CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

Semeni yooooooooote mkimaliza #HAPAKAZITU Chadema mnashida sana kila analofanya Mh.Rais kwenu ni shida. Akikaa ikulu bila kutoka shida. Akitembea kwamiguu shida. Akirekebisha mifumo ya utendaji kazi maofisini shida akifuta safari za watendaji wa serikali nje ya nchi shida. akiziacha shida. Akiteua waziri mkuu itakuwa shida yani kila anachokifanya ni shidaaaaa... Jamani afanye nini mfurahi Au apite barabarani agawe hela??? mweeeee!!!
Hujaniaelewa nisome upya.
 
hapo hakuna chochote,wanasubiri mheshimiwa pombe amalize honeymoon yake ya urais ili na yeye aanze kuisoma namba mtu mmoja hawezi kupambana na system iliyomuweka tunadanganyana tu,ccm ni ileile,mawaziri ni walewale,mwanasheri mkuu wa serikali ni yuleyule kilaza.nothing new

Membe kawaagiza waganga wake wote wa kienyeji waingie kazini kuzuia speed zote za kukurupuka ili wapate kupumua wajipange.
 
Magufuli mwiba kweli kweli,
safisha,safisha baba toa KUNGUNI NA KUPE WOTE NDANI YA NYUMBA YAKO!
-->>hats baba riz hakumtaka ila,nguvu ya CC,na kura za hasira ndizo zilizotuletea NEEMA HII.
 
Magufuli mwiba kweli kweli,
safisha,safisha baba toa KUNGUNI NA KUPE WOTE NDANI YA NYUMBA YAKO!
-->>hats baba riz hakumtaka ila,nguvu ya CC,na kura za hasira ndizo zilizotuletea NEEMA HII.

Sasa hivi unadhani atathubutu kuwagusa hao?
 
mbona hujawataja wale waliopitisha mikataba ya gesi, waliouza twiga, meno ya tembo pamoja na wale wanaosafirisha madawa ya kulevya

Pia umesahau waliohusika na EPA, ESCROW, RICHMOND, UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI na mengineyo

kesi ya msomali, askari msomali , jaji msomali , Tutaona awakamate hao waliomchapishia makantena ya kura zake feki
 
Akitoka hapo anaenda kwa waliochukua chao mapema,ranchi na ng'ombe wetu watarudishwa,mashamba(nyika)huko Mvomero,nayo yapo mbioni kurudishwa kwa wananchi,tenda za car park jijini Dar nazo karibu zitaota mbaya,matajiri ''wauza juice'' muda wa kulipakodi ili tupate elimu bure sasa umefika,ndoto za kumiliki vitalu vya gesi kwa ubweche ndio hizoo zimeyeyuka,hakika huu ni mtego wa panya wanaingia waliokuwemo na wasio kuwemo,Tinga mbaya,teh teh,Tinga mbaya wewe teh teh.

waliomtangaza kuwa ni mshindi pia awakamate , tehtehhhh
 
Mfumo wa CCM na Serikali ulivyokaa ni vigumu kwa Magufuli kutekeleza alichokipanga tena sana sana atajaribu kufurukuta hii miezi michache ya kwanza baadae atajikuta yupo peke yake na kuamua kuwa mpole maisha yaendelee kama kawaida. Magufuli akitaka Serikali yake iwe ya mfano lazima apangue kila kitu apange upya jambo ambalo haliwezekani kutokana na JK kuteua watu mpaka dakika za mwisho kabla hajatoka ikulu.
 
Safari za nje zimesitishwa watoto na ndugu za wanufaika ambao ni wana CCM wanalia,

Rweyemamu ameambiwa afungashe virago ikulu atakuwa anaiona ikulu kwenye TV ameanza kuisoma,

Ruge tenda za matamasha ya ikulu zimeyeyuka alikuwa anaingia ikulu kama choo cha stand sasa ameanza kuisoma,

Posho za wabunge nje ya vikao zimefyekwa wataisoma,

Reshuffle la maDC linakuja...humo mwote hakuna UKAWA hata mmoja wataisoma,

Hadi sasa wanaCCM ndio walioanza kulia hata kabla ya UKAWA.

Waliokuwa wanadhani ni UKAWA pekee wataisoma namba walikuwa wanaota,

Magufuli bado anaendelea kufagia nyumba yake mliozoea kula vya kunyonga sasa mtaisoma, hakuna cha vimemo na bado.

