CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,403
Reaction score
61,481
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.
 
kitufe cha kulike nimekikosa Rafiki angu laaaaaa hiiii hatari sana chukua ivyo ivyo za hewani
 
Habari ndiyo hiyo, kazi yenu ya kuliingiza tingatinga umekwisha, tenda wema wende zako unasubiri nini...

#Hapakazi tu.
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

Sie ndo tulitaka hivyo
Napenda akifyeka kabisa ni viti maalum pamoja na ruzuku kwa vyama. Lazima namba wataisoma tu, waliokuwa wazembe na wezi
 
Na siku akiigusa Tamisemi ndiyo tutashuhudia wanavyoisoma,kuna watu nilitamani niwaoe sasa itakuwa rahisi like what.
 
assadsyria3

Kivipi mkuu? Hujaipenda hii Magufuli for change?
 
Last edited by a moderator:
Watu mtaani et"sisi hatuna rais"hebu nyie mnaowasiliana naye mwambieni mishahara ya walimu na askari ni midogo hapa tz.
 
Na bado wataendelea kusoma no.siye ukawa tunachelea na kushuhudia.
 
Na safari za DJ huko Dubai soon zitakatizwa
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.
Akitoka hapo anaenda kwa waliochukua chao mapema,ranchi na ng'ombe wetu watarudishwa,mashamba(nyika)huko Mvomero,nayo yapo mbioni kurudishwa kwa wananchi,tenda za car park jijini Dar nazo karibu zitaota mbaya,matajiri ''wauza juice'' muda wa kulipakodi ili tupate elimu bure sasa umefika,ndoto za kumiliki vitalu vya gesi kwa ubweche ndio hizoo zimeyeyuka,hakika huu ni mtego wa panya wanaingia waliokuwemo na wasio kuwemo,Tinga mbaya,teh teh,Tinga mbaya wewe teh teh.
 
Sema kabisa na maandamano yasiyo na tija yatadhibitiwa, waliokuwa wanatafuta picha za kuwapelekea wafadhili wataisoma namba pia.
 
Akitoka hapo anaenda kwa waliochukua chao mapema,ranchi na ng'ombe wetu watarudishwa,mashamba(nyika)huko Mvomero,nayo yapo mbioni kurudishwa kwa wananchi,tenda za car park jijini Dar nazo karibu zitaota mbaya,matajiri ''wauza juice'' muda wa kulipakodi ili tupate elimu bure sasa umefika,ndoto za kumiliki vitalu vya gesi kwa ubweche ndio hizoo zimeyeyuka,hakika huu ni mtego wa panya wanaingia waliokuwemo na wasio kuwemo,Tinga mbaya,teh teh,Tinga mbaya wewe teh teh.

mbona hujawataja wale waliopitisha mikataba ya gesi, waliouza twiga, meno ya tembo pamoja na wale wanaosafirisha madawa ya kulevya

Pia umesahau waliohusika na EPA, ESCROW, RICHMOND, UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI na mengineyo
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new
 
Back
Top Bottom