jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Huko tayari ccm haiko madarakani.Labda yawe maandamano ya kumwondoa rais madarakani.Sehemu nyingi huko halmashauri na local govts tayari zinaongozwa na chadema.Labda anayo hoja, kwa maana hata mimi sijawahahi kwa kweli kusikia maandamano Makubwa Moshi, kama vile sehemu nyingine kama Mwanza, Mbeya, Mtwara na sasa Shinyanga, au labda inawezekana pia labda Kilimanjaro hawahitaji kubadilishwa labda wameshabadilika tayari, kila kitu kinawezekana!