CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Kwenye sanduku la kura CCM tuna shida,, uku bara Samia akifikisha ATA asilimia 40 basi Yuko vizuri

Endelea kujipa moyo.

Yani ninyi mnatakiwa mutawaliwe na dikteta. Lakinii Wenye imani na huruma kama huyu mama hapana, maana hamuishi malalamiko na vichuki vicvyo na maana

Tugwisanga nkoi, tolehoi usukumani.
 
Halima James Mdee
Said Ahmed Kubenea
wamenisikitisha sana kuondoka CHADEMA, kila nikiwaona roho inaniuma sana
 
Endelea kujipa moyo.

Yani ninyi mnatakiwa mutawaliwe na dikteta. Lakinii Wenye imani na huruma kama huyu mama hapana, maana hamuishi malalamiko na vichuki vicvyo na maana

Nikukumbushe tu. Raisi kutoka kaskazini kuliongoza taifa hili ni ngumu mno, haitatokea. Ni heri tuongozwe na mang'ati lakini co mchagga. So bakini na chadema yenu.

Tugwisanga nkoi, tolehoi usukumani.
umeandika upumbavu jamaa, kwani wachaga siyo watu? wewe ni nani mpaka unajiapiza juu ya kabila al mtu? kisa una kakadi kako ka ccm ulikopewa tangu ukiwa shule ya kata unajiapiza kipuuzi hivyo ? hii nchi kaiumba maam yako shetani wewe
 
'Tukubaliane na Ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni kama Republican na Democrats Vya Marekani, ni Vyama Vikubwa'...

Kubalianeni tu hapo Ufipa...! Lakini sie WaTz tunaiona CDM kama vyama Vingine tu vya Upinzani CUF,CHAUMMA,NRA na ACT wazalendo...!
Halafu Marekani ndio 'SI unit' Yenu....! Marekani kitu gani Bwana!
USIEMPENDA KAJA!! JIUE!
 
Mishangazi ya chadema
FB_IMG_1646832986437.jpg
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.[emoji374][emoji19]
 
umeandika upumbavu jamaa, kwani wachaga siyo watu? wewe ni nani mpaka unajiapiza juu ya kabila al mtu? kisa una kakadi kako ka ccm ulikopewa tangu ukiwa shule ya kata unajiapiza kipuuzi hivyo ? hii nchi kaiumba maam yako shetani wewe

Miongoni mwenu mna kauli mbaya na za uchochezi, so usitegemee kupata kura kwa style hii. Mimi co ccm wala chadema lakini naangalia anae2faa haijalishi anatokea chama gani. Mama ni chaguo la wengi.

Alafu acha kutukana babaa. mbona Mshana Jr yuko poa, wala hatukani watu.
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
Aisee... Si Mchezo.
 
Kweli nimeshangaa Bawacha imepata nguvu kubwa ya ajabu baada ya akina Mzee Mdee kuondoka, mambo mengine japo hututikisa lakini hugeuka baraka kubwa pasipo kutegemea✌
 
My first impression;

Udhaifu wangu mkubwa kwa mtoto wa kike ni "shape" ya guu lake la mfano wa chupa ya bia, na pia maumbile mazuri ya chura aliyembeba. Ama kwa hakika CDM ina hazina kubwa ya watoto wazuri wa aina hii.

Tujenge chama, tukuze mahusiano mema. Kwa hakika wanawake Watanzania mnaweza.
Wenzako wanawaza Katiba mpya,lkn wewe akili yako inawaza ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom