CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

CCM yaibwaga CHADEMA katika Umeya jiji la Mwanza

Mie hapo cdm ndipo mnapo niacha hoi, mkishinda nyie uchaguzi ulikuwa huru na haki, mkishindwa ooh wamenunuliwa, sasa mnataka siku zote mshinde nyie tu? angeshinda wa cdm ungesema hayo??????
Umeya wa miji yote nchi hii unauzwa na kununuliwa kama bidhaa yoyote ile. Hii inatokana na Jimbo lenyewe kuwa na wapiga kura wachache mno. Unaona Mabula tayari ni Mayor kwa kura 11 tu.
 
hata simba aliwahi kubahatisha kumfunga Yanga lakini haimaanishi simba ni wazuri kuliko yanga walibahatisha tu!
Ebana ehhh, CCM itukane unavyo taka lakini nakuomba usiingize Simba,hapo unatafuta kutukanwa
 
Umeya wa miji yote nchi hii unauzwa na kununuliwa kama bidhaa yoyote ile. Hii inatokana na Jimbo lenyewe kuwa na wapiga kura wachache mno. Unaona Mabula tayari ni Mayor kwa kura 11 tu.


Kwa hiyo wataka kusema na nyie cdm mlikuwa mnunue huo umeya w mwanza ila ccm wamewazidi dau tu ?
 
aise ni habari ambazo si nzuri ila ni chadema kujipanga na wajaribu kuwa na maamzi mengine ambayo wanapaswa kuyatafakali kwa kina zaidi ndipo watoe maamzi ila cha msingi ni kupambana kulea chama mpia huyo meya ni wa nyamagana au ilemela?
 
Its pointless.
And whatever the case, you lose, hands down.
We weren't arguing on election results, I was only criticising you on the way you wanted to mislead others on the meaning of that word, period! Next time, try to check your grammar before you break voice out!
 
Umeya wa miji yote nchi hii unauzwa na kununuliwa kama bidhaa yoyote ile. Hii inatokana na Jimbo lenyewe kuwa na wapiga kura wachache mno. Unaona Mabula tayari ni Mayor kwa kura 11 tu.
Imekuwa hivyo tena? Nyie bora mkubali yaishe tu, najua kuwa katika Tanzania nzima hamkutegemea hiki kipigo kutokea mwanza. Poleni sana.
 
Hivi hawa Madiwani 8 wa CDM baadhi walipewa
Rushwa na Nape maana ukichanganya na ya Mbunge 1 lazima wangeshinda
Tusiangalie Ushabiki tu wa vyama hata km Mgombea hafai Watanzania chadueni Mtu na sio Chama au DINI
 
Ningekuwa rais,ningeikabidhi hii nchi kwa chadema free halaf nione watafanya yapi mapya
 
Hata kama ungekuwa ww kwa aibu hii yakipigo hiki usinge kubali kuongea na waandishi wa habari, hili ni pigo takatifu huwezi amka tena mkuuuu

Unajua; "bwana slaa" uzee unamyemelea tatizo hana familia na hanamajukumu angekuwa na familia na majukumu asingekuwa anakurupuka na kupiga makelele.

Slaa anatakiwa aoe nadhani atakua na busara.
 
Kwa hiyo wataka kusema na nyie cdm mlikuwa mnunue huo umeya w mwanza ila ccm wamewazidi dau tu ?
Kabisa. Wewe waulize hao madiwani 19 walioshiriki uchaguzi huo leo. Kila mtu atakuwa hajambo sana leo. Mabula atazirudisha tu hizo pesa haraka sana kwa alivyo mchakarikaji
 
Haya ndio matunda ya mvurugano ulio tokea mwanza.CDM lazima itasambaratika mkoa wa mwanza, mlifikiri wasukuma kama wameru.
 
We weren't arguing on election results, I was only criticising you on the way you wanted to mislead others on the meaning of that word, period! Next time, try to check your grammar before you break voice out!
So much for your grammar, more over , given your red face , you look like a bad loser.
Piiipoooooz!.............(mtajaza)
 
wewe mwehu,dr slaa hawezi kukimbia sababu ya kushindwa umeya chadema!nyie magamba ndiyo zenu,na mwanza lazima arudi.

Mbona kakimbia wandishi wa habari? ni aibu au.
 
Demokrasia inakuwa na gharama zake hasa katika mifumo ya Siasa za Afrika zilizogubikwa na ufisadi mwingi. Sidhani kama matokeo haya yatakuwa hayakutegemewa na CDM hasa ikizingatiwa kete yake ya ushindi iliwategemea madiwani wa CUF ambao tayari wako kwenye ndoa na CCM.


Rafu za CCM zilianza mapema sana. Waliokuwa madiwani wa Igoma (Chagulani) na Matata (Kitangiri) ndiyo walikuwa watekelezaji wa mradi huu, watakuwa tayari wana fedha zao mfukoni na CDM imeanguka. Ukitaka kukijua CCM na uroho wake wa madaraka na kwamba kinaweza kufanya lolote katika hilo angalia kilichotokea Arusha. Ni ubakaji wa demokrasia. Hakuna kitu kilikuwa kinaipasua kichwa CCM kama majiji ya Arusha na Mwanza kuwa chini ya CDM.

Hakika kwa hili la Jiji la Mwanza nguvu za giza zimeshinda dhidi ya mwanga. Majiji yote ya Arusha na Mwanza yameshikiliwa tena na CCM kimafia. Ni ndoto na kiu ya muda mrefu ya CCM, imetimia kimafia. Madiwani wa CDM wameingia kwenye usaliti dhidi ya umma na chama chao. Rupia imepenyezwa haki ya umma imepotea.

USHAURI KWA CDM

-Umakini utawale sana kwenye kuchuja wagombea wake wa nafasi mbalimbali vinginevyo sinema za usaliti kama za Madiwani wa Arusha na sasa akina Chagulani Mwanza zitaendelea tu.

-CDM ifanye mkutano mkubwa jijini Mwanza na wautumie kuwashukuru wana Mwanza kwa ushirikiano waliouonesha wakati wakiongoza jiji hilo na waeleze usaliti uliojitokeza na kilichotokea katika uchaguzi huo wa umeya. Katika mkutano huo makamanda wote wahudhurie na ikiwezekana awamu inayokuja ya M4C ianzie Mwanza.


-Ni watu 11 tu kati ya wakazi wa Jiji la Mwanza 789, 246 ndiyo wamepiga kura kumpitisha meya wa CCM tena kutokana na usaliti wa CUF. Ukweli ni kuwa CDM iko mioyoni mwa wana Mwanza. CCM inaweza kutumia njia zote lakini haina nafasi Mwanza.


Sasa ndio naamin kumbe mtu akikaribia kukata roho, husema maneno yote hata yale ambayo hayafai kusemwa. Jana humu jamvini Slaa alijitapa kuwa umeya utarudi cdm, leo hii ww unakuja na thread kuwa madiwani walihongwa, una ushahidi huo au ndio kupayuka kwakushindwa vibaya na huu ushindi wa sunami ?/??/?
 
Back
Top Bottom