PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.

Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.

Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.

Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.

Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.

Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.

Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.

Polisi 5000 kati yao 2500 toka Kongo na 2500 toka Burundi .
Sio fair kabisa . Tatizo la Ajira kwa Kongo sio kubwa kama kule Kongo kulingana na uwiano wa idadi ya watu.

Wakati huo huo watawala wa Burundi wanauza Ardhi yote ya Kongo kwa wageni ili badae Wakongo wawe watumwa wa wageni kwenye nchi yao .Rais wa Kongo ambaye ni Mrundi akipewa miaka mitano tena ataliangamiza taifa la Kongo.
 
Nasikia Lumumba wanapishana kwenye korido kama hawajuani. Hahahahaha. Nambari one imebadilika.

Chadema ongeza grise walainike hao
Upinzani wa Tanzania ni ule ule wenye fikra zile zile na siasa zile zile na udhaifu ule ule. CCM is there to stay.
 
Sisi kama Ccm hata hatufikirii hao tunawaza mengine yaan Ccm iwawaze wakina Lissu tuache kufanya vitu vya maana tumuwaze Heche 😀😀
 
Aiseeeee
 
Yaani Mama na mkwe wake waliaribu kwenye serikali za mtaa. Leo Mbowe angekuwepo na kusingekuwa na No reform no election
 
Lissu hafai kuwa kiongozi katika ngazi ya urais hata kidogo, na siku watanzania watakapokuja kukosea ndipo watakapomleta idd amin part 2, wajute, hivi katika hali ya kawaida lissu akili zake mnaona zipo sawa kiutulivu?, msije kutuletea majanga mengine kwa huyo mpenda sifa by nature
 
Nasikia Lumumba wanapishana kwenye korido kama hawajuani. Hahahahaha. Nambari one imebadilika.

Chadema ongeza grise walainike hao
Hahahaha
20250404_065207.jpg
 
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.

Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.

Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.

Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.

Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.

Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.

Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.

View: https://x.com/Jambotv_/status/1907766552713130008?t=VlFxothx9zBkqUkIgQnkHw&s=19
 
CCM wame-panic ile mbaya, wanatapatapa ovyo huku wakitumia neno amani kama kichaka cha kuficha uovu wao.....ila this time tension itakuwa kubwa sana kama hawatakuwa flexible kufanya reforms zozote. Time will tell.....NRNE
 
Jipeni tu moyo. Kwa vipigo mnavyowapa viongozi wenu wenyewe msitegemee hata 5% ya kura. Kina mama ni kundi la kimkamkati kwenye uchaguzi ila nyie mnawapa vipigo hadi kulazwa hospitalini. Mtavuna mlichopanda. CHADEMA ni genge la wahalifu.
 
Polisi 5000 kati yao 2500 toka Kongo na 2500 toka Burundi .
Sio fair kabisa . Tatizo la Ajira kwa Kongo sio kubwa kama kule Kongo kulingana na uwiano wa idadi ya watu.

Wakati huo huo watawala wa Burundi wanauza Ardhi yote ya Kongo kwa wageni ili badae Wakongo wawe watumwa wa wageni kwenye nchi yao .Rais wa Kongo ambaye ni Mrundi akipewa miaka mitano tena ataliangamiza taifa la Kongo.
Burundi kwa alivyokaliwa kooni na Rwanda hatoi askari mwaka huu.

Akijiroga kutoa askari tu Makomandoo wa Kagame wanaichukua Bujumbura mchana kweupe sana.
 
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.

Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.

Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.

Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.

Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.

Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.

Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Mwisho wa siku watasjinda kwa kishindo. Haya usemayo huishia jf tu ndio huzuni yangu.
 
Aliyewaita nyinyi ni Nyumbu hakukosea! October utamuona Lissu anaenda kwa wanaume wake Ubelgiji au Marekani kwa familia yake, wewe utabaki hapa TZ na unyumbu wako.
Acheni kuua watu
 
Nadhani Sasa hivi CCM wanakesha wakiomba CHADEMA ikubali kushiriki uchaguzi 2025!
Isitoshe huenda makundi ndani ya CCM yanakitesa chama. Kundi ambalo halikuridhishwa na uteuzi wa Mama na kaka yake kuwa wagombea wa Urais!
 
Back
Top Bottom