CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
SUPER_WOMAN_2022_%3A__%23MasuperWoman__Esther_Bulaya_%26_Hawa_Bananga_(_Wabunge_wa_Viti_Maalum...jpg
 
Unaonaje uchaguzi wa 2025? Samia ataiba Tena na Bunge kuwa kijani tupu
endapo atakubali katiba MPYA na tumehuru siamini Kama ataiba Mana kuiba na ukwapuaji Mambo mawili tofauti

Ila akigoma swala katiba na tumehuru ataiba Ila hatakwapua
 
Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana,

Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia organization sio ya nchii hii, wamama wamependeza aswaa, wamepamba ukumbi, mazingira, kubwa zaidi wamejitokeza kwa wingi, lakini dressing style imenoga Sana.

CCM toeni wazee kina Gaudensia Kabaka, leteni nguvu mpya, wadada wapya, waje na molari na strategies mpya,kwa Sasa Bawacha wametuacha mbali Sana.

Mwisho Halima Mdee na wenzio ombeni msamaa, mshajizalilisha vya kutosha, ona Sasa Bawacha ilivyo imarika zaidi, sahivi mnaishi kama digidigi.

View attachment 2143650View attachment 2143652View attachment 2143653View attachment 2143654
BAVICHA IPI WAKATI MNASEMA CHADEMA IMEKUFA?
 
BAVICHA wanastahili pongezi nyingi sana.

Leo habari iliyobamba ni hiyo, hata hivyo nimejitahidi kufuatilia kama CUF, NCCR Mageuzi, TLP, UDP na ACT Wazalendo wanawake wao waliadhimisha sherehe hiyo bila mafanikio.

Uongozi imara wa CDM ndiyo siri kuu ya mafanikio yao
Zitto angekuwa na akili timamu angemuomba msahama Mbowe arudi CDM wajenga chama kikubwa sn tatizo anatumika na mamlaka
 
Polepole, Bashiru aisee Wana maisha magumu
Tumeimiss ile ccm yao, kwakweli ilikuwa burudaniii. Mungu yupo atairudisha siku moja. Na huwa nikiwaona akina bashiru na polepole, ndo napata faraja kubwaaa. Maaana walipigania wanyonge tukaeienda.
 
Kuna ile mijizee ya ccm unakuta imetoboa pua, imepaka wanja mkubwa na kupiga mkorogo. Yaani imefubaa vibaya sana. Yenyewe haina ubunifu wowote, inasubiri kiongozi aongee kisha waseme vidole vikiwa juu, utasikia " semaaa babaaa, waambie waambie"
Kule CCM kila kikao ni fursa ya ulaji watu wapige pesa, kuanzia kupamba ukumbi mpambaji atalipwa milioni mbili lakini ofisini bill utafika milioni tano. Wajumbe wote wanawaza pesa ya posho.

Chadema wanafanya kwa moyo na kujitolea. Wewe fikiria chama kisicho na ruzuku na wamama wanafanikisha jambo lao.
 
Back
Top Bottom