CCM yadaiwa kuwapa kichapo walimu Tarime

Ndivyo walivyo wale kitu kidogo tu hawawezi kusawazisha ni nguvu tu huku akili wakiweka mikononi

Umekaa kwa muda gani kule?

Unajua "kitu kidogo" kinatofautiana kutoka jamii moja mpaka nyingine.

Pia katika issue hii usitake kuondola lawama kwa CCM na kutaka kutwisha kabila fulani.

Matukio mangapi ya UVCCM ya hovyo yamefanyika lakini ni nadra sana kusikia yanahusishwa na kabila au watu wa asili ya mkoa husika?
NB: Udini+Ukanda+Uchama unaathiri sana mitazamo ya watu wa hii nchi na namna ya kuyaendea maendeleo.

Ogopa sana hii combination: Mkristo+Kanda ya Ziwa+CCM ++
Muislamu+Coast Zone+CCM++
Mkristo+Nyanda za juu kusini+CCM++

Ukikutana na watu wenye combination hizo katika mwili mmoja usipende sana kuwaamini katika masuala ya haki,uaminifu na wema kama hau dance according to their tunes.

Katika hizo combinations hata Professor anaamua kufanya ufala na anajua ni ufala, kiongozi wa dini anaenda kukingia kifua uvunjaji wa haki n.k
 
Nakuelewa sana Mkuu Drat
 
Mkuu smart move ni kuwa out of situation before haijafika huko.
Ukiwa out numbered unafanya nini?! Labda kama una special training mithili ya Jackie Chan katika movie.

Ogopa sana wajinga wengi wakifanya maamuzi ya pamoja na kuamua kuyazingatia, halafu wewe ukawaletea akili nyingi kisha waku label "mjuaji"😁.

Kinachofatia hapo ni kukukomesha.

Mm hapo nahisi ningekuwa mbinguni kwa baba au jela
 
Back
Top Bottom