CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

KATIBA MPYA: MAMEYA na WENYEVITI wote wa HALMASHAURI wapigiwe kura na WANANCHI wote. Jiji la Mwanza lenye wakazi milioni moja linapewa Mayor na watu 11 tu! Tunawataka Mameya wenye nguvu kama yule wa London na New York.
 
Haya ndio matunda ya mvurugano ulio tokea mwanza.CDM lazima itasambaratika mkoa wa mwanza, mlifikiri wasukuma kama wameru.

Wasukuma watu makini sana. Tena kwa sasa CDM mwanza basi. Mlipewa nafasi mkaichezea kurudisha mioyo ya wasukuma tena waipende CDM ni ngumu.
 
anatafutwa:

kwa yeyote mwenye taarifa juu ya wapi alipo slaa atufahamishe, inasemekana amekimbia ukumbini na anatafutwa na waandishi wa habari!!
 
Hata kama ungekuwa ww kwa aibu hii yakipigo hiki usinge kubali kuongea na waandishi wa habari, hili ni pigo takatifu huwezi amka tena mkuuuu
Nikipiga picha na ile suruali ya Slaa ya cadet anakuwa kama kajiharishia na mbio hahahahhhhahhahah chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
uchaguzi wa watu 19,mnapiga kelele za kijinga,kwani wewe ni mwandishi wa habari unawasemea kama amewakibia watasema wenyewe!

Kwanini mlishiriki kama uchaguzi wa watu 19 si mngesusa kama mnavyofanya. Kubali tu kichapo mmekipata na slaa kalala mbele.
 
Habari ya uchaguzi wa meya ni muhimu lakini mleta mada kaileta habari nusu nusu sana halafu wachangiaji wako kishabiki na wengine wanamwaga matusi tu. Huku ni kuirudisha nyuma JF.

Ni ajabu sana yaani mleta mada uko eneo la tukio halafu unashindwa kabisa kutueleza mambo muhimu kama haya:

1/Tulitaka kufahamu wajumbe wa baraza la madiwani walikuwa wangapi na wanapaswa kuwa wangapi?

2/Uwiano wa Vyama ukoje?

3/Mwelekeo wa ushindani ulikuwaje?

4/Ubashiri wa matokeo ulikuwaje?

5/Matukio muhimu yaliyojili na yanayojili.

6/Maoni yako na ya watu mbalimbali waliopo karibu na eneo la tukio.
 
Umeya wa miji yote nchi hii unauzwa na kununuliwa kama bidhaa yoyote ile. Hii inatokana na Jimbo lenyewe kuwa na wapiga kura wachache mno. Unaona Mabula tayari ni Mayor kwa kura 11 tu.

Mkuu mbona ukusema mwanzo kabla ya uchaguzi mbona Chadema walivyokuwa wanaongoza ukusema kitu...unanikumbusha zamani wakati nipo chekechea pale Kisutu mkipigana na mwenzako atakayetoka damu ndio kapigwa na ugomvi unaisha yanaanza malalamiko.
 
Kwanini mlishiriki kama uchaguzi wa watu 19 si mngesusa kama mnavyofanya. Kubali tu kichapo mmekipata na slaa kalala mbele.
inaonekana unampenda sana slaa!wait 2015 sio mbali sana utamtaja mpaka usingizini.
 
Kabisa. Wewe waulize hao madiwani 19 walioshiriki uchaguzi huo leo. Kila mtu atakuwa hajambo sana leo. Mabula atazirudisha tu hizo pesa haraka sana kwa alivyo mchakarikaji

Kama una uhakika madiwani wa cdm nao walihongwa wafukuzeni wote, ni bora kutokuwa na diwani yoyote mwanza kuliko hawa unaosema walihongwa, si ndivyo? . Haya itisheni kamati kuu kesho muwafukuze na hawa pia
 
The main looser wa huu uchaguzi ni CUF. Meya anapatikana kutokana na kura za madiwani, na madiwani wanapiga kura along paety lines. Hatuwezi kusema CCM sasa inakubalika Mwanza kwa kuangalia kura za madiwani kwa sababu statistically chama kikiwa na madiwani wengi bais nafasi ya Meya inakuwa yao (unless kuna mamluki).

Kwa upande wa CUF uchaguzi huu ulikuwa ni nafasi muhimu kuutangazia umma kama wao wanasimama upande upi? Huko nyuma walidai wanasingiziwa kuwa wao ni CCM B, lakini baada ya huu uchaguzi wa Meya Mwanza mambo yote yamewekwa hadharani- CCM na CUF ni wamoja. Hiki ndicho kimefanyika Mwanza kwamba sasa wananchi wanajua hakuna vuguvugu tena.

Kwa upande wa CHADEMA walijua gharama ya kuwaondoa madiwani. Na hapa wameonesha wako tayari kusimamia principles za chama kwa gharama yoyote ile. Hawafugi toxic za siku 90 kwa hofu ya kupoteza nafasi za uongozi.

Imekuwa ni afadhali CHADEMA wamewatema madiwani vuguvugu mapema even kwa gharama ya kiti cha umeya na sasa wanaweza kuelekea 2015 bila mamluki. CCM wanaweza kujipongeza leo kwa ushindi wa uchaguzi wa mezani uanofanywa na watu wachache, lakini je wana ubavu kwenye uchaguzi wa uraiani?
 
KATIBA MPYA: MAMEYA na WENYEVITI wote wa HALMASHAURI wapigiwe kura na WANANCHI wote. Jiji la Mwanza lenye wakazi milioni moja linapewa Mayor na watu 11 tu! Tunawataka Mameya wenye nguvu kama yule wa London na New York.
Mkuu piiipooooz wako wapi?
Mkizidiwa msibadili au kuhamisha magoli, tafuteni kocha mwingine, Slaa kachemsha.
 
Mkuu mbona ukusema mwanzo kabla ya uchaguzi mbona Chadema walivyokuwa wanaongoza ukusema kitu...unanikumbusha zamani wakati nipo chekechea pale Kisutu mkipigana na mwenzako atakayetoka damu ndio kapigwa na ugomvi unaisha yanaanza malalamiko.
kumbe ulianza siku nyingi toka ukiwa chekechea!umekubuhu!
 
Nikipiga picha na ile suruali ya Slaa ya cadet anakuwa kama kajiharishia na mbio hahahahhhhahhahah chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

We[MENTION] MCHAWI[/MENTION], heshimu waliokuzidi umri.
 
Faida tupu, Chama kinachowajibika, issue sio umeya, bali ni uadilifu. Subiri moto wake.
 
Kabisa. Wewe waulize hao madiwani 19 walioshiriki uchaguzi huo leo. Kila mtu atakuwa hajambo sana leo. Mabula atazirudisha tu hizo pesa haraka sana kwa alivyo mchakarikaji
Kwaiyo madiwani wenu ni wala rushwa sio, na Slaa alienda kuchukua fungu lake nini?
 
Mkuu piiipooooz wako wapi?
Mkizidiwa msibadili au kuhamisha magoli, tafuteni kocha mwingine, Slaa kachemsha.
cdm chama makini hakibabaishwi na mambo madogo!nyie kupata huyo mea tena kwa g'harama kubwa basi midomo imewavimba.
 
Back
Top Bottom