Kwa upande wa wabunge kazi tu haipo! Kama kweli hapo kazi tu, ana taka kufanya kazi nzuri kwa Watanzania, n kwa vile ameelekeza TRA kukusanya kodi hata kwa vingunge, basi TRA waanze na kuingiza katika makato kile kinacho itwa posho kwenye malipo ya Wabunge! Mafao yote au posho zote ziingizwe wenye mshahara ziwe kama basic sum na si amaziliyo sasa. Kila mtu alipe kodi stahiki kama kweli kazi tu! Swali ni je,jeuri hiyo anayo?
 
Sisi wafanya biashara pessure inapanda na kushuka. CCM niliwambia wakajifanya kichwa nazi. Huyu jamaa speed yake huwa aipungui
 
Akitoka hapo anaenda kwa waliochukua chao mapema,ranchi na ng'ombe wetu watarudishwa,mashamba(nyika)huko Mvomero,nayo yapo mbioni kurudishwa kwa wananchi,tenda za car park jijini Dar nazo karibu zitaota mbaya,matajiri ''wauza juice'' muda wa kulipakodi ili tupate elimu bure sasa umefika,ndoto za kumiliki vitalu vya gesi kwa ubweche ndio hizoo zimeyeyuka,hakika huu ni mtego wa panya wanaingia waliokuwemo na wasio kuwemo,Tinga mbaya,teh teh,Tinga mbaya wewe teh teh.

Arejeshe Nyumba zote za Serikali alizoziuza, pia ile pesa wanayolipwa meli ya samaki na Nyumba aliyovunja kule mwanza atafute wafadhili nje wafidie zilipotoka kuwalipa hao, wale walioimaliza ATC , shirika la reli aliyenunua mabehewa mabovu, waliofirisi mashirika ya umma, aliyenunua kivuko kibovu, wezi wa pesa za Escrow, mikataba ya Gesi, uagizaji sukari nje, EPA, upigaji kwenye migodi mfano huko Buzwagi nk akimaliza haya kwanza ndipo aje na mengineyo mengi yakiwemo kumdai Membe arejeshe Mali na pesa za marehemu Gadafi.
 
Ikulu ilishuka hadhi yake, kwenye hafla muhimu wanajaza wahuni wa kinondoni kama pango la starehe

January Makamba ndiyo aliwapenyeza na bado yupo ikulu usitegemee mabadiliko bado wataendelea kuwepo tu mpaka labda akiletwa mwingine kwenye hicho kitengo cha maujanja janja.
 
naomba tu atupie jicho pale mjengoni dodoma pale ndio sehemu kubwa ya kufuja kodi zetu kumekua na kamati nyingi sana zimeundwa zimefuja kodi zetu lakini faida yake haijaonekana
 
mbona hujawataja wale waliopitisha mikataba ya gesi, waliouza twiga, meno ya tembo pamoja na wale wanaosafirisha madawa ya kulevya

Pia umesahau waliohusika na EPA, ESCROW, RICHMOND, UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI na mengineyo

Bado mapema mno
 
naomba tu atupie jicho pale mjengoni dodoma pale ndio sehemu kubwa ya kufuja kodi zetu kumekua na kamati nyingi sana zimeundwa zimefuja kodi zetu lakini faida yake haijaonekana

Ni kweli kamati nyingi ni njia ya kutengeneza Ulaji na rushwa na huu mladi ulibuniwa na mzee sita ambapo alikuwa akivuna pesa nyingi sana ndiyo maana analilia arejee tena kuwa spika ili abuni kamati zaidi apige pesa zaidi.
 
kitufe cha kulike nimekikosa Rafiki angu laaaaaa hiiii hatari sana chukua ivyo ivyo za hewani

Hivi kusema kitufe cha kulike nimekikosa ni fashion ushamba? maana kama unatumia. browser other than app ya jamiiforums huwezi kukiona naona imeshakua wimbo wa Haifa sasa....ingawa Sijajua kwenye topic thoo.....
 
Kwa upande wa wabunge kazi tu haipo! Kama kweli hapo kazi tu, ana taka kufanya kazi nzuri kwa Watanzania, n kwa vile ameelekeza TRA kukusanya kodi hata kwa vingunge, basi TRA waanze na kuingiza katika makato kile kinacho itwa posho kwenye malipo ya Wabunge! Mafao yote au posho zote ziingizwe wenye mshahara ziwe kama basic sum na si amaziliyo sasa. Kila mtu alipe kodi stahiki kama kweli kazi tu! Swali ni je,jeuri hiyo anayo?

Si kasema Kazi tu, sasa kazi ianze na kodi kwenye posho za wabunge.
 
Back
Top Bottom