CCM WAKE UP!! We Are At War! So All Weapons Are Fair Game!!

Status
Not open for further replies.
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Kweli kabisa Le CCMiz

Ulichoandika kina make point
Ningefurahi sana kama CCM wangekubali kusimamia itikadi yao na kuitetea kwa nguvu zake zote.
Itikadi zenyewe ni hizi, rushwa, ufisadi, uzushi, uhujumu, nk.

Tukiangalia katiba ya CCM na matendo yake au ya viongozi wake wote ni kwamba hiki chama kimekufa. Field Marshall unawaonea wana CCM wanaoshindwa kutetea chama kwa sasa kwani hakuna cha kutetea, si unaona hata Mwenezi Nape hana cha kueneza sasa amebakia kusema watu washikishwe ukuta, mtu mzima hovyo, Lusinde naye siwezi kiyasema.

Ingebidi uanze kuitetea CCM kisera ili wengine wajue.

Sisi Chadema tunasema, elimu bure kwa wote mpaka sekondari, vifaa vya ujenzi bei nafuu ili kuondoa nyumba za tende, kuongeza mfumo wa ajira kwa kuwezesha wengi. Kumfumua mtaala wa eli ili iweze kuendana na karne ya sasa na kuweza kumsaidia mwanafunzi baada ya kumaliza shule.

Kuleta ushindani wa kimajimbo na kiuchumi
Kuhakikisha mali asili zetu zinawanufaisha watanzania
Kuwatumia wataalamu wa ndani ili kukuza uchumi, kupanua ajira, kuongeza ubunifu na kiwango.

Kuhakikisha rushwa inapigwa vita na sheria kufuatwa kwa kila takayepatikana ama ametoa ama kuchukua bila kuogopa cheo, jina wadhifa ama hali.
Mahakama kuwa huru huku majaji wote wakiwa wanaidhinishwa na bunge.
Kuhakikisha bunge linakuwa la kisasa badala ya sasa kuwa rubber stamp.

Kukifanya kilimo cha kisasa zaidi badala ya hiki cha powertilla.

Kinacho washinda wenzako ni jinsi ya kutetea Kagoda, EPA, DeepGreen, Richmond, ukizingatia fedha hizi nyingi ndizo zilizomzawadia Mkuu wa kaya uraisi. Sasa watetee sera gani??

Hongera lakini kwa kuona kuna haja ya kuwa na mashambulizi ya kifedha kuliko sasa tunaswaga muda mwingi kwenye non issues.
 
Itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?

One of very short meaningful sentences ever read in recent time. Mkuu, you nailed it!! Nimesikia sana "itikadi" yetu kutoka CCM (mimi si muumini wa chama chochote cha siasa) lakini naudhiwa na "itikadi" ya kuimarisha chama ya CCM huku ikisahau kuwa hilo ni swala lao la ndani ambalo halimuhusu asiye mwanachana. Lakini kwa kuwa wanaunda serikali, wamesahau kabisa kuwa itikadi lazima iwe na mwelekeo wa kulitoa taifa hatui hii kwenda mbele. Kwa hili, wameshindwa!! Ni sasa ndio wameanza kutambua kuwa itikadi ya "Maisha Bora kwa kila mtanzania" iliambatana na sera mbovu, utendaji mbovu, ubadhirifu wa mali ya umma, ufisadi, rushwa nk. Lakini bado hata sasa hawajui watatekelezaje itikadi yao lakini wanataka hata kufa.

Oooh, so they have been sleeping all this time?? At war with who?? What are the weapons and why no munitions regulations applications?? The mistake they make is to think CCM has to fight CDM, CUF n other civil societies. They dont get it, they have to fight hunger, underdevelopment, poverty, diseases, ignorance, unemployment etc.

CCM, wake up and smell the coffee!!
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Kiongozi upo? ....ahhh.... long time

Its nice to read from you....
 
Bora umeliona hilo kwamba mko usingizini na hata hiyo itikadi yenu kwa sasa ni kitendawili ambacho nadhani wengi wenu hamjui.Tafuta kujua nini itikadi ya chama chako kwanza then ndo muanze kuamka na kuitetea,vinginevyo utakuwa unatetea itikadi usiyoijua!!!!!!!!!!!!!
 
iTIKADI ZIPO NDIO MAANA TUMEKUWA TUKICHAGULIWA KWA MIAKA 51 SASA KUTAWALA NCHI, LAKINI NYINGI ZIMEPITWA NA WAKATI NDIO MAANA TUPO KWENYE KUZI-REDEFINE NA SOON UTAONA ZIKIMWAGWA HAPA JF

Chifu, mbona maneno mengi?

Nimekuuliza, itikadi ya CCM ni ipi?

Unajibu itikadi zipo. Sasa zipi hizo itikadi mnazoziredefine?

MAANA SASA CCM NI KAZI TUPU CCM NI UMOJA!, NA CCM NI USHINDI TU!!

- KIDUMU CCM!

Es!

Au ndizo itikadi zenu hizo juu?? Kazi tupu, Umoja na Ushindi tu??
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

It sounds like liLe liMutuz!! Au macho yangu tu?
 
Itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?

Itikadi ya CCM bado ile ile ya ujamaa na kujitegemea kwa njia za kisasa zaidi, kuweka rasilimali mikononi mwa wachache ili wazisimamie waweze kutoa ajira kwa watu wengi zaidi na kujenga nidhamu ya kazi ili kumuwezesha kila mtu ale kwa jasho lake na hao wachache watoe kodi ili kuendesha serikali mpango huu unaonekana kufaa sana kuliko ule wa Baba Nyerere na Mh Mao ambao umefeli duniani kote. kwa maana nyingie itikadi ya CCM ni asiyefanya kazi asile.
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Hivi huyu hapa ni wewe?

- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.

- Kwa wale tulio na influence ya namna moja au nyingine kwa taifa, ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.

- Kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.

Respect.

FMEs!

Na haya uliyaandika yakitoka moyoni kabisa?
18162_1381895546651_1209820481_31145321_6990997_n.jpg

Mungu atuhurumie sana hili taifa siku moja turudie hizi enzi za honor and dignity kwa viongozi wetu, walikuwa na heshima, walikuwa na ustaraabu kidogo, waliwaheshimu sana wananchi, waliongea kero za wananchi sio kero za mafisadi na kulindana.

May God Bless My Nation Tanzania.

Respect.

FMEs!

Na hapa ulimaanisha nini?
- Wakuu wote JF heshima mbele sana, nimekuwa nikisumbuliwa sana na swali moja tunalalamika sana kuhusu matatizo ya uongozi wa CCM kwa taifa letu. Ni miaka 47 sasa CCM imetutawala Tanzania, nikiangalia historia inaonekana wenzetu yaani wazee wa zamani pamoja na uchache wao kielimu na tools, sio siri kwamba walikuwa wanatoa upinzani mzito sana kwa TANU/CCM kuliko sisi vijana wa sasa.

- Inaonekana kama wenzetu hawakuwa na maneno mengi sana, ila walikuwa na vitendo vizito sana na siku zote walikuwa wakiilaza macho serikali na CCM, tizama kina Anangisye, Mwabulambo, Kambona, Bibi Titi, Kassanga Ntumbo, wazee kama kina Chipaka, Magee, Lugangira yaani huyu pamoja na kumfunga jela alitoroka anyways, Nyirenda na wengineo, I mean mbona inaonekana kama they were more effective kuliko sisi wenye akili sana katika kuipigisha magoti serikali na TANU/CCM? Kila walipomaliza kufanya vitu vyao kuna mabadiliko flani yalikuwa yakifanyika kuitikia vilio vyao kuhusu taifa, infact ni wao ndio walishinikiza Sokoine kupewa power na ile vurugu ya mafisadi, sasa nini kimetokea sasa tena ukitilia maanani kwamba sisi tuna tools nyingi in our hands zaidi ya walizokuwa nazo wao! Hebu soma historia yetu utasikia kila wakati kulikuwa na tafrani somehow somewhere!

- Tuna vyama vingi vya siasa, tuna uhuru wa kuongea na kuandika, I mean wale hawakuwa na yote haya lakini they were more effective na vitendo vyao bubu kuliko sisi, WHY? Hebu tuambiane nini challenge ya maana iliyowahi kufanyika against CCM na serikali yake toka tuingie vyama vingi Mwaka 1995 to this date katika kuwafahamisha kwamba wananchi tumechoka na ***** mwingi wanaoufanya mpaka kuwashitua ili watusikilize kama wale wenzetu wa zamani?

- I mean I could be wrong vile vile, lakini this is what I see, we are just not effective enough or convincing to watawala, WHY? Halafu kumbuka kwamba milele ni pale tu mwisho wa maisha yako unapofika na sio anything esle!

Respect.

FMEs!

Vipi kuhusu tuhuma kuhusu utapeli uliofanya 2009 ulio kwenye link hii? https://www.jamiiforums.com/habari-...-tapeli-wa-mtandaoni-awe-kiongozi-wenu-3.html
 
Mkuu field marshal unatuhumiwa hapa jamvini kwa utapeli wa mtandaoni na thread zipo hili unalizungumziaje badala ya kujificha ndani ya ccm .ccm ndio walikutuma udai kwa wanajamii usd 300, hebu funguka usijifunike na bendera ya chama hapa na kuhamasisha ccm waamke ...
 
