CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

Ni ngumu kuwafanya kina Nape na Mwigulu kuelewa. Kuleta watu kwenye mitandao (Book 7 hao) hawaisadii CCM hata kidogo kwa maana ya kusaidia mbali tu ya kupoteza pesa ya Chama na walipa kodi. Hakuna mtu ambaye ana uwezo wa ku-access mitandao anayeweza kubadili mawazo na kusema sasa CCM ni nzuri kwa kusoma propaganda za kina Ritz na FaizaFoxy. It is just wastage of resources. Wangependa kusikiliza ushauri, hizo nguvu wazipeleke kwenye kutimiza ilani yao ya uchaguzi vinginevyo come 2015, wajiandae kuwa chama cha upinzani.

Tiba

Afadhali leo umeongea jambo! Naona mnaanza kukubali kuwa defeated!
 
Mleta thread TIQO leteni majibu ya tuhuma za kupokea mahela ya Sabodo na kuyamanganua. Nimeambiwa Sabodo anataka report, si unajua ndiye anayeiendesha cdm. Badala ya kujibu hayo unalalamika ccm wamejipanga kwenye mitandao, mtatoka kamasi this time. I guess NI WEWE UNAYELIPWA SENTI KIDUCHU YA KUINGIA JF kutetea ufwala wa na wizi wa mabwana zako
 
pesa za visima kila jimbo linaloongozwa na wapinzani toka kwa sabodo ....
huu ni mjadala ambao unatakiwa tupate majibu
faiza Fox tusaidie kuandaa thiredi kwasababu naona una badhii ya vielelezo muhimu

Unaelewa kwamba Mshahara wa Kima cha chini ni Tshs.150,000/=. Kwa Mtumishi mwenye Mke na Watoto wanne ataishije?Unajua Serikali ya CCM haina uwezo wa Kumlipa zaidi ya hapo?Unajua Mbunge anapokea Tshs.11,000,000/=kwa mwezi na Posho ya Tshs.300,000/=kwa Siku?.Je unajua Spika analalamika hazitoshi?.Kuna sababu ya Mfanyakazi kuipigia Kura CCM?
 
Mwaka huu mtatafuta mchawi sana, vipi kipondo cha Dokta Slaa? yu hai yu hoi? leo anahutubia wapi?

1503830_242711655889968_1661359654_n.jpg
 
Unaelewa kwamba Mshahara wa Kima cha chini ni Tshs.150,000/=. Kwa Mtumishi mwenye Mke na Watoto wanne ataishije?Unajua Serikali ya CCM haina uwezo wa Kumlipa zaidi ya hapo?Unajua Mbunge anapokea Tshs.11,000,000/=kwa mwezi na Posho ya Tshs.300,000/=kwa Siku?.Je unajua Spika analalamika hazitoshi?.Kuna sababu ya Mfanyakazi kuipigia Kura CCM?

Unjuwa babu Slaa analipwa 20M
 
Naona huwa unawashwa sehemu ukisikia jina la Dr. Slaa. Hakuna siku inayopita bila kumtaja utadhani alishalala kitanda kimoja na mama yako. Kama unataka na wewe tega uone

Una maana watakutana ahera? Mbona unamtabiria kifo huyo mzee?
 
Mwaka huu mtatafuta mchawi sana, vipi kipondo cha Dokta Slaa? yu hai yu hoi? leo anahutubia wapi?

Walizoea kujibizana wenyewe kwenye mitandao wakajua ccm hakuna vijana wa dot com........kumbe average ccm ni wengi Mara mbili ya wabeba mabox wa chadema ulaya sema wako reserved and composed
 
Hao wenyewe wanaopata ujira wamechoshwa na hiyo hali hiyo wapo wapo tu. Ukiangalia utawajua hawako analytical kabisa. ambapo wenye akili wanawadharau
Kweli mkuu, yaani wamekalia majungu na mipasho tu hawana logic, wengi wao ukiweka post ya kiingereza hawachangii utaona wanalalamika kwa kiswahili kuwa tutumie kiswahili, wengi ni Div 5, shule za kata, wanajijua wote jinsi wanavyotumika
 
Unjuwa babu Slaa analipwa 20M

Ya Dr.Slaa ni ya kwake na Wananchi hatuna cha kumdai.Tunaidai CCM iliyotuahidi Maisha Bora kwa kila Mtanzania.Mbona wafanyakazi wa Kima cha Chini tunalipwa wastani wa Tshs.150,000/= na Mbunge zaidi ya Tshs.11,000,000/=.Haya Maisha bora kwa kila Mtanzania mbona yanabagua?CCM inajali walionacho na sio Maskini,Je kuna haja ya kuichagua tena?
 
Sioni tatizo kwa chama chochote kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii, tatizo ni pale zinapoingizwa propaganda za uongo, matusi, kejeli, chuki na udhalilishaji. Ukweli wa hayo yote unapobainika, chama kilichoziweka kinaumia zaidi kuliko chama kilichokuwa kimetlengwa.

Chama kinapo hubiri udini, ukabila na ukanda nini mwisho wake?
 
Sasa wameamua kuwasaliti ndugu zao wanao pata tabu vijijini hawapati huduma bora

bavicha mnachekesha sana kwenye hii dunia chama chenu kimeingia mapepo mnashindwa kuyatoa mnatafuta mchawi mtavurugana sana mwaka huu mpaka demokrasia mtakapo ipa nafasi.
 
tangu chadema waanze kubagua dogo zitto nimewashusha thamani kabisa.
 
Hamna jipya hapa. Ccm haihitaji kupiga propaganda kwa sababu hakuna mpinzani wa kweli. Kina slaa ni waendekeza njaa tu.
 
Ya Dr.Slaa ni ya kwake na Wananchi hatuna cha kumdai.Tunaidai CCM iliyotuahidi Maisha Bora kwa kila Mtanzania.Mbona wafanyakazi wa Kima cha Chini tunalipwa wastani wa Tshs.150,000/= na Mbunge zaidi ya Tshs.11,000,000/=.Haya Maisha bora kwa kila Mtanzania mbona yanabagua?CCM inajali walionacho na sio Maskini,Je kuna haja ya kuichagua tena?
Mkuu, hilo si suala la CCM pekee. Ukweli ni kuwa kuna ulaghai mwingi dhidinya maisha ya Watanzania. Mathalan, Zitto Kabwe alionesha mfano wa kukataa posho ili zisaidie kwenyenshughuli za maendeleo. Cha ajabu, wqkajitokeza watu kama Godbless Lema wakaanza kumuita Zitto kama msaliti. Haya, Dr Slaa naye analazimisha alipwe mshahara wenye hadhi ya mbunge ilhali yeye si mbunge. Chadema kumejaa walaghai wengi na nashangaa wanapolalamikia ccm
 
Chama kinapo hubiri udini, ukabila na ukanda nini mwisho wake?

Kuna Ajenda ya Siri.Kamati kuu ya CCM ina Wajumbe 26 WAISLAM na 6 tu ndio WAKRISTO.Utaelewa kwa nini wakristo wanatukanwa bila hofu,Mapadre wanapigwa Risasi na Makanisa yanachomwa Moto na kulipuliwa.
 
Back
Top Bottom