Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
Ameeen!!!Huwezi kuzuia MBINGU kwa miguu..Lissu et al, kanyageni twende
Huko sisiemu pureshaa inapanda puresha inashukaa
Ameeen!!!Huwezi kuzuia MBINGU kwa miguu..Lissu et al, kanyageni twende
Mimi MWENYEWE na familia yangu tumekubaliana kuachana na mambo ya uchaguzi NI KUPOTEZA MUDANimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
AU UCHAWA KAMA ULIONAO WEWWHadithi za Alinacha.
CCM gari kubwa, hata wewe unaweza omba nafasi ya utingo.
Nakuonea huruma sana Dogo. Huyu Lissu ambaye mke na watoto wako Ulaya na Heche ambaye mkewe ni Mwalimu wa Sekondari ya Kata ndio waitishe Serikali ya CCM? Ahahahahaha! Acha nicheke kwa dharau huku nikinywa Konyagi yangu nikisherehekea ushindi wa timu ya nyumbani Kagera Sugar! Ahahahahaha!!Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Akili yako hioni uchawa wa kushabikia ufadhili wa ushoga ndani ya CDM.AU UCHAWA KAMA ULIONAO WEWW
Chema chajiuza kibaya chajitembezaWachungaji wanaoonekana kugongwa.
Poleni sana. Naskia hali si hali huko Lumumba.Aliyewaita nyinyi ni Nyumbu hakukosea! October utamuona Lissu anaenda kwa wanaume wake Ubelgiji au Marekani kwa familia yake, wewe utabaki hapa TZ na unyumbu wako.
Wewe ndo wa kuonewa huruma ndugu.Nakuonea huruma sana Dogo. Huyu Lissu ambaye mke na watoto wako Ulaya na Heche ambaye mkewe ni Mwalimu wa Sekondari ya Kata ndio waitishe Serikali ya CCM? Ahahahahaha! Acha nicheke kwa dharau huku nikinywa Konyagi yangu nikisherehekea ushindi wa timu ya nyumbani Kagera Sugar! Ahahahahaha!!
Huu ndo ukweli mchungu ambao wanaenda kuuface mwaka huu.Ccm have managed to fool people for some time BUT they can not continue to fool them forever.
On my side, Lissu and Heche are very cheap and petty politicians.Wewe ndo wa kuonewa huruma ndugu.
No wonder unajituliza na Konyagi. Maana Lissu na Heche wanawapa stress sana
Wasingewalaza na viatu kama wangekuwa cheap hivyo.On my side, Lissu and Heche are very cheap and petty politicians.
Jana Serikali imezindua Mbio za Mwenge ambazo kwa mwaka huu lengo mahsusi ni kuhamasisha Uchaguzi Mkuu ufanyike kwa amani. Unafikiri Kuna mtu mwenye akili timamu anaogopa kubweka kwa mbwa koko?Wasingewalaza na viatu kama wangekuwa cheap hivyo.
Uzuri hayana nguvu yeyote. Watanzania tu wamewadharau vibaya sana.Mapandikizi yafukuzwe haraka sana yakatafute kazi CCM.
Comment yako tu hii inaonesha kwa jinsi gani usivyo na akili.Jana Serikali imezindua Mbio za Mwenge ambazo kwa mwaka huu lengo mahsusi ni kuhamasisha Uchaguzi Mkuu ufanyike kwa amani. Unafikiri Kuna mtu mwenye akili timamu anaogopa kubweka kwa mbwa koko?
Kwani wewe babu zako wote, bibi zako wote, wajomba zako wote, shangazi zako wote na baba zako wadogo kwa wakubwa bado wote wako hai? AhahahahahaComment yako tu hii inaonesha kwa jinsi gani usivyo na akili.
Kuna mtanzania mwenye akili nchi hii anafuatilia mbio za Mwenge???
Enezeni tu ukimwi huko na hivi Trump kafuta misaada ya Condom na ARV subiri muone mnavyopukutika kwa upuuzi wenu.
October siyo mbali mkuu!!Poleni sana. Naskia hali si hali huko Lumumba.
Hizi kauli sio ngeni,tusije poteana tu badaeNimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
NO REFORMS NO ELECTIONUzuri hayana nguvu yeyote. Watanzania tu wamewadharau vibaya sana.
Ukisoma comments za Watanzania kwenye habari za hawa kina Mchome na Mwita kwenyr social media utagundua kabisa kuwa Watanzania sasa wanawaelewa sana Tundu Lissu, John Heche na Chadema yao na haya mapandikizi ya CCM yameshashindwa hata kabla hayajaanza.
Acha tu yaendeler kula mahela ya CCM maana CCM inaonekana wana hela nyingi sana za kuhonga safari hii.