CCM wameanza kampeni Rasmi leo Uwanja wa Uhuru 15/08/2020

CCM wameanza kampeni Rasmi leo Uwanja wa Uhuru 15/08/2020

Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo.
Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii wasanii wamekuwa kama ng'ombe waliofungwa kamba ya pua ,hawana nguvu,ya kuzuia ,wala kukataa litakiwalo na CCM, wasanii wamejawa na uwoga,ila nina uhakika kura zao hawatazipeleka CCM.
Wasanii kama walivyo waTanzania walioamka ambao wamo ndani ya CCM kura zao hawataichagua CCM ,kitakachotumika ni ile msemo wa Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo.watashangiria watapokea hela na watakuwa pamoja na viongozi wa CCM hadi dakika ya mwisho dakika ya kuchagua na kutumbukiza kura hapo ndipo watakapoiacha mkono CCM,wakijua CCM haitorudi tena na kuwa watakuwepo huru,na ni hivyo hivyo kwa vyombo vingine vikiwemo vya habari. Yaani ni vyombo karibia vyote ,VYOMBO vyote ukivisoma vimeshachoka kufanya kazi na CCM.
Tunasema mara hii PUMBAVU LIKIPUMBAA PUMBAA NALO. Wadau shirikini kila kona ya CCM.
Chakubanga na Bushiri wakitoa hela unakula,wakitoa fulana unachukua,wakitoa kanga unachukua msiache kitu pumbaeni nao ,siri moyoni mwako siku ya siku unaiacha mkono huku unatabasamu na kumshuru Mungu ,halafu unahema kwa nguvu baada ya kuutua mzigo.
Tuwaache wapige pesa, ila sisi tuendelee kuelimisha wananchi wapate kujua kweli iko wapi!
Jukwaa la CCM litakuwa jukwaa la wanenguaji, upinzani liwe jukwaa la hoja za kuwaunganisha wananchi kukomesha utawala wa kijinga wa CCM!
 
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja, meli, kununua madege makubwa ana hofu ya nini? Awaachie washindani wake uwanja sawa wafanye siasa, UHUNI na UHALIFU wa namna hii utalitumbukiza Taifa kwenye machafuko.
Sasa chadema mmeshindwa kuingia ikulu mnabaki kumtukana rais eti mpumbavu yaani unaona huyo mwenyekiti wenu mlevi wa taifa ndo mjanja? Acheni kulialia tafuteni mbinu za kwenda ikulu vinginevyo acheni Ole sabaya awanyooshe.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwapa wasanii lawama,wanafamilia zao zinawategemea na ccm inawalipa,ulitaka wafanyie hisani chadema ?,pathetic

Hata magaidi huwa wanalipwa, na kisingizio chao ni kuwa wanafamalia, hivyo wanawafanyia kazi wanaowalipa.
 
Ni vizuri kuelewa CCM wameanza kampeni zao leo katika uwanja wa uhuru kwa style ya mbwamwitu kujivalisha ngozi ya kondoo.

Baada ya kupata hisia kuwa uchaguzi wa mwaka huu wanapigwa na chini wameanza kukusanya wasanii ambao wameshawatisha na kuwaita kila kukicha kwa madai haya na yale,leo hii wasanii wamekuwa kama ng'ombe waliofungwa kamba ya pua ,hawana nguvu,ya kuzuia ,wala kukataa litakiwalo na CCM, wasanii wamejawa na uwoga,ila nina uhakika kura zao hawatazipeleka CCM.

Wasanii kama walivyo waTanzania walioamka ambao wamo ndani ya CCM kura zao hawataichagua CCM ,kitakachotumika ni ile msemo wa Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo. Watashangiria watapokea hela na watakuwa pamoja na viongozi wa CCM hadi dakika ya mwisho dakika ya kuchagua na kutumbukiza kura hapo ndipo watakapoiacha mkono CCM,wakijua CCM haitorudi tena na kuwa watakuwepo huru,na ni hivyo hivyo kwa vyombo vingine vikiwemo vya habari. Yaani ni vyombo karibia vyote ,VYOMBO vyote ukivisoma vimeshachoka kufanya kazi na CCM.

Tunasema mara hii PUMBAVU LIKIPUMBAA PUMBAA NALO. Wadau shirikini kila kona ya CCM.

Chakubanga na Bushiri wakitoa hela unakula,wakitoa fulana unachukua,wakitoa kanga unachukua msiache kitu pumbaeni nao ,siri moyoni mwako siku ya siku unaiacha mkono huku unatabasamu na kumshuru Mungu ,halafu unahema kwa nguvu baada ya kuutua mzigo.
Ccm mwaka huu ndembendembe
 
Waache waje sera hawana waache waje mtaani waje watuambia habari za kununua ndege tutawatoa nduki safari hii hatutaki ubwabwa kanga wala kofia kusombwa kama mizigo pia hatutaki tunakwenda kwa Tunduli lisu wenyewe bila kusombwa na mtu.
Waje na majibu ya Azory yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lisu? Kwann Musiba anatukana wsyu halafu hakamatwi?
 
Itafuatiwa na mashehe na maaskofu manabii na mitume siku ya jumatatu watakapotandaza miradi ya SGR iliyotapakaa nchi mzima.
 
Wasanii Gan hao unao waongelea
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
. Hadema Bana haya
Hao siyo wasanii ni Waigizaji.
 
Hivi Chadema ajenda yao ni ipi mbona hawaeleweki, Wananchi watawachagua kwa ajenda ipi elekezi. Kiukweli hawaeleweki
CHADEMA wanaeleweka sana na wenye akili na wanaofuata taratibu zilizopo siyo kama maCCM rushwa mpaka masikioni kwa fedha za kodi zetu. CHADEMA wanangoja saa ya kuanza kampeini ifike ndo watoe ajenda, ilani na sera yao, maCCM kabla ya siku wanatangaza kila mahali, makanisani, misikitini, viwanjani, mikutanoni isiyo ya kisiasa hata barabarani.
 
Sasa chadema mmeshindwa kuingia ikulu mnabaki kumtukana rais eti mpumbavu yaani unaona huyo mwenyekiti wenu mlevi wa taifa ndo mjanja? Acheni kulialia tafuteni mbinu za kwenda ikulu vinginevyo acheni Ole sabaya awanyooshe.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu. Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
 
Kwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, unategemea waache kutangaza walivyoagizwa?
Utasingizia Tume kuagizwa, hapo anachofanya Tundu ni uanaharakati tu hakuna Rais. Rais tunaye tayari. Kwa akili zenu kweli nchi ukabidhi kwa huyu chizi mropokaji, uliza kote alikopita ameacha alama gani kuanzia jimboni, TLS. Ni mpiga kelele tu kama chura mtoni
 
Sisingizii tume, nakupa ukweli ambao haivutii sana kwako. Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii. Kazi aliyofanya JK na Magufuli nani atashindwa?
 
Back
Top Bottom