CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Mimi CCM damudamu,,ila chadema mpo juu Kwa Vijana Wazuri...mmmmmh

Kuna ile mijizee ya ccm unakuta imetoboa pua, imepaka wanja mkubwa na kupiga mkorogo. Yaani imefubaa vibaya sana. Yenyewe haina ubunifu wowote, inasubiri kiongozi aongee kisha waseme vidole vikiwa juu, utasikia " semaaa babaaa, waambie waambie"
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Hiyo ilikuwa ni mbinu tu ya kukutana na m/kiti wao. Sisiemu mda wowote wakitaka kukutana na m/kiti wao hakuna kizuizi.
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Wamepiga uzi mtamu sana. Kubwa zaidi wanafuraha muda woote. Huwezi amini kama ni hawahawa ambao viongozi wao wafungwa kila mara.
 
BAVICHA wanastahili pongezi nyingi sana.

Leo habari iliyobamba ni hiyo, hata hivyo nimejitahidi kufuatilia kama CUF, NCCR Mageuzi, TLP, UDP na ACT Wazalendo wanawake wao waliadhimisha sherehe hiyo bila mafanikio.

Uongozi imara wa CDM ndiyo siri kuu ya mafanikio yao
Uongozi unaoaminika.
 
Wale wenzao walioasi sasa hivi wanajuta. Aliyekuwa ngao yao hayupo tena duniani. Nawapa pole.
 
... in fact Mahakama ndio imewa-certify kama VIP protectors wa chama. Chama kinaweza kuajiri wengi iwezakanavyo na sio suala la siri tena but it is open to the public
Kesi imesaidia pia
 
... in fact Mahakama ndio imewa-certify kama VIP protectors wa chama. Chama kinaweza kuajiri wengi iwezakanavyo na sio suala la siri tena but it is open to the public
Na wengine watatafuta kazi ya ulinzi huku. Maana sio siri tena imefahamika hivyo.
 
Tatizo la ccm uko uwt kumejaa wake za viongozi na mabinti zao ambao wote wamevimbiwa na vinono na kuviziana kusaka teuzi,hakuna kitu wanaweza kufanya!!
Hivi Gaudensia Kabaka ana ushawishi gani[emoji1]
 
Haaa kwamba CCM hawajiamini,lakini walipata kura 89%
Ccm wako busy na michongo yaani unapakuwa unaki.biza mambo yako si unajua mwenye mkoba,yaani wamwsahau hata siasa,acheni kuwa mwagia mpunga wajumbe wanasahau ubunifu
 
Back
Top Bottom