safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana ccm wanalia,
rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye tv ameanza kuisoma,
ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,
posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,
reshuffle la madc linakuja...humo mwote hakuna ukawa hata mmoja wataisoma,
hadi sasa wanaccm ndio walioanza kulia hata kabla ya ukawa.
Waliokuwa wanadhani ni ukawa pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,
magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.