CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Kumbe umependezwa na kuji- remba kwao,Uwt inawaza kushika Dola milele sio urembo wa bawacha
 
kwanza waache kuvaa yale magunya wanakuwa kama mizimu. yaani nikiwaona tu nachefukwa
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Kwani ccm wenyewe hawakuandaa maazimisho rasmi kwa mwenyekiti wao?
 
Pic kali sana. Akina halima na wasaliti wenzie wakiona hivi wanaumia sana
 
Tatizo la ccm uko uwt kumejaa wake za viongozi na mabinti zao ambao wote wamevimbiwa na vinono na kuviziana kusaka teuzi,hakuna kitu wanaweza kufanya!!
Huko ccm wote wamepoteza uwezo wakufikiri alipokuja jiwe ndio kabisaa ukisifia tu unakula cheo
 
MaCCM yalikuwa yanaomboleza badala ya kusherekea👇🤡🤡🤡
AnpvP.jpg
 
Watu wanataka madalaka ww unaongelea mavazi
Ccm inamiliki nchi na wananchi waliomo ikiwemo chadema na BAWACHA sa sjui unataka ijifunze nn wakat inaweza kununua na kuamishia kwao
 
Back
Top Bottom