CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Mkuu, mtoto wa kike mwenye kuficha desa lake kwa kuvaa "dela" si sawa na yule mwenye uthubutu wa kuweka hadharani 'shape" ya guu ama muonekano mzuri wa chura.

Uzuri wa sura, huba la tabasamu, "dimples", maneno mazuri ya Kitanga, nyodo za Kichaga ama Kihaya, kudeka kwa Kinyamwezi ama Kimanyema, kutokujali kwa Kinyakyusa, kiburi cha Kimakua, kutahiriwa kwa Kikurya na Kimasai ni vigezi pia.

Bali mauno ya Kingoni Kizaramo na Wamakonde ni bonge la dili.
Wacha weee mzee mwenzangu
 
Huu ndio ukweli na usitegemee ubunifu maana wamejaa waswahili. La kufanya ni kuvizia wajane na kuwahudumia ndo faida tunayoweza kupata ila ubunifu na hoja za kisiasa nenda BAWACHA.
bawacha jeshi kubwa. Ndio maana polisi huwa hawapendi
 
Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

IMG_20220308_142040.jpg

Kumbe cku hizi waarabu ni wengi😱
 
tofautisha chaguzi uchaguzi na ukwapuaji yaani uchaguzi kukwapuliwa. Ule ulikwapuliwa ili uchaguzi ufanyike naccm isiwe nahofu lazima tume ya uchaguzi ibakie ileile usikate ndo ukweli mwanana mkuu chadema itake tumehuru na ccm ukubali yaan ccm ijielekeze kibra yenyewe ......thubutu yake ng'ombe wenyewe machinjioni hupelekwa hawajielekezi kuelekea huko kuchinjwa
Unaonaje uchaguzi wa 2025? Samia ataiba Tena na Bunge kuwa kijani tupu
 
Kuna ile mijizee ya ccm unakuta imetoboa pua, imepaka wanja mkubwa na kupiga mkorogo. Yaani imefubaa vibaya sana. Yenyewe haina ubunifu wowote, inasubiri kiongozi aongee kisha waseme vidole vikiwa juu, utasikia " semaaa babaaa, waambie waambie"
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hawa walinzi si walifukuzwa kwa utovu wa nidhamu na matatizo ya akili. Vipi sasa.
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Uwe unachagua na ndoto za kuota usijidhalilishe hata kama ndio ndoto.
 
Back
Top Bottom