Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,688
- 14,158
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu wabariki Lissu na Heche
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu wabariki Lissu na Heche
Allahuakbar TabaraqNimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA
Mungu wabariki Lissu na Heche
We kaamke utajiharishia. Yaani bora ht walio Mirembe siyo kwa uchafu huu uloandikaNimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Siajabu aliko huko anashangilia balaa hii comment🤣🤣🤣🤣🤣Hii kazi unayoifanya ,haiwezi linganishwa na malipo yoyote ya pesa,
Kazi yako ni njema sana,
Wamebarikiwa wazazi waliokuzaa na kukupeleka Shule,
Hakika ada waliyotoa haikupotea,
Ubarikiwe 🙏
Hv we ndio miongoni mwa watanzania watatu wenye akili sana? Kwamba ktk nyumbu we ndio una akili siyo?![]()
11K views · 2.6K reactions | Neno moja kwa tundu lissu mpaka sasa unavyoona. Tujadili katika komenti hapo... | Mwanahabari Digital
Neno moja kwa tundu lissu mpaka sasa unavyoona. Tujadili katika komenti hapo...www.facebook.com
Bila ya huu utitiri ccm hawashindi.Cdm kwa kujipa hope kwa story za vijiweni hawajambo, CCM, still very stable, Ushindi ni 95% stay tunes!
Namsikitikia mamako, kala hasara ya jumla. Ht haya huna kuandika huu upupu? Watu wengine mna pepo wabaya sanaNimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Tena wanaitikisa haswa.Ila tuache utani chadema wanachekesha aisee, eti lissu na heche wanaitikisa ccm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Matusi ya nini ndugu?Namsik
Namsikitikia mamako, kala hasara ya jumla. Ht haya huna kuandika huu upupu? Watu wengine mna pepo wabaya sana
Jamani mazuzu hayoNasikia Lumumba wanapishana kwenye korido kama hawajuani. Hahahahaha. Nambari one imebadilika.
Chadema ongeza grise walainike hao
CCM haitishiki na matapeli wa kisiasa.Lissu na Heche ni genge la matapeliNimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wangu, CCM imemwagwa hela nyingi sana kwa mapandikizi yao yaliyopo CHADEMA ili tu wafanye lolote liwezekanalo Chama kisiendelee na ajenda ya NO REFORM NO ELECTION. Pamoja na hela CCM pia imetoa ahadi ya ajira kwa mapandikizi hayo ambayo inasemwa kuwa hawana uwezo wowote ule wa kufanya lolote lile kwa sasa kwa sababu wananchi wa Tanzania kwa sasa huwezi kuwaambia chochote juu ya Lissu na Heche kutokana na umahiri wao na misimamo yao thabiti.
Baadhi ya maelekezo waliyopewa mapandikizi hao ni kuleta fujo na kuibua hisia za mifarakano kwenye chama pamoja na kuibua maneno ya kumuondoa Mwenyekiti Madarakani.
Kutokana na kuwa desperate sana, nimeelezwa pia kuwa CCM imetoa amri zitoke ajira zaidi ya 5000 Jeshi la Polisi ili tu wadhibiti Uchaguzi.
Mnyetishaji wangu kamaliza kwa kuniambia, vyovyote vile lazima mwaka huu ajenda ya No Reform No Election ifanikiwe maana hata wenye akili kwenye system wameshawachoka CCM na upuuzi wao.
Mungu wabariki na kuwalinda Tundu Lissu na John Heche.
Kumbe nyumbu wa humu wa jf mnaonekana ni vitoto vya 2000 ee?Tena wanaitikisa haswa.
Mtu akitenda mema, aambiwe ukweli akiwa hai.Siajabu aliko huko anashangilia balaa hii comment🤣🤣🤣🤣🤣
🙏Mtu akitenda mema, aambiwe ukweli akiwa hai.
Aliyewaita nyinyi ni Nyumbu hakukosea! October utamuona Lissu anaenda kwa wanaume wake Ubelgiji au Marekani kwa familia yake, wewe utabaki hapa TZ na unyumbu wako.Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM.
Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM.
Kujitokeza kwa wananchi wengi hadi vijijini ambao wameweka nadhiri ya kuzuia uchaguzi imeelezwa kuwatisha sana CCM ambao kiuhalisia hawana majeshi ya kutosha kuwazuia wananchi endapo wakiamua kuuzuia uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025