Ningekuwa kwenye uongozi wa CCM, ningepingana na ufisadi kwa nguvu zangu zote bila kujali kutishiwa maisha, kutishiwa kuvuliwa madaraka, au kunyimwa mshahara/posho; Na ingetokea naambiwa maneno kama aliyoyasema mwandishi husika - kwamba wapambanaji wa ufisadi sasa wametulia baada ya kuambiwa wapeleke harakati zao nje ya Chama, ningejiuzulu mara moja na aidha kubakia kuwa Mwanachama na kusubiri fursa nyingine ya mapambano from within, au kuhama kabisa Chama na kwenda upinzani, bila ya kujali sana naenda chama gani kwani nachojali ni kupata fursa ya kuchangia taifa langu kupitia a political process, in or outside a political office;

Kwa sasa, zaidi ya kuwa mwanachama hai, sina nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CCM, hata ngazi ya mfereji, na sina nia ya kutafuta uongozi wa ngazi yoyote katika awamu ya sasa; Kwa majaliwa ya mwenyezi Mungu, Nitakuwa tayari kushiriki katika uongozi wa kisiasa katika ngazi yoyote nitakayoombwa au kusukumwa na moyo wangu, lakini hii ni pale tu nitakaporidhika kwamba sasa CCM inadhamiria kuja na mabadiliko ya kweli, hasa iwapo CCM itachukua uamuzi mgumu ya kugeuza adui kutokea Upinzani na kuelekeza kwenye Ufisadi;

Vinginevyo, binafsi sioni tatizo kuendelea kuwa mwanachama wa CCM licha ya mapungufu yake kwa sasa, Chama ambacho bado naamini katika misingi yake, na hii ndio huwa nguzo kuu ya hoja zangu mbalimbali kila ninapokuwa Critical on CCM; Na ndio maana more often than not, huwa naunga mkono hoja nyingi sana za Chadema kuhusu Ufisadi kwani zinaendana na Mwongozo wa Chama Changu (1982) ambao bado upo hai; UFISADI ni adui wa watanzania wote, Chadema na pia wana CCM wenye kutambua kwamba mafanikio yao ya maisha yanatokana na unyonywaji wa maskini, wana CCM wenye uzalendo na pia mapenzi na nchi yao; Kwa maana hii, hata ingekuwa ni kwenye senate, kwenye suala la Ufisadi, I would cross the aisle to Join Chadema kwani kuna mambo ambayo kwa mantiki tu yanatakiwa kuwa bi-partisan, not partisan;

Kuhusu machozi ya Samaki: Tatizo la Rushwa hata Mwalimu lilimshinda mpaka umauti ulipomkuta licha ya kuwa na msimamo mkali sana dhidi yake, je na yeye alikuwa na machozi ya Samaki? Mimi naamini kwamba kupingana na Ufisadi kwa dhati kkama mwanachama wa CCM haina tofauti na kupingana na ufisadi kwa dhati kama mwanachama wa Chadema; Tofauti inakuja pale mtu unapokuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi yanayoweza kuleta mabadiliko katika suala husika; Sote, yani mimi na wewe hatupo katika nafasi hiyo, licha ya kuwa wanachama wa vyama viwili tofauti;
very wise mind
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!
hapo blue hapo nahisi ni umeme wa TANESCO! huwa nashangazwa sana nikijua kuna watu bado wapo ccm, tena ukute ni vijana wa nguvu, ila akili zao zinakuwa ni nyepesi kupita ujani!! inakera sana, inasikitisha sana!
 
Huyu scam mbona hajibu kuhusu utapeli aliofanya Ana pumbaza watu na hoja fake???@mods mnaangalia majina ya kuya reward ban ee? This dude need a ban for life useless and speechless
 
- naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko chadema walianza siku nyingi sisi ccm tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa ccm!!

- simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema ccm wote wanegependa kuona wanatushinda na ccm inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, ccm lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "in life if you don't stand for something, you will fall for anything"

- kidumu ccm! Kidumu chama tawala!!

fmes - sauti ya umeme!!

"respect"
 
hapo blue hapo nahisi ni umeme wa TANESCO! huwa nashangazwa sana nikijua kuna watu bado wapo ccm, tena ukute ni vijana wa nguvu, ila akili zao zinakuwa ni nyepesi kupita ujani!! inakera sana, inasikitisha sana!

sasa huyu aende wapi? Naye anajiona kama waziri. Toka mdogo anakula kodi zetu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom