Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
CCM ni sumu inayokula akili, wengi wanakosa busara na hekima
Hivi punde nimemsikia M/kiti wa jumuiya ya wazazi CCM alihaji Majura Bulembo akidai kuwa maandamano yaliyotangwaza na CDM kufanyika ktk miji minne tar. 25 mwezi huu kudai kujiuzulu waziri wa elimu yanapaswa kuanzia Moshi. Kwa maelezo kuwa huko ndiko kwenye watoto na jamaa za wana-CHADEMA.
Badala yake eti maandamano yametajwa kufanyika katika miji mingine ili watoto na jamaa zao(wana - CHADEMA) wasipate madhara. Je ni sahihi Bulembo kuitaja CHADEMA kama chama watu wa Moshi? Nijuavyo mimi CHADEMA ni cha watanzania wengi ktk mikoa yote ya Tz.
Wanajamvi naomba kusahihishwa endapo nimekosea. Source: taarifa ya habari ITV
Kada wa CCM Bulembo amesema maandamano ya CHADEMA yaanzie Kilimanjaro kwanza!
Amesema kila maandamano hayafanyiki Kilimanjaro bali sehemu zingine, na waziri na naibu wa Elimu hawajiuzulu kamwe
Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee

Hakika wewe ni zuzu.Ni chama gani katika nchi hii kina eneo lake la kijografia wanalomiliki?Acha uzuzu na uzumbukuku.Unapoteza muda huu ni muda wa ukombozi.
Je,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?
Karatu kwa slaa, kilimanjaro kwa mbowe! Hii ni kwa sababu bibi zao na ndugu zao wako huko,zinduka mtanzania kuwa mjanja kama slaa babu, amelipia kadi yake mpaka 2020! Anajua CCM ni chama pekee
Another psychiatric case he or she escaped from MirembeJe,ni kwanini chadema hawafanyi maandamano kwenye maeneo yao?