CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

Kuna wabunge wengi wanakacha vikao kule dodoma lakini posho zao hazikatwi, hilo Neno kazi tu lianze na kukata posho zote za wabunge watoro, Neno kazi tu likitumika kuwakabili wazembe litaleta maana.
 
Kwa kifupi ni utawala wa kuchomesha mahindi wale wazembe wazembe wa kufikiria. Acha tingatinga liwanyooshe wajue kutafuta kwa njia zilizo salama.
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

Paul Makonda amejaribu kujipendekeza lakini wapi naona Uhusiano wao bado haujaimarika naona soon atatimuliwa.
 
Mfumo wa CCM na Serikali ulivyokaa ni vigumu kwa Magufuli kutekeleza alichokipanga tena sana sana atajaribu kufurukuta hii miezi michache ya kwanza baadae atajikuta yupo peke yake na kuamua kuwa mpole maisha yaendelee kama kawaida. Magufuli akitaka Serikali yake iwe ya mfano lazima apangue kila kitu apange upya jambo ambalo haliwezekani kutokana na JK kuteua watu mpaka dakika za mwisho kabla hajatoka ikulu.
Aanze kumtoa m/kiti wa bodi ya wakurugenzi wa TTCL aliyeteuliwa juzi.
 
Matumaini makuuubwa, ni miezi sita tu, yeye mwenyewe ataanza kuwa kama wao, hiyo ya safari za nje sina uhakika kama ataweza, watu walikua wanapiga sana hela huko.
 
No other way.....it's just a bingu wa mutharika way will work for magufuli..........kulkikana chama Chake.....
 
wananchi wamechagua magufuli kuleta mabadiliko ya kweli sio geresha ya CCM-B/ukawa. sijui wewe unachekelea nini. CCM-A ni mbele kwa mbele wanaosoma namba ni CCM-B/ukawa. magufuli=mabadiliko ya kweli.

Haya ambayo leo Magufuli anayafanya kama kufuta safari za nje, kusisitiza ukusanyaji wa kodi, n.k ndio mambo ambayo UKAWA tulikuwa tukiyasema over and over again, wana CCM mlikuwa mnatupinga humu ndani. Leo rais anaanza kuyatekeleza mnaanza kuyafurahia, sasa kumbe mlikuwa mnatupinga kwa sababu gani.

Inaelekea kuna watu humu wanashabikia mtu au chama na sio falsafa. Kama wewe ni mchambuzi mzuri utagundua kuwa Magufuli alikuwa anapenda mawazo na falsafa za wapinzani isipokuwa alikuwa anashindwa kuzitekeleza akiwa chini ya viongozi wa CCM, kwa sasa amepata nafasi ya kutekeleza yale ambayo wapinzani walikuwa wanayapigia kelele.

Na kwa taarifa yako inaelekea atatekeleza mengi tu ya wapinzani na akifanya hivyo nchi hii haitakuwa kama ilivyo leo. Narudia tena usishabikie mtu au chama bali shabikia falsafa maana mtu anaweza kufa leo au kesho lakini falsafa inadumu vizazi hata vizazi.
 
Nyie tumeshawasomesha namba kwa kumuweka mamvi nje. Sasa tunaanza kazi. Hiyo ndio maana yake. Tulieni boriti liingie huko tunduni
 
Inaonekana wewe ni shabiki tu wala hujui unachoshabikia, UKAWA walikuwa wanasisitiza safari za nje zipunguzwe na kweli zimepunguzwa tatizo liko wapi. Kwa vile wanufaika wakubwa walikuwa CCM ndiyo maana nasema wameanza kuisoma wenyewe.
 
Haya ambayo leo Magufuli anayafanya kama kufuta safari za nje, kusisitiza ukusanyaji wa kodi, n.k ndio mambo ambayo UKAWA tulikuwa tukiyasema over and over again, wana CCM mlikuwa mnatupinga humu ndani. Leo rais anaanza kuyatekeleza mnaanza kuyafurahia, sasa kumbe mlikuwa mnatupinga kwa sababu gani.

