Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Hakuna aliyeichagug ccm mpaka ikashinda ni uwizi wa kura tu.Kwanza hakuna aliyekulazimisha uichague CCM na walanhujawahi kuichagua. Wanaochagua wanajua kwa nini wanaichagua. Kwani, nje ya CCM, kuna chama gani kinaweza kuboresha maisha ya Watanzania kwa kadri wqpendavyo wao?