Ccm walijua wanaikomoa CHADEMA

PJ swala hili ni dogo sana tatizo waislam hawawaheshimu hata viongozi wao kama Mufti Simba ilikuwa asimame akemee na kisha viongozi wa dini zote wanakutana kama kuna tofuti zinamalivya lakini akithubutu watamchinja..
Mufti simba mwenyewe amekuwa target, kazi kweli.
 
Nimeusoma ule waraka wa Waislamu uliowekwa humu siku za karibuni. Baadhi ya madai yao ni kuwa wanaulinda utawala huu ambao unaongozwa na Muislamu mwenzao. Pia kwamba wao ni CCM kwa sababu ndio waasisi wa chama hicho kupitia chama cha TANU kilichodai uhuru wa nchi hii. Waraka unaenda mbali kudai kuwa Makanisa mawili ya Katoliki na KKKT Nni maadui wa ustawi wa Wailamu na kwamba ndiyo yanaifadhili Chadema kutaka kuwanyang'anya utawala wao. Ukiyatazama madai haya na kuyalinganisha na hotuba fulani ya Rais Kikwete mara baada ya Maandamano yaliyofanywa na Chadema mkoani Mwanza mwaka 2011 alipodai kuwa Chadema walikuwa na njama za kutaka kumwondosha madarakani, utagundua mshabihiano. Binafsi namwomba Mhe. Rais Kikwete atoke hadharani na kwa lugha ya wazi ajitenge na madai ya watu hawa. Hii ni kwa sababu kama Rais wa Tanzania tulimpa kura zetu sote na kwa maana hiyo hakuna kundi lenye haki ya kudai kuwa wao au baadhi viongozi wenye majina ya Kiislamu ndio wanoulinda utawala huu; kiasi kwamba hata wanapofanya makosa wasiguswe kwa kutakiwa kuachia vyeo vyao. Rais ni muhimu aje hadharani na kwa uwazi awaambie watu wa imani yake kuwa, "MIMI NI RAIS WA TANZANIA NA KWAMBA DINI YANGU HAINA UHUSIANO NA URAIS WANGU" Namwombea kwa Mwenyenzi Mungu anapotafakari hilo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kuhusu hili janga la udini CCM ndo wakulaaniwa,,walitumia mashek kama njia ya kuiangamiza CHADEMA..mnakumbuka yaliotokea Igunga na kwingineno..mliuasha moto wa udini muuzime sasa..mlijua dhambi ya udini ingewaacha salama...kaziii kwenu

Tatizo watanzania ni watu wa kusahau, ukweli ni kwamba mpaka sasa wasaka urais ndani ya ccm kampeni zao zinaendelea makanisani na kwenye mialiko ya kiislam kwa kisingizio cha harambee na tunafurahi lkn baadae ndio tunakuja kujuta. Hiki chama ni cha hatari sana
 
PJ nimesema swala hili ni dogo kwasababu bado hakujawa na mapigano ja pande mbili lakini tukisubiri wakristo waanze kulipiza, tutakuwa tumeingia kwenye level mbaya sana..kumbuka mtenda akitendwa...

Itakua ni zaidi ya yaliyotokea Nigeria
 
A sad fact ni kuwa ikiwa mwenendo huu utaachwa uendelee basi VITA YA KIDINI ITATOKEA TANZANIA. Don't be the one who starts the war, but be prepared to defend your faith!

sure mwana JF hakuna najisi kubwa kama kuchoma madhabahu iliyowekwa wakfu!nyumba ya mungu na mungu anakaaa humo unaichoma??nooooooo I cant wait anymore
 
Back
Top Bottom