CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

Jamani si huwa mnasema Mbowe ni Tajiri, mbona anajikomba kwa Sabodo mpaka anasalimiwa kwa mkono wa kujitawazia?

Chadema inajengwa na wadau wengi sio ccm inayo jengwa kwa wizi wa kodi ya mvuja jasho.
 
Jamani si huwa mnasema Mbowe ni Tajiri, mbona anajikomba kwa Sabodo mpaka anasalimiwa kwa mkono wa kujitawazia?

Wewe na faiza wote ni matapeli tu mnao ingiza siku kwa kudanganya umma. Mlitana mchanganuo wa matumizi ya pesa mletewe nyie kama kina nani ndan ya chama? Sisi wanachedema ndio tuna jua pesa ile imefanya nini nawashangaa mnapi taka kuju mambo ya nyumba ya pili wakanu nyumba yenu wenyewe mnaishindwa,
 
Hawa vibaraka wa ccm wangekuwa wanasimamia hoja isingekuwa vibaya tatizo wanasimamia propaganda za kishetani sana ni watu wabaguzi, wakabila kupindukia jamaa ni wadini mpaka mtu unasikia kichefuchefu!!
 
Wewe juzi juzi hapa ulikuwa unalia na ufisadi uchimbaji wa visima kijijini kwenu huko mkoa wa Dom bado unamtumikia mkoloni mweusi huoni hata haya wewe kibibi?

Kheri ya Mkoloni Mweusi, kuliko Mbaguzi wa Kikabila na Kidini.
 
Leo najipumzikai home, hebu ngoja nianzishe thread ya kuhoji hili, ni vizuri chama changu kiweke majibu humu!

Utaitwa msaliti,mhain majina yote utapewa usipoangalia shauri yako utafukuzwa humu kama mbwa
 
Wewe na faiza wote ni matapeli tu mnao ingiza siku kwa kudanganya umma. Mlitana mchanganuo wa matumizi ya pesa mletewe nyie kama kina nani ndan ya chama? Sisi wanachedema ndio tuna jua pesa ile imefanya nini nawashangaa mnapi taka kuju mambo ya nyumba ya pili wakanu nyumba yenu wenyewe mnaishindwa,

Waalimu wa hiyo kazi ya KOZI MAN (UCHUNGULIAJI) wanawaigiza nyoe, si ndio kazi yenu kubwa.
 
Mwaka huu mtatafuta mchawi sana, vipi kipondo cha Dokta Slaa? yu hai yu hoi? leo anahutubia wapi?

Mkuu madam ,samaani kama ujaolewa nitatuma posa yangu , niliweka naziri ya kuoa binti mbisi na naona utanifaa manake vigezo unavyo nivipendavyo na ukiongezea kigezo ca nini kiko kamilifu,
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?
Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Kama ml 800 tu za ruzuku kwenye chama kikuu cha upinzani(CDM) viongozi wanatafuna kama mchwa,angalia sabodo ametoa pesa kwaajili ya visima,michango mbali mbali kwenye mikutano,rejea waraka wa ushindi,hivi hawa watu wakikabidhiwa inchi pamoja na budget yote ya serikali itakuaje?
Unafiki mtupu,tutakimbia kwenye hiki chama chakilaghai na mwisho watabaki Mtei,mbowe na slaa,hata wewe mwenyewe bado uko gizani siku kukipambazuka utahama
 
kweli zito umepoteza ladha una uhuru wa kuhamia ADC kwani ccm unaona aibu kosa lako tu hukusoma alama za nyakati na tama ya pesa na umaarufulkn kama ukitubu kwa MUNGUthen kwa wananchi watz mwisho chama chako kwani umesaliti wengi hata hao mabwana zako wengine hawataki hata kukuona uso
 
Mkuu madam ,samaani kama ujaolewa nitatuma posa yangu , niliweka naziri ya kuoa binti mbisi na naona utanifaa manake vigezo unavyo nivipendavyo na ukiongezea kigezo ca nini kiko kamilifu,

Njoo, leta posa kwa mume wangu. Tupo Lumumba na Udoe, ubavuni mwa Makao Makuu ya Mkoa ya CCM.
 
umetoka lini Arusa au umemkimbia Lema. Mmeo ajiandae kisaikolojia kukaa bila wewe nina akika nitampindua ata kwa ndumba ambazo mimi ni profesa kama pro maji marefu.
 
Mtu yeyote akipingana mawazo na nyie ni CCM,mizizi ya usukule ,umamluki mahaba ya kipumbavu naona vinakua kwa kasi!!
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?
Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Sioni tatizo kwa chama chochote kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii, tatizo ni pale zinapoingizwa propaganda za uongo, matusi, kejeli, chuki na udhalilishaji. Ukweli wa hayo yote unapobainika, chama kilichoziweka kinaumia zaidi kuliko chama kilichokuwa kimelengwa.
 
Hata huku mitandaoni wanao upinzani mkubwa sana! Wengi wao hawana hoja ila matusi!!
 
Ni ngumu kuwafanya kina Nape na Mwigulu kuelewa. Kuleta watu kwenye mitandao (Book 7 hao) hawaisadii CCM hata kidogo kwa maana ya kusaidia mbali tu ya kupoteza pesa ya Chama na walipa kodi. Hakuna mtu ambaye ana uwezo wa ku-access mitandao anayeweza kubadili mawazo na kusema sasa CCM ni nzuri kwa kusoma propaganda za kina Ritz na FaizaFoxy. It is just wastage of resources. Wangependa kusikiliza ushauri, hizo nguvu wazipeleke kwenye kutimiza ilani yao ya uchaguzi vinginevyo come 2015, wajiandae kuwa chama cha upinzani.

Tiba
 
Back
Top Bottom