Inaelekea kuna watu humu wanashabikia mtu au chama na sio falsafa. Kama wewe ni mchambuzi mzuri utagundua kuwa Magufuli alikuwa anapenda mawazo na falsafa za wapinzani isipokuwa alikuwa anashindwa kuzitekeleza akiwa chini ya viongozi wa CCM, kwa sasa amepata nafasi ya kutekeleza yale ambayo wapinzani walikuwa wanayapigia kelele.

Na kwa taarifa yako inaelekea atatekeleza mengi tu ya wapinzani na akifanya hivyo nchi hii haitakuwa kama ilivyo leo. Narudia tena usishabikie mtu au chama bali shabikia falsafa maana mtu anaweza kufa leo au kesho lakini falsafa inadumu vizazi hata vizazi.

Ukweli ni kwamba kwa staili hiyo magufuli atangaa na kuwa na uhakika wa second term. Audhi wachache lakini milions of tanzanians shall be happy.
 
Mawazo yako yanaishia kwenye second term, yaani kutawala lakini mawazo yangu ni kwenye maendeleo ya Tanzania iliyodumaa kwa muda mrefu chini ya uongozi usiokuwa na maono wa CCM.
 
Aanze na wabunge wanao tetea chama badala ya wananchi na kuitikia ndiyoooooooo bila kujua hoja gani imetolewa na wanao lala bungeni
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

na waisome tu maana hakuna namna nyingine...tumechoka na wizi wao wa mali za umma...nyambaf zao!
 
Haya ambayo leo Magufuli anayafanya kama kufuta safari za nje, kusisitiza ukusanyaji wa kodi, n.k ndio mambo ambayo UKAWA tulikuwa tukiyasema over and over again, wana CCM mlikuwa mnatupinga humu ndani. Leo rais anaanza kuyatekeleza mnaanza kuyafurahia, sasa kumbe mlikuwa mnatupinga kwa sababu gani.

Inaelekea kuna watu humu wanashabikia mtu au chama na sio falsafa. Kama wewe ni mchambuzi mzuri utagundua kuwa Magufuli alikuwa anapenda mawazo na falsafa za wapinzani isipokuwa alikuwa anashindwa kuzitekeleza akiwa chini ya viongozi wa CCM, kwa sasa amepata nafasi ya kutekeleza yale ambayo wapinzani walikuwa wanayapigia kelele.

Na kwa taarifa yako inaelekea atatekeleza mengi tu ya wapinzani na akifanya hivyo nchi hii haitakuwa kama ilivyo leo. Narudia tena usishabikie mtu au chama bali shabikia falsafa maana mtu anaweza kufa leo au kesho lakini falsafa inadumu vizazi hata vizazi.
ok magufuli eventually atachukua uongozi wa ccm and sadly ccm itaendelea kuwapakulia cdm magamba yake. ni jambo la kusikitisha kuona cdm iliyokua inakaribia kupata sifa ya chama mbadala ikiwa kimbilio la magamba ya ccm.
 
na bado yule mwizi mkubwa aliyerejeshewa fedha za EPA na wezi wenzake na pia kuhifadhi majina ya wauza unga, lazima aje atoe maelezo ya kutosha kuhusu wizi na utapeli wake kwa taifa la tanzania. pia wale vibaka wenzake aliowateua mpaka siku ya mwisho ya kukaa ofisini, wataondolewa kwenye nyadhifa zao. huwezi kumteulia mtu mizigo huku ukijua siku zako za uongozi zinakaribia ukingoni!
 
Aanze na wabunge wanao tetea chama badala ya wananchi na kuitikia ndiyoooooooo bila kujua hoja gani imetolewa na wanao lala bungeni
Nadhani haya hatawazodoa atakapokwenda kuhutubia bunge subiri uone atakavyowachana live bila ya chenga. Kama nayaona majitu kama Lusinde, Mwigulu na lile lingine linaitwa kigwangala bila ya kuyasahau yale ya viti maalumu maana yenyewe ndo yapo kwaajili ya kushabikia mipasho na kupiga vigeregere.
 
Back
Top Bottom