PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa anayeshangaa ujinga na upuuzi unaofanywa na hawa wapuuzi wanaojiita G55 aje kusoma huu uzi.

Kila kitu kilishasema hapa.
 
Mpaka wameenda Kununuwa mamruki kule Chadema
Tuko mbele sana ya muda. Hakuna wanachofanya ambacho hatupati habari yake.

Alafu walivyo wajinga wanamtumia mamluki wao aliyefoji saini kuingiza covid 19 bungeni kuongoza huu upuuzi wao.

CCM ni matahira sana. Wasichojua Watanzania kwa sauti moja wameshasema No Reform No Election.
 
Back
Top Bottom