CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

Magufuli= Kikwete = Business as usual. Take it from me.
 
Hahaaaaa Quinine quinine leo umenifurahisha mnooooo! Haka ni kaishara ka UKAWA kumkubali tinga tinga! Tuisome tu kwa kweli hakuna namna ili 2020 tupete tena. Quinine toroka njoo ccm
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

mbona siku anaapishwa JK alimchapa kimemo?
 
hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new
Magufuli ni namba nyingine, kama aliweza kumtolea uvivu mtangulizi wake wazi live bila chenga kuwa alikuwa analea mizigo kwenye chama, tena hata kabla ya kuapishwa unategemea awarudishe mawaziri mizigo wale wale wa Kikwete?

Waliokuwa wanashangilia wimbo jukwaani wameanza kuisoma wao.
 
Heeheeeee. Kwahiyo unatakusema kazikunoga ikikolea automatic anarudi kwenye system. Inawezekana ngoja tuone.
 
hapo sawa. ajiepushe na ushauri wa magamba.
 
Achome kunguni wote, asisahau kufuta nafasi ya WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM, nafasi ya WAZIRI KIVURI, nafasi ya VITI MAALUM, ifikapo 2020 futa vinaligharimu taifa. Toa utitiri maofisini ili kazi zitendeke kwa ufasaha, maana wengne kila siku hawana majukum wanashnda kupiga stori na kuchat kwenye whatsap mida ya kazi. Baba Magufuri njoo kwenye maofisi ya halmashauri za nchi yako, 90% ni wazembe wazembe tu!
 
hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new

Kabisa wanamvutia kasi tu subiri
 
Magufuli ni namba nyingine, kama aliweza kumtolea uvivu mtangulizi wake wazi live bila chenga kuwa alikuwa analea mizigo kwenye chama, tena hata kabla ya kuapishwa unategemea awarudishe mawaziri mizigo wale wale wa Kikwete?

Waliokuwa wanashangilia wimbo jukwaani wameanza kuisoma wao.
Ila asisahau kuwa akiwabana sana kadi ya chama anaweza akanyang'anywa....
 
hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new

Walewaleee!
 
Qoute "Ndiyo tumeanza kazi. Kwani niliposema hapa kazi tu hamkuelewa?" Ha ha ha!!! Niliruka sana niliposikia safari za nje zimefutwa hadi atoe kibali yeye!!!! Hii naona kama imekaa vizuri. Tusubiri mengine. Huyu ndiye raisi, kama mwenyewe alivyosema!!!!
kitufe cha kulike nimekikosa Rafiki angu laaaaaa hiiii hatari sana chukua ivyo ivyo za hewani
 
Nanyi walimu muache kujifanya nyinyi kama special case, aka special group! Kwani nyinyi tuu ndio MNA mishahara midogo tuu?
 
Katoa agizo kwa TRA wakusanye kodi kutoka kwa walipa kodi wakubwa na wasitegemee walipa kodi wadogo wadogo. Kawaambia wakusanye fedha za kutosha ili aanze kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia kindergarten hadi form four kuanzia mwezi januari 2016.
Bado wale wakwepa kodi wakubwa wa ......
 
Sasa si ndo vizuri?na tulikua tunataka iwe hivi?
 
Ungejua hao askali unaosema wana mishahara kidogo juzi kati washaongezewa posho asilimia mia(100%) upo hapo!
 
Back
Top Bottom