CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new

Mkuuu hapo umenena,anaweza kumfilisi mzee mkapa wakat kamsaidia kupata uraisi? Hizo ni ndoto za mchana sisiem ni ileile.
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.
wananchi wamechagua magufuli kuleta mabadiliko ya kweli sio geresha ya CCM-B/ukawa. sijui wewe unachekelea nini. CCM-A ni mbele kwa mbele wanaosoma namba ni CCM-B/ukawa. magufuli=mabadiliko ya kweli.
 
Asisahau kumpeleka mahakamani aliesaini mikataba ya madini miaka 100 maana tanzania tumebaki na mashimo tu
 
Na safari za DJ huko Dubai soon zitakatizwa
Unadhani kila mtu anasafiri kwa safari imprest? Wapo wenyebiashara zao hata akiamua kwenda kila mwezi kupumzika hakuna wa kumhoji anakula vyake halali. Shida ni hao ambao ambao hata kwenda Kenya tuu mpaka kibali cha Pombe kitoke,kweli mtaisoma mwaka huu
 
Achome kunguni wote, asisahau kufuta nafasi ya WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM, nafasi ya WAZIRI KIVURI, nafasi ya VITI MAALUM, ifikapo 2020 futa vinaligharimu taifa. Toa utitiri maofisini ili kazi zitendeke kwa ufasaha, maana wengne kila siku hawana majukum wanashnda kupiga stori na kuchat kwenye whatsap mida ya kazi. Baba Magufuri njoo kwenye maofisi ya halmashauri za nchi yako, 90% ni wazembe wazembe tu!

Waziri kivuri=Waziri kivuli

Kwanini azifute wizara vivuli(shadow ministries).Kwani zina hasara gani?

Nijuavyo mimi waziri kivuli(shadow minister) huwa ni mbunge(mp) kutoka upande wa upinzani ambae kazi yake ni kufuatilia utendaji wa wizara husika

Mfano,Tundu Lissu kama waziri kivuli wa katiba na sheria kazi yake ni kufuatilia utendaji wa waziri(halisi) wa katiba na sheria.Na kwa sababu hakuna mshahara wala posho za shadow ministers mimi sioni ubaya wake...Ziendelee tu kuwepo ili mawaziri halisi waendelee kufanya kazi vizuri

I stand to be corrected
 
JPM ni Rais wa watanzania na anafanya yote hayo kwa maslahi ya watanzania, hivyo si kitu cha ajabu kuona hata wanaccm wanaathirika na maamuzi yake yenye maslahi kwa taifa.
 
motto wa mabua huoooooooo goverment ni ile ile
 
magufuli anafanya mambo kama ametoka chama pinzani?? kwanini?

Hujawahi kujua kuwa Magufuli nimpinzani ndani ya CCM. Na hili wengi walikuwa hawalijuii ila wachache sana wana taarifa yake.
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

Sie ndo tulitaka hivyo
Napenda akifyeka kabisa ni viti maalum pamoja na ruzuku kwa vyama. Lazima namba wataisoma tu, waliokuwa wazembe na wezi

assadsyria3

Kivipi mkuu? Hujaipenda hii Magufuli for change?

Tunataka mabadiliko.
Kikiendelea hivi mambo itakuwa safiii
 
Last edited by a moderator:
Haya yalitegemewa na hao wafanyakazi wa serikali.

Nasubiri aanze kuwafukuza watumishi wazembe.
 
@Quinene bado makontena kupita bandarini bila ushuru, maroli kubeba over wheight na kubomoa barabara, hali amezijenga, watasoma namba!!
 
Hujawahi kujua kuwa Magufuli nimpinzani ndani ya CCM. Na hili wengi walikuwa hawalijuii ila wachache sana wana taarifa yake.

Semeni yooooooooote mkimaliza #HAPAKAZITU Chadema mnashida sana kila analofanya Mh.Rais kwenu ni shida. Akikaa ikulu bila kutoka shida. Akitembea kwamiguu shida. Akirekebisha mifumo ya utendaji kazi maofisini shida akifuta safari za watendaji wa serikali nje ya nchi shida. akiziacha shida. Akiteua waziri mkuu itakuwa shida yani kila anachokifanya ni shidaaaaa... Jamani afanye nini mfurahi Au apite barabarani agawe hela??? mweeeee!!!
 
Akitoka hapo anaenda kwa waliochukua chao mapema,ranchi na ng'ombe wetu watarudishwa,mashamba(nyika)huko Mvomero,nayo yapo mbioni kurudishwa kwa wananchi,tenda za car park jijini Dar nazo karibu zitaota mbaya,matajiri ''wauza juice'' muda wa kulipakodi ili tupate elimu bure sasa umefika,ndoto za kumiliki vitalu vya gesi kwa ubweche ndio hizoo zimeyeyuka,hakika huu ni mtego wa panya wanaingia waliokuwemo na wasio kuwemo,Tinga mbaya,teh teh,Tinga mbaya wewe teh teh.

na nyumba zetu za serekali anarudisha na lile panton fake la kwenda bagamoyo anarudisha
 
hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new

Wale waganga wa kienyeji 200 na zaidi ambao waliletwa na Membe kwa kushirikiana na January makamba sasa wameombwa wasiondoke kurejea Nchini kwao mpaka wahakikishe kuwa Membe anakuwa Spika, January anakuwa Waziri wa Nishati na madini huku mwenzao mwigulu anakuwa Waziri kamili wa fedha, pia January na naibu katiba mkuu wa ccm nao wanahakikisha kuwa Ruge ataendelea kuvinjari ikulu na kula tenda zote za miziki na sherehe zote za ikulu. Waganga wote toka Mongolia, Amazon, Cambodia, Gambia, Nepal, Senegal, Msumbiji, Congo na Nchi zingine wapo busy wanahaha kuhakikisha wanatekeleza matakwa ya hao waliowaleta Nchini mapema kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom