Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,415
- 3,761
Tukipata 50% ya voters tayari Magufuli atakuwa na 45%Mkuu wala usihofu ktk kila watanzania 7 ni mmoja tu ataichagua ccm
Zanzibar ilikuwaje?Hahahaha uzi wa makamanda wakipeana moyo
ni kweli waTZ wanataka mabadiliko lkn mpaka sasa hakuna chama cha siasa chenye sera rafiki kwa watanzania zaidi ya CCM chama cha baba na mama
Zanzibar ilikuwaje?
Ilikushinda weweCCM ilishinda
Nimesikiliza maombi ya leo kwa kweli nilikaa tu kimyaHa ha haaaa. Naona maombi ya baadhi ya wachungaji na mashekhe leo maombi yao yamekuwa ni kumtukuza Magufuli badala ya kumtukuza Mungu. Wachungaji na Mashekhe wanapiga kampeni kwa kutaja mafly over kwa kuponda wapinzani na kuponda wanaowaita Mabeberu. Sasa sijui wanaomba au wanapiga madongo.
Hii kitu nimeambiwa na Katibu wa CCM wa mkoa fulani,kuwa jamaa ameshashinda kwa 80%+.Kuna kada mmoja Wa CCM amenihakikishia hilo kuwa kura zishapigwa tayari kabla ya uchaguzi,na jamaa kashashinda kwa asilimis 82.
na wewe piaIlikushinda wewe
na wewe piaIlikushinda wewe
Una elimu gani jamaa?Atakayekuwa rais kupitia chadema nadhani bado hata chekechea hajaanza - na ni kweli nchi haikabidhiwi kama mtu anavyokabidhi kalamu ya Obama
CDM ondoeni wazo la Ikulu
Tukipata 50% ya voters tayari Magufuli atakuwa na 45%
Lipumba 2%
ADC 0.2%
Rungwe 0.1%
Membe 3%
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Utakabizije uraisi kwa mtu ambae hajashinda?CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi alishindwa kukagua. Hii miradi Lissu amesema imejaa harufu ya upigaji. Ndiyo maana hawako tayari kuachia dola.
USHAHIDI KWAMBA CCM IMECHOKWA
# Ilipokonya Ushindi Zanzibar 2015
# Kuengua Wagombea wa Upinzani
# Wametamka mara nyingi kua hawako tayari kukabidhi nchi hasa Zanzibar
# Matumizi makubwa ya jeshi la polisi
# Matimizi ya NEC- Tumeona Tume bila kujua wakifanya njama wazi wazi baada ya kumpigia mgombea ubunge wa CHADEMA Karagwe wakidhani ni Mkurugenzi.
# Kushusha bendera za upinzani na kuchana mabango yao.
ANGALIZO KWA CCM
Mkumbuke kwamba taifa hili liliachwa likiwa moja na Mwalimu Nyerere. Aliasisi upinzani ninyi mkiwa hamtaki lakini muelewe kuwa wapinzani wamesema Uchaguzi huu 2020 sasa basi, wamesema wakishindwa hawatamuachia Mungu.
Sasa mkishindwa mwaka huu lazimisheni muone. Kama mna ubavu mnaengua wapinzani Wa nini? Kama mnajua mnakubalika mnashusha bendera na kuchana mabango ya wenzenu ya nini?
Yani chadema ipate 50%?Tukipata 50% ya voters tayari Magufuli atakuwa na 45%
Lipumba 2%
ADC 0.2%
Rungwe 0.1%
Membe 3%
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app