CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

Ya Dr.Slaa ni ya kwake na Wananchi hatuna cha kumdai.Tunaidai CCM iliyotuahidi Maisha Bora kwa kila Mtanzania.Mbona wafanyakazi wa Kima cha Chini tunalipwa wastani wa Tshs.150,000/= na Mbunge zaidi ya Tshs.11,000,000/=.Haya Maisha bora kwa kila Mtanzania mbona yanabagua?CCM inajali walionacho na sio Maskini,Je kuna haja ya kuichagua tena?

hatakuja kukujibu na akija no ful porojo kama wauzasembe ilivyo kawaida yao..
 
Kuna Ajenda ya Siri.Kamati kuu ya CCM ina Wajumbe 26 WAISLAM na 6 tu ndio WAKRISTO.Utaelewa kwa nini wakristo wanatukanwa bila hofu,Mapadre wanapigwa Risasi na Makanisa yanachomwa Moto na kulipuliwa.
Mkuu, umesahau kuwa ni hao hao waislam ndio walikuwa wanakandamizwa miaka mingi tena na kubaguliwa. Hali inaanza kutulia na sasa na wao wanajiona ni sehemu ya jamii, watu mnaanza majungu. Mmesahau kuwa kwa muda mrefu wakristo wameshika hatamu kwa kila nyanja lakini vijembe havikujitokeza sana. Hii nchi si ya wakristo tu ni ya kila mmoja wetu
 
Mkuu, hilo si suala la CCM pekee. Ukweli ni kuwa kuna ulaghai mwingi dhidinya maisha ya Watanzania. Mathalan, Zitto Kabwe alionesha mfano wa kukataa posho ili zisaidie kwenyenshughuli za maendeleo. Cha ajabu, wqkajitokeza watu kama Godbless Lema wakaanza kumuita Zitto kama msaliti. Haya, Dr Slaa naye analazimisha alipwe mshahara wenye hadhi ya mbunge ilhali yeye si mbunge. Chadema kumejaa walaghai wengi na nashangaa wanapolalamikia ccm
Sisi tumeipa CCM mamlaka ya kututawala na kutuletea Maisha bora.Hatuna Mkataba na Lema,Lipumba wala Mrema.Wenye wajibu wa kutuletea Maisha Bora ni CCM na ndio inayokusanya Kodi na kutekeleza Sera zake.Sasa nauliza Tshs.150,000/= kama Mshahara kwa mwezi unahadhi ya kuboresha Maisha?Kwa nini tuendelee kuichagua CCM kama uwezo wake umeishia kwenye 150,000/= ilhali inawalipa Wabunge zaidi ya Tshs.11,000,000/=?
 
Mleta thread TIQO leteni majibu ya tuhuma za kupokea mahela ya Sabodo na kuyamanganua. Nimeambiwa Sabodo anataka report, si unajua ndiye anayeiendesha cdm. Badala ya kujibu hayo unalalamika ccm wamejipanga kwenye mitandao, mtatoka kamasi this time. I guess NI WEWE UNAYELIPWA SENTI KIDUCHU YA KUINGIA JF kutetea ufwala wa na wizi wa mabwana zako

nakushauri sikiliza bunge wacha usharo baro.....kangi lugola .....waziri mkuu hafai pesa zimeliw a hachukui hatua nini pesa ya sabodo alitoa kiduchu mara moja lakini m600 zimeyeyuka hio ni sm moja porini musoma je mjini ? jumlisha na mishahara hewa
 
Sisi tumeipa CCM mamlaka ya kututawala na kutuletea Maisha bora.Hatuna Mkataba na Lema,Lipumba wala Mrema.Wenye wajibu wa kutuletea Maisha Bora ni CCM na ndio inayokusanya Kodi na kutekeleza Sera zake.Sasa nauliza Tshs.150,000/= kama Mshahara kwa mwezi unahadhi ya kuboresha Maisha?Kwa nini tuendelee kuichagua CCM kama uwezo wake umeishia kwenye 150,000/= ilhali inawalipa Wabunge zaidi ya Tshs.11,000,000/=?
Kwanza hakuna aliyekulazimisha uichague CCM na walanhujawahi kuichagua. Wanaochagua wanajua kwa nini wanaichagua. Kwani, nje ya CCM, kuna chama gani kinaweza kuboresha maisha ya Watanzania kwa kadri wqpendavyo wao?
 
nakushauri sikiliza bunge wacha usharo baro.....kangi lugola .....waziri mkuu hafai pesa zimeliw a hachukui hatua nini pesa ya sabodo alitoa kiduchu mara moja lakini m600 zimeyeyuka hio ni sm moja porini musoma je mjini ? jumlisha na mishahara hewa
Kama mmeshindwa kuwa waadilifu kwenye fedha za sabodo, mtaweza kutunza hazina ya taifa? Si mtahamisha mpaka Ikulu
 
Mkuu, umesahau kuwa ni hao hao waislam ndio walikuwa wanakandamizwa miaka mingi tena na kubaguliwa. Hali inaanza kutulia na sasa na wao wanajiona ni sehemu ya jamii, watu mnaanza majungu. Mmesahau kuwa kwa muda mrefu wakristo wameshika hatamu kwa kila nyanja lakini vijembe havikujitokeza sana. Hii nchi si ya wakristo tu ni ya kila mmoja wetu

Hali inatulia kwa kuwatenga Wakristo kwenye Uongozi wa CCM na kudhuru viongozi wa Dini ya Kikristo?.Yupo wapi Shekh Ilunga aliyetangazia Dunia kwamba Mwislamu mmoja akiuwawa walipize Kisasi kwa kumuua Padri au Askofu?Mbona hakamatwi?
 
Kwanza hakuna aliyekulazimisha uichague CCM na walanhujawahi kuichagua. Wanaochagua wanajua kwa nini wanaichagua. Kwani, nje ya CCM, kuna chama gani kinaweza kuboresha maisha ya Watanzania kwa kadri wqpendavyo wao?
Uelewa Mdogo wa Watanzania wengi ndio unasababisha CCM iendelee kuwepo madarakani lakini sio kwa sababu inafanya mambo kulingana na mahitaji ya watanzania.Ni jukumu la kila Mtanzania kumwelimisha mwenzake ili CCM ipumzishwe na Kije Chama chenye maono na uwezo wa kuongoza.Huwezi kunishawishi kwamba CCM ina uwezo wa kutawala kwa Kumlipa Mtanzania Tshs.150,000/= kwa Mwezi ilhali ana Familia ya Mke na Watoto wanne.
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?

Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Kama propaganda za ugaidi dhidi ya Chadema zilishindwa,na kama njama za kupandikiza watu wa ccm ndani ya Chadema zimeshindwa kuvunja chama hiki,basi na propaganda za kupandikiza vijana kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya Chadema hazitafanikiwa kamwe.Huu ni wakati wa mabadiliko,mfumo uliozoeleka unakufa.CCm waanze kujiandaa kisaikolojia kuwa chama cha upinzani.Poleni enyi wote mnaotumiwa na ccm kama makopo ya vyooni.
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?

Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Tatizo ni kwamba wameajiri Division 5, sasa sio rahisi kwa Division 5 kupambana na wasomi wa kweli wanaojitambua na wenye uchungu na mapenzi ya kweli na nchi yao.
 
Naona huwa unawashwa sehemu ukisikia jina la Dr. Slaa. Hakuna siku inayopita bila kumtaja utadhani alishalala kitanda kimoja na mama yako. Kama unataka na wewe tega uone

Pilipili iko shamba wewe yakuwashiani?
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?

Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?
​umemaliza???????????
 
Back
Top Bottom