CCM yabwagwa Lindi na UKAWA, ndani ya Mitaa saba yaambulia patupu

Mitaa 5 ilikuwa chini ya CCM na 2 ya CUF,
Sababu za marudio hayo ya uchaguzi ni kwamba..
Wenyeviti 2 walifariki (mmoja CUF mmoja CCM),
Mwenyekiti 1 wa CUF alijiuzulu uongozi na wenyeviti 4 walobaki wa CCM walivuliwa uanachama hivyo kupoteza sifa ya kuwa wenyeviti..
na matokeo ndo hayo..

mjumbe hauwawi!
 
Hahahaha....hivi kymbe kuna tume UHURU ya UCHAGUZI pale tu mnaposhinda....MKISHINDWA hakuna TUME huru.....
MLAANIWE
Usijitoe ufahamu na kujifanya huelewi,mmeshindwa kuchakachua kwa sababu uchaguzi wa serikali za mitaa hausimamiwi na tume ya uchaguzi nyie watoto mnatia aibu nenda fb kwanza
 
Hivi jamani chama chetu ccm tuko salama, hivi majuzi tuu Mwenyekiti wa taifa wa chama chetu cha ccm alikuwa na ziara huko kusini, Lindi na Mtwara, kumbe na kampeni za chaguzi za serikali za mitaa zilikuwa zinaendelea, akamnanga na Mbunge wa CUF lakini bado viti vyote 7 vikiwemo vya ccm 4 vimeondoka na CUF, sasa waliokuwa wanamshangilia Mwenyekiti wao walikuwa wanamaanisha au? tujipange wanaccm tunakoenda siko, tujiadhari na kauli zetu, viinginevyo mimi nahama chama muda si mrefu.
 
Uchaguzi wa uhuru na haki, bila figisifigisi na MaPolisiccm hawa Lumumba tunawapoteza mazima.
Watu wamewachoka. Wanafukuza watu kazi eti kuhakiki vyeti fake kumbe wenyewe ni vinara wa vyeti vya wizi, wanalindana!!
 
Nasilkitika sana kwa pigo tulilolipata la kupoteza viti 4 ambavyo vimechukuliwa na CUF na kufanya jumla ya viti 7, wanaccm wenzangu naomba tujipange upya, hata pale Mwenyekiti wetu alipomnanga Mbune wa CUF akashindwa hata kutaja matumizi ya fungu lililopelekwa Jimboni kwake, lakini bado wananchi wamekuwa na imani na chama chao cha CUF kwa kuwapa kura nyingi za ushindii.
Tubadilike na tuwe na kauli nzuri kwa watu wetu pale ambapo watakuwa wanatueleza shida zao siyo tuwatamkie hakika mtakufa, kufa kupo lakini kujitetea ni muhimu.
 
Kudadadeki, pamoja na kutumia hela za walipa kodi kwenye ziara ya Lindi na Mtwara ikiwa ni pamoja na kumteua Mama Salma kikwete, na kumnanga mbunge wa CUF mbele ya wananchi, halafu akachangia na. Tshs Mil 20 bado amepigwa kata zote 7 zikiwemo na sisiem 4, nimewapenda sana, " Nitumbue au nisitumbue" tumbua kumbe hawamaanishi saaafi sana wana lindi na mtwara BIG UP
 
Nabado wakazabwa..

Huu mwaka naomba uishe salama maana kuna kitu kimenikaa hapa kila saa nakua natamani kuongea shit
 
Back
Top Bottom