CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

mimi bado nipo napiga nyimbo za sifa kwa mungu maana kwa hakika hakuna fisadi aliyekanyaga jumba letu takatifu na tanzania njema ni lazima.......


Glory honor and majesty belongs to you my living and mighty god kwa hakika wewe ni mtakatifu!

Amina Kubwa
 
Tunaendelea kuisoma...tutaheshimiana tu Magufuli siyo Kikwete.

Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushirika kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.

Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia ticket za ndege.

Chanzo:Nipashe

Hivi kwa miaka 54 ya CCM kuwa madarakani tumepoteza fedha kiasi gani?

Je,umasikini wetu haujasababishwa na viongozi wetu kutowajibika?

Mpaka leo hii hujajua tu na kuthibitisha ni kwanini Tanzania ni masikini?
 
Back
Top Bottom