CCM yabwagwa Lindi na UKAWA, ndani ya Mitaa saba yaambulia patupu

Lengo la wanalindi ni kuiondoa CCM kuanzia mtaa, kata mpaka jimbo ifikapo 2020. Hata PM 2020 hana chake katika jimbo la Ruangwa.
 
Kwa mburuzo huu ambao ccm imeburuzwa ni wazi kabisa hawana chao tena 2020. Hongera sana Timu Kampeni wote mlioshiliki kuibwaga ccm bila majibu.
 
e3ff7552617602170e9caa2a4b4464fe.jpg
 
CCM wamekuwa wakiambulia bashite (zero) maeneo mengi tu ila wamekuwa wakiiba kura au kugeuza matokeo.
 
Back
Top Bottom