi na nyie cdm ngoja niwaulize, miaka yote hii mko kwenye ulingo wa siasa hizi mbinu wanazo tumia wenzenu wa ccm hamjazipatia dawa ? kwani kila siku mnasema kwennye majukwaa kuwa njama za ccm zimeejulikana na dawa yake mnayo hawana pakutokea, hua ni kweli msemacho au ni magumashi ya kisiasa?
 
Kwa comment kama hizi nadhani zinaweza kufanya Mabula akaongoza halmashauri kwa tabu sana kwa sababu atakuwa hapati theluthi mbili ya wajumbe inayotakiwa kwenye maamuzi yeyote
Kupata amepata umeya jee kutakuwa na maelewano ya maamuzi kwenye vikao au ndio siasa za bipartisan zitaanza kuongoza sasa
 
Kuna kipindi nilikuwa nikikosa kurog in JF nilikuwa naona kama nimepoteza kitu cha thamani kubwa ni bora nikose hata chakula, na nina declare JF ilinisaidia hata kupunguza vile vikao vya ulevi, lakini siku zinavyosonga mbele naona mabadiliko ya ghafla.

Thread hii tangu imeanza viewers ni wengi kwelikweli, lakini wachangiaji hawazidi 10, na wengi wao ni mahoka tupu, ukiisoma thread hii kwa makini unaweza ukapick some critical comment kutoka kwa Member wasiozidi 4. hii ni aibu kubwa sana kwa JF.

Nadhani sasa ni wakati muhafaka wa Reputation Power zianze kutumika ili hata mimi Matola nikiongoza kwa Pumba humu niwe nakosa Prevalege za kushiriki baadhi ya thread, hakuna tena ile taste iliyokuwa inapatikana hapa JF. Kwa maoni yangu hii ndio njia pekee ya kurudisha heshima ya mtandao huu.

​umemaliza kusema ulichotaka kusema ?
 
Wewe kama unaona vipi unaweza ukakitoa, wakati haupo hakuna kilicho pungua na sasa umerudi hakuna kilicho zidi.unakua kama hujui uhuru wa maoni.
 
Habari zilizopo ni kuwa henri matata amekimbilia mahakamani akitaka apendekezwe AWEMO kupitia chadema hivyo uchaguzi umeahirishwa mpaka mahakama itoe uamuzi by saa nane mchana ndio uendelee.....ila kwa umeya wa nyamagana CCM iliungana na cuf na kupata kura 10 wakipata kura moja ya ziada kutoka chadema sasa haijulikani kama kura hio ni ya chagulani au diwani mwingine yeyote ILA CUF imepata unaibu meya kutokana na ndoa yake na ccm na kuikacha CHADEMA...wale wanaoshangilia ilkua lazima CCM ishinde baada ya kuungwa mkono na cuf kwani ccm ilikua na madiwani 7 chadema 8( akiwemo chagulani) cuf 2 ...... so ccm + cuf+ chaGULANI= 10 kwa wale mnaobishana ushindi kwa ccm ilikua lazima labda kama cuf angeungana na chadema...i
wengine wanaulaumu uongozi wa juu wa cdm lakini kwa wale wanaokiangalia chama kwa miaka 15 na 30 ijayo ni bora walivyowafukuza watu ambao kwa uwazi wameonyesha usaliti.
Kuendelea kuwang'ang'ania isingekuwa na tofauti yoyote kama ccm wanavyowang'ng'ania mapacha wawili waliosalia na mafisadi wengine ili 'kulinda chama kisimomonyoke'. Let them go but cdm stick on its vision!

Sielewi sheria inasemaje ngoja tusubiri ruling ya mahakama ila kwani kila chama kinapendekeza jina na kuliwasilisha lake halikuwemo toka CDM anahitaji liwe lake.Naamini mahakama haina ubavu wa kuingilia kura au mapendekezo yanayofanywa ndani ya chama kwa kufata katiba za vyama husika. Let us wait and see.
 
sisi tunalijua hilo, masha aliwachezea wakamvua chupi lakini CDM bado haijui msukuma ni nani.

Wasukuma saizi hawataki kabisa mchezo wanataka kuongozwa na msukuma mwenzao (Wagwise) si hunajua Wenje sio msukuma ni mtu wa Kenya.
 
Inakuwa kama Yanga anavofanya kufukuza makocha/wachezaji bila kuwalipa stahiki zao
 
Back
Top Bottom