PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siku dar es Salam ikiamka ccm Keisha habari mkoa wa dar es Salam unawaangusha sana upinzani kwenye support
 
Nadhani Sasa hivi CCM wanakesha wakiomba CHADEMA ikubali kushiriki uchaguzi 2025!
Isitoshe huenda makundi ndani ya CCM yanakitesa chama. Kundi ambalo halikuridhishwa na uteuzi wa Mama na kaka yake kuwa wagombea wa Urais!
Unaambiwa hiyo support atakayopata Lissu Kanda ya Ziwa lazima mbogamboga watarudisha mpira kati.
 
Siku dar es Salam ikiamka ccm Keisha habari mkoa wa dar es Salam unawaangusha sana upinzani kwenye support
Hadi sasa CCM itarajie maumivu makubwa sana Kanda ya Magharibi, Nyasa, Kanda ya Ziwa na Kanda za Kaskazini na Kusini.

Kanda ya Mashariki watu watamalza tu mchezo. CCM watabaki na wajinga Dodoma tu.
 
Tatizo la CCM ni kutokuwa na watu wenye weledi wa kutangaza sera zao.
Blah-blah zimekuwa nyingi na ambazo hazina tija kwa Wananchi kabisa!
Kama kiongozi anaweza kusema 'CDM wananunua virusi' ni jambo la aibu na fedheha sana kwa CCM.
CCM ijitafakari kuwa na watu wa aina ya Makala, Wananchi sio wajinga tena jamani!
 
Kama kwenye chama ccm mwenyekiti amegilibu je nje ya chama nn kitatokea
 
Tatizo la CCM ni kutokuwa na watu wenye weledi wa kutangaza sera zao.
Blah-blah zimekuwa nyingi na ambazo hazina tija kwa Wananchi kabisa!
Kama kiongozi anaweza kusema 'CDM wananunua virusi' ni jambo la aibu na fedheha sana kwa CCM.
CCM ijitafakari kuwa na watu wa aina ya Makala, Wananchi sio wajinga tena jamani!
Kwa kifupi hawana namna ya kuikabili No Reform No Election.

Ndani ya System inaungwa mkono, kwenye vyombo vya dola ambavyo vinajua maupuuzi yote ya CCM wenye akili wanaiunga mkono, Kwa wananchi ndo usiseme hadi vijijini huko wananchi wanakubaliana na No Reform No Election.

We unafikiri kwa mtiti huu kwa nini wasichanganyikiwe? Utasikia mara ebola, mara Lissu mbelgiji mara kelele za mapandikizi na wasaliti.

Yaaani hawana hamu na Lissu, kawashika papaya sana.
 
Aisee na baada ya uchaguzi mwenye kuumia raia wa kawaida.
Vipi screen shot ya huyo Peter Abubakar Rashid akiwa km askofu umeona uchawa wake?
Unaambiwa saivi zinamwagwa pesa kuhonga watu vibaya sana. Si wachungaji, Si Masheikh si mapandikizi yaliyopo CHADEMA. Ni balaa.

It seems CCM wameiba pesa nyingi sana kwa ajili ya kuzitumia kwenye Uchaguzi wa mwaka huu
 
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.

Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.

Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.

Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.

Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.

Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.

Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Mimi mpaka sasa nampa Heko chezo alilo licheza Mbowe, mbowe kacheza kama Ile sinema ya kiturukistering Alikuwa anaitwa Javed kama sikosei jamaa alijifanya yupo pamoja na maadui anakula nao anacheka nao kisha kinyemela goma anamwachia Lisu na Heche. Huu mchezo umechezwa na watu wenye Akili sana na inawezekana hata watu wasystem wapo, hili ni chezo la kituruki stering mwisho anakufa lakini na ushindi unapatikana, CCM wakishtuka wanashangaa CDM kinaendeshwa n,, na pesa zao. Gemuuuuuu la Kituruki, Wenje ndani, Mwita ndani, Msigwa ndani, Sigrada ndani, Move lakituruki.
 
Another school of thought- well
 
Ila
Wananchi wameshaichukua rasmi ajenda ya No Reform No Election. Ukifuatilia kwenye mitandao huko ni balaaa
I watanzania wengi ni 1. Watu wa maneno si vitendo,
2. Watanzania wengi wanafiki sana,
3. Watanzania wengi wakipigwa propaganda za simba au Yanga na Simba watahama kwenye agenda za msingi na kuhamia kwenye kujadili propaganda hata mwezi, rejea hii propaganda ya Simba kugomea mechi na Yanga hadi mwezi huu bado wanajadiliana majuha
 
Back
Top Bottom