CCM WAKE UP!! We Are At War! So All Weapons Are Fair Game!!

Status
Not open for further replies.
le mutuz le baharia le william j malecela unachekesha sna je unakumbuka matusi hay auliyomtukana kikwete sasa umeshiba umebadilika tutamfikishia .

Field Marshall ES
10th December 2009 22:20
Wakuu JF salaam,
- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.

- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!

Respect.

Field Marshall Es!
 
Last edited by a moderator:
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!

Huyu jamaa wa ajabu sana.Hivi inawezekanaje chama kilicho madarakani eti wanachama wake kuonekana wamelala na sasa eti ndio wanaamshwa kutoka usingizini? Kwa hiyo ndio kusema CCM inawaongoza watu waliolala na wachache tu ndio ukesha kufanya kila aina ya mbinu ili kuwatawala walio lala.Anyway sipingi hoja,lakini kwa ujumla wake ni hoja iliyokaa kiutapeli wa kifikra.Watu wa jinsi hii ndio hasa kwa namna moja au nyingine ndio vinara wa ..............na kuleta hoja za namna hii ni kujipendekeza kwa CCM ili waonekane eti bado wanauchungu kwa chama na wananchi ili baadae chama kiwape ridhaa mahala fulani.Yawezekana mleta uzi huu ni mojawapo ya vijana wa fAmilia zilizokuzwa na CCM na kwa kuwasilisha uzi huu yawezekana ni wivu kwa vijana wenzake walioteuliwa/kuchaguliwa wa Zilex2 familia zilizokuzwa na CCM ili ionekane kwamba familia fulani bado wangali wa-kiki-pigania chama chao.Sio lazima kung'ang'ania siasa na kama upepo wa siasa unakataa ni bora ukawa mvuvi bahari kuu.
 
Wakuu ninaomba kutoa heshima kwa wananchi wote hapa kwa kazi nzuri, na nzito uya kuelimisha taifa letu, na kuelimishana sisi wenyewe, yaani wananchi. Nimezitoa hizo quote mbili mwanzoni kuwa ziwe ni mfano mkubwa kwetu wana- JF, maana binafsi baada ya kuziangalia hizi two quotes kwa makini, nimegundua kuwa zinatushitaki pia na sisi wananchi kubadili gia zetu.

1. Kwa kukubali ukweli na kuupongeza unapotokea kwa pande zote mbili yaani upinzani na CCM, kama Mheshimiwa Kabwe alivyotuwekea hapo juu.

2. Tuige mfano wa Dr. Slaaa, wakuwa wawazi na wakweli, na tusiotishika, as long as tunaamini kuwa tunayosema ni ya kweli!

Wakati umefika sasa hapa forum tubadilike, tuanze kuweka vitu kama Dr. Slaa, kama tunaamini kuwa kuna kiongozi mwizi na mla rushwa tumeseme wazi ni nani, na ameiba wapi na kama tunazijua namba tuziseme, let the chip fall where they may! Hakuna kutishana tena, mbona Zitto na Dr. Slaa, wapo bongo na wanatesa tu kama kawaida? Sasa iweje sisi hapa ndani ya JF tuogope?

Ninatoa ombi kwa wananchi wote hapa JF kuwa tubadilike, time tulizonazo sasa zinataka ukweli na uwazi, na tuwaunge mkono wakuu hao wawili kwa mfano mkubwa waliotuwekea, mambo ooh! mkubwa flani sijui ninamfichia jina tuachane nayo hapa JF, tuweke mambo hadharani hapa, wajulikane mafisadi ni nani na wasafi ni nani!

Ahsante Wakuu, ni Ombi na Ushauri wa Bure Tu kwa Wana-forum wote!

Huyu ni wewe huyo huyo?
 
JF kweli siku hizi sinema za bure nje nje. Mie nilifikiri huyu the so called "KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA" kala ban kumbe kuna ka-loophole kengine Invisible, Maxence na timu yao hawajakaziba...teh..teh..teh
 
- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!

- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,

- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!

- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!

- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!

- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!

SUPER ES!!!
 
Mkuu vipi tuhuma juu ya utapeli uliofanya enzi zile?
 
- Naomba kuwaaamsha usingizini wale wote ambao bado wamelala usingizini, people tupo vitani yaani kwenye vita vya Itikadi za vyama vyetu vya siasa, wenzetu huko Chadema walianza siku nyingi sisi CCM tulikuwa bado hatujaelewa hilo, lakini Inshallah sasa somo limeanza kueleweka, matusi hapana, viroja hapana, hoja tu jamani lakini ni lazima tusimamie na kutetea itikadi zetu, kama huwezi kusimama kutetea itikadi ya chama chako cha siasa sio sawa hata kuwa mwanachama wa CCM!!

- Simama juu uhesabiwe! People msidanganywe hakuna chama cha upinzani kinachotutakia mema CCM wote wanegependa kuona wanatushinda na CCM inakufa, sasa msijidanganye na siasa za kujifanya kukubalika kila upande ninawaona wanasiasa wengi wakijaribu kuwa kila upande poleni sana, CCM lazima tusimame imara na hakuna kuogopa!! Tusimamie itikadi yetu hata kama it means kufa na tufe lakini hatuwezi kukubali kushindwa kusimamia itikadi, kumbukeni kwamba:- "IN LIFE IF YOU DON'T STAND FOR SOMETHING, YOU WILL FALL FOR ANYTHING"

- KIDUMU CCM! KIDUMU CHAMA TAWALA!!

FMES - SAUTI YA UMEME!!
Field Marshall ES, naona hata pro-CCM wameanza kuonea aibu service yako hapa JF.

Hongera kwa kazi mpya ya kumwaga pumba humu!

I hope utakuwa na mchango wa kukumbukwa CCM, but I am not sure whether the legacy will be positive or negative.

Best wishes W. J. Malecela.
 
Last edited by a moderator:
Huku ni kutwanga maji kwenye kinu au kupiga ngumi upepo.

Sijui Le Mutuz unapambana na nani?

Unapambana na Chadema au upepo wa mabadiliko?

*Kama unaipenda sana CCM nenda sasa kashirikiane na Nape kuhakikisha haya yanafanyika;
1/Magamba yanavuliwa(Lowassa, Chenge, Karamagi nk wanafukuzwa ndani ya chama)

2/Kutenganisha siasa na biashara

3/Wabunge na viongozi waandamizi ndani ya serikali hawawi wajumbe wa NEC.

4/Viongozi wachafu wanafukuzwa kutoka CCM ndani ya miezi sita.

5/Mitandao ya urais ndani ya CCM inavunjwa haraka sana.

6/Azimio la Arusha linarudishwa haraka sana.

7/Kuwafukuza mawaziri wazembe na rais mzembe.

8/Kuhakikisha jina Mheshimiwa halitumiwi tena na makada.
 
- Kwani wewe unapingana na nani humu? In my case I am just having fun you know this is what I know best! ha! ha!

Es!
 
- Kwani wewe unapingana na nani humu? In my case I am just having fun you know this is what I know best! ha! ha!

Es!
Mkuu sipo hapa kupingana na mtu bali kujifunza na kurekebisha wanaokosea.

Nilikuja kasi kusoma post yako nikijua anatuamsha wanaCCM tuliochoshwa na CCM yetu inayokufa!! Kumbe hamna kitu cha maana.

Adui wetu mkuu ni sisi wenyewe wanaCCM na adui wa pili ni upepo wa mabadiliko ambao CHADEMA wameamua kuunga mkono.

So, principally you are fighting for what?
 
- HAPA CHINI MAANDISHI YANGU YA MWAKA 2009 SOMA VIZURI!!

