Duuh! Ama kweli duniani kuna kila aina ya ubongo. Hivi unaweza kuita kikundi cha watu 18 kuwa ni umma kweli? Serious?Unaongelea umma upi?
na waliopiga kura ni miti?
Unaongelea umma upi?
na waliopiga kura ni miti?
The guillitone 18 wouldnt be representing trees , would they?Duuh! Ama kweli duniani kuna kila aina ya ubongo. Hivi unaweza kuita kikundi cha watu 18 kuwa ni umma kweli? Serious?
yes ni miti tena mikavu isiyochimbwa dawa.Unaongelea umma upi?
na waliopiga kura ni miti?
Ni ujinga mbaya zaidi kutokubali kuwa umezidiwa kete na UMESHINDWA.Tatizo letu watanzania tuna majibu ya kijinga kama haya yako muda wote,umma ni mpiga kura mmojammoja toka jimboni sio hao madiwani wanaoitwa pembeni na kuchuma rushwa toka ccm
Aibu gani? Unamfahamu vizuri aliyeshinda? Hivi kuwanunua watu 11 ni kazi kubwa kwa tapeli kama Mabula?
Suala la kumwondoa Mayor wa Jiji la Mwanza lilianzia mbali. Uchaguzi wa leo ulikuwa kukamilisha ratiba tu. Msubirini Dr Slaa atatoa kauli tu.
utulivu,nidhamu,amani,uvumilivu na mshikamano ndio silaha iliyo bora katika kujiletea maendeleo yaliyo endelevu.hongereni mlioshinda na muendelee katika yale walioshindwa wenzenu ili hatimaye 2015 chama chenu kishike hatamu.
Kindly refer to your Kiswahili Dictionary to check the meaning of the word "umma" thereafter we can resume this dialogue.The guillitone 18 wouldnt be representing trees , would they?
Maamuzi ya kitoto ya Slaa ndio yanaimaliza CDM.
Tatizo CDM walifiki mwanza kama arusha, wamefukuza madiwani wakapata kipogo cha mbwa. Naona Slaa amekimbia na chupi mkononi.
Its pointless.Kindly refer to your Kiswahili Dictionary to check the meaning of the word "umma" thereafter we can resume this dialogue.