CCM wagawa nakala za gazeti la sauti huru bure kwenye kampeni zake

wamesahau kama waliua wakala wa chadema yaani wanazidi kuivua nguo serikali yao kuwa haina uwezo tena...
 
Kwa hiyo wameamua kuwapa watu ushahidi kuwa wamekuja Arumeru kutukana na sio kuwaeleza kwa nini ardhi yao imepewa wazungu? Kwanini hawana maji? Kwanini hakuna barabara? 50yrs tumekuwa chini ya hawa mufilisi.
 
Wameishiwa sera sasaivi ni maji taka tu zote hizi mratibu ni mwigulu na lusinde.
 
Mkuu nimekusoma gazeti linachapishwa na free voice investment co.kariakoo mtaa wa akamba.
1.Albert kawogo-mkurugenzi mtendaji

Ok huyo nikibaraka wa Shubash sijawahi kumona ila nasikia sana fitna zake na kainzi kangu kanakusanya data siku si nyingi nitaweka mambo yao yote hapa na ushirki wa Rweimamu kwa free voice.
 
Pamoja sana mkuu M4C kitaeleweka tu wananchi wanawapuuza ccm na siasa za maji taka we miaka 50 unapiga uongo tuu
 
well said mkuu hata redio uhuru nayo taabu tupu!kwenye mikutano walishaacha kualikwa kwakuwa awana audience.gazeti linaloongoza kwa circulation ni mwananchi 60,000-100,000 copies na kama unavyojua mbaya wao Tido ndo mkurugenzi wa MCL.
Radio uhuru huwa nasikiliza kipindi kimoja tu wanapiga bolingo kinaitwa Ambiance Shituka, sijawahi kusikia tangazo la biashara humo.
 
Hivi ndivyo vichwa vya habari kwenye hilo gazeti:
1. Chadema wakata tamaa front page
2.CDM waburuzwa mahakamani mbeya
3.Mahitaji ya arumeru mashariki si undugu wa nyerere-dongo kwa vicent
4.chadema iache kufanya uhuni arumeru
hayo ni kwa ufupi tu
Ni toleo maalum la mambo ya Arumeru, au hata habari nyingine linaandika?
 
mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

Kaeni mkijua watanzania wameshaipa chadema mioyo yao, nyie semeni mtakavyosema, CCM mmedhirisha jinsi ambavyo mmanaendeleza uongozi wa kifamilia kwa kumpitisha kwa nguvu Sioyi Sumari mtoto wa aliyekuwa mbunge aliyefariki hata arubaini yake haijaisha! halafu mnakaa kubwabwaja, na Arumeru tumewakaba hamna kwa kutokea! Mkiiba tutawanyoa bila maji!
 
Kwa maelezo hayo lina dili? Nadhani swala la cdm ni kujibu hoja na si kubeza! Mimi nakubaliana na nathali kwa majibu ya kwamba hajaoa baada ya kudai si yeye tu bungeni kwani hata makinda hajaolewa hivyo anweza akipewa kura na wanaarumeru akamuo spika hivyo arumeru wakafaidi
 
well said mkuu hata redio uhuru nayo taabu tupu!kwenye mikutano walishaacha kualikwa kwakuwa awana audience.gazeti linaloongoza kwa circulation ni mwananchi 60,000-100,000 copies na kama unavyojua mbaya wao Tido ndo mkurugenzi wa MCL.

namwaminia tido, nadhani kabla ya 2015 mwananchi itakuwa na tv na redio yake. Mchakato majimboni utakuwa kama kawa
 
mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

Mkuu Mangi wa Ukweli,
Natumaini wewe ni msomi unayejua kusoma. Basi soma walau kidogo katiba ya Chadema kabla hujasema hivyo. Katiba yetu inasema maamuzi yote yanafanyika kwa kura. Sasa unadhani hao viongozi uliowataja wanakura ngapi vikaoni kila mmoja wao? Au unataka kusema kuna vitu wanafanya bila kushirikisha vikao halali? Hii ndio hasa propaganda isiyo na tija kwa sababu hata mtoto mdogo hawezi kukuamini. Chama chetu ni institutionalized already, ila nadhani kuna vitu wewe hujui.
 
Hilo hawezi kulielewa lengo lake ni kufikisha ujumbe ambao ulishapoteza mvuto kwa wananchi kwao mwendelezo wa majina haya siyo issue.malima,makamba,mwinyi,karume,sumari,nnauye na wengine wengi.
 
ccm ni wa se.n.ge. Sana, na huu ujinga wao una mwisho, make hata utawala wa rumi uliokuwa na nguvu za ajabu ulifikia mwisho,
wafanye kila mbinu lakini hizo mbinu zitaisha siku moja na wanaichi hawatakubali tena hizo propaganda za ki s.e.n.ge wanazo fanya

kwa hiyo modds mnaona huyu kaongea sawa? kama kutukana ndani ya JF sio kosa la kuwa Banned halafu aliyesema JK kichwa chake kina maji ya... Mnamfungia! nanyie ni magamba tu!!!!!

mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

mwigulu ndo institution ya ccm?ccm ina sura zipi mpya?
 
mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO

wala siwabishii. Ndio maana mnachakachua elimu ya Tanzania ili muendeleze mtaji wa kuwa na wajinga wengi. CCM wengi wenu ni wajinga! mnatetea ujinga mkiamini wabongo bado ni wajinga! hamuoni aibu kudanganya, kuchonganisha na kwenu hata damu ikimwagika ni sawa ili tu mshinde! ili mjione ni wajinga mmeua viwanda ambavyo hata watoto wenu na wajukuu wenu wangeajiriwa halafu katikati ya ujinga wenu mnajiona wajanja??? mtaiba na mkichanganya na wajinga wengi ambao hawajaerevuka mwaweza shinda! ila mnachojisahau wajinga wengi ni wa zamani lakini mtoto anayezaliwa leo hamna kura yake! vijana wanaomaliza vyuo vikuu hamna kura zao! ndio maana wakati wa uchaguzi huwa mnafunga vyuo ili wasije badili matokeo! mpaka hapo hamjajiona wajinga? hamkubali ukweli lakini mnakesha kutukana na kukashifu tu!
 
Back
Top Bottom