CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Kuna tuhuma kuwa kule Tarime Kamati ya siasa wilaya Tarime ikiongozwa na mwenyekiti wake anaefahamika kama Ngicho, mkuu wa wilaya, wabunge pamoja na viongozi wengine wa chama waliwaamuru vijana wa CCM (Green guard) kuwashambulia walimu wa shule ya msingi Nkende baada kutokea kutokuelewana baina yao na walimu, vile vile kaimu afsa elimu aliyekuwa anapinga walimu hao kushambuliwa na green guard nae alipokea kichapo toka kwa vijana hao.

Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari waandishi waliokuwepo katika msafara huo walipigwa stop kuripoti tukio huku walimu hao wakinyimwa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu, chanzo changu kinaendelea kutabainisha kuwa walimu hao wamepewa vitisho wasiongee na chombo chochote cha habari, na mkuu wa mkoa wa Mara, Mtanda amefika leo kusawazisha mambo.
 
Mwambieni huyo mkuu wenu wa mkoa kuwa panapofuka moshi basi kuna moto utawaka
 
Viongozi wa CCM imefikia wakati wao wanajiona ndiyo kila kitu ktk nchi hii. Ukute waliofanya tukio hili wengine elimu zao ni ndogo kuliko hao walimu na wanajifanya wanajua kila kitu.

Aliyeleta ungonjwa wa kuchanganya wanasiasa kwenye utumishi wa umma aliaribu sana, tunalia hakuna maendeleo lakini wanaoharibu ni wanasiasa!
 
Sasa unazani elimu ni zawapi! Ni zile karatasi zikiwa nyingi inabidi atafute msaada wa kusomewa
 
Kama Ni kweli safi...maneno ya jukwaani..wapinzani wameshaongea na kuchoka majukwaani..
Mbwa Hawa tumewafunga wenyewe sasa wanakuja kutung'ata.Eleweni CCM Ni chama kitachoondoka kwa nguvu sio kwa sanduku..the sooner we all realize it the sooner we get serious about removing them from power
 
Kuna tuhuma kuwa kule Tarime Kamati ya siasa wilaya Tarime ikiongozwa na mwenyekiti wake anaefahamika kama Ngicho, mkuu wa wilaya, wabunge pamoja na viongozi wengine wa chama waliwaamuru vijana wa Ccm(Green guard) kuwashambulia walimu wa shule ya msingi Nkende baada kutokea kutokuelewana baina yao na walimu, vile vile kaimu afsa elimu aliyekuwa anapinga walimu hao kushambuliwa na green guard nae alipokea kichapo toka kwa vijana hao.

Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari waandishi waliokuwepo katika msafara huo walipigwa stop kuripoti tukio huku walimu hao wakinyimwa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu, chanzo changu kinaendelea kutabainisha kuwa walimu hao wamepewa vitisho wasiongee na chombo chochote cha habari, na mkuu wa mkoa wa Mara, Mtanda amefika leo kusawazisha mambo.
Ni Tanzania pekee duniani tukio kama hili linafumbiwa macho na wafanyakazi wote pamoja na waalimu wenzao!!!!Wapigwe tu!!
 
Kuna tuhuma kuwa kule Tarime Kamati ya siasa wilaya Tarime ikiongozwa na mwenyekiti wake anaefahamika kama Ngicho, mkuu wa wilaya, wabunge pamoja na viongozi wengine wa chama waliwaamuru vijana wa Ccm(Green guard) kuwashambulia walimu wa shule ya msingi Nkende baada kutokea kutokuelewana baina yao na walimu, vile vile kaimu afsa elimu aliyekuwa anapinga walimu hao kushambuliwa na green guard nae alipokea kichapo toka kwa vijana hao.

Kwa mujibu wa chanzo changu cha habari waandishi waliokuwepo katika msafara huo walipigwa stop kuripoti tukio huku walimu hao wakinyimwa PF3 kwa ajili ya kupata matibabu, chanzo changu kinaendelea kutabainisha kuwa walimu hao wamepewa vitisho wasiongee na chombo chochote cha habari, na mkuu wa mkoa wa Mara, Mtanda amefika leo kusawazisha mambo.
Mtanda ni jipu Ila anabebwa na ukaribu wake na Majaliwa.
 
Back
Top Bottom