Wakuu wote heshima mbele, na wakulu Mwanakijiji, Invisible, na Waberoya,

Ninaomba niseme hivi, mimi ni mwananchi M-Tanzania, ninatoka mbali sana na taifa langu hili, katika hii safari nimejionea mengi sana mazuri na mabaya. Katika siasa za sasa niliamua kwa makusudi binafsi kujiunga na kundi la kupinga ufisadi, na pia nikajiunga hapa JF ili kuendeleza mapambano hayo na kutoa mchango wangu hata kiduchu kwa ajili ya taifa langu.

Katika vita kuna kushinda na kushindwa, sina tatizo kukubali kushindwa lakini ni haki yangu kufurahi inapotokea ushindi hata kiduchu, regardless ule ushindi umekujaje au umeletwa na nani! Je leo nina furaha kwa sababu CCM imebadilika na sasa Tanzania ni safi ever? Hapana! Eti sasa katiba imebadilika hapana! Matatizo ya taifa langu yapo pale pale, lakini jana mafisadi wamepigwa kipigo kizito, tena sana. Jana kwa mafisadi ni siku ya huzuni kubwa sana kuliko hata siku Lowassa alipoondolewa kwa rushwa.

Tarime aliyeshinda ni Taifa langu, na ndio matokeo yake haya sasa yanashuka mpaka chini pole pole, sasa eti ninafurahia nini, ninafurahia kupigwa fimbo jana kwa mafisadi ambao toka Dr. Slaaa atanagaze rasmi majina yao na matendo yao maovu, tumekuwa katika heka heka kubwa ya kupigana nao, yes sometimes wanashinda, lakini na sisi wananchi walalahoi tunashinda pia, na this is one of huo ushindi.

Eti tunaishangilia CCM in general hapana, lakini pia tunakuwa samba samba with time, tunakua current with our national politics. Tarime Chadema iliposhinda tumeshangilia sana, na mimi CCM nikiwa mmojawapo sikusikia mtu hapa akinilaumu, eti ni kwa sababu Taifa litakuwa halina tatizo tena? Hapana, ila ni kwa sababu matokeo kama yale yanaweza kuwafanya CCM wakaanza kua na akili japo kidogo, na huu unaweza kuwa ndio mwanzo wenyewe.

Hapa tunashngalia uwezo wetu JF wa kuweza kupata habari nyeti, nzito, na muhimu za taifa mapema na fast kabla wananchi karibu wote wa Tanzania, hawajazipata, eti hiyo sio sababu nzito ya kua na furaha? No kwangu ni heshima kubwa sana kwetu wananchi hapa kuweza kuongoza kwa upataji habari muhimu za taifa, kama vile tulipokuwa mbele kwenye kupata habari za kipigo cha Chunya.

Sasa do I need to apologise kwa sababu ya furaha yangu kwa mafisadi kupigwa changa la macho, absolutely No! Je ninafurahia nini? Ninafurahia kitendo cha mafisadi kukataliwa nafasi ya kutuburuza na pia kutupelekewa ujumbe mzito na CCM kwamba mchezo wao finally unaanza sasa kuwaudhi hata wale waliokuwa wakiwapigia kifua. JF tumeshiriki sana kwenye huu uamuzi wa jana kwa sababu tulikwua wa kwanza hapa kwueka hata mkataba feki wa jengo la UV-CCM, ni maudhi kama yale ndio yamepelekea huu uamuzi against mafisadi.

Salaam kwa Wote tulioko mastari wa mbele dhidi ya mafisadi, na tufurahie huu ushindi mdogo huku tukielewa kwamba mapambano bado kabisaa, na huenda ndio kwanza yameanza.

Na ninaahidi kwamba tupo pamoja na sasa tunajaribu kuendelea ku-monitor yanayojiri katika huu mkutano, na ninashukuru sana kwamba the ishu hapa leo JF sio uongo au credibility ya dataz, ila ni mengine ya kawaida kwenye siasa ambayo kwa ushindi huu mdogo, tuko tayari kuishi nayo.

Mungu Aibariki Tanzania! na Tuwe na amani!

FMES Wazee wa Sauti Ya Umeme! na Soon tutakua na uptodates!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom