CCM wameanza kampeni Rasmi leo Uwanja wa Uhuru 15/08/2020

Ccm mwaka huu ndembendembe
Sio tuu ndembe ndembe bali ni chip mkononi au ni kanga moko. Asa hiv wanatia huruma wanataka Tume imuengue Tundu Lissu ili tupate Rais wa viti maalumu nchini. Hatikubali hatikubali tunataka upambane na Mwanaume Lissu sio kulia lia tuu kutaka kubebwa bebwa Taga kubwa wewe.
 
Wasanii wengi walijitokeza kutangaza nia kupitia ccm,tusilisahau hili.
 
Sio tuu ndembe ndembe bali ni chip mkononi au ni kanga moko. Asa hiv wanatia huruma wanataka Tume imuengue Tundu Lissu ili tupate Rais wa viti maalumu nchini. Hatikubali hatikubali tunataka upambane na Mwanaume Lissu sio kulia lia tuu kutaka kubebwa bebwa Taga kubwa wewe.
Magufuli hajawahi shindanishwa akashinda anategemea kubebwa,

nakumbuka wakati ule Jimbo la biharamulo likiwa chini ya phares kabuye huyu magu alishindwa vibaya Mara 2, ikabidi Jimbo ligawanywe ili ashindishwe
 
Naona wanyonge wanakula virungu balaa hapa uwanjani
 
Back
Top